Magamba angalieni hapa ndo mtajua nani mshindi Igunga!

Na bado magamba yanaendelea kupongezana mikoani, mwisho wa siku hesabu itakuwa kubwa zaidi. Tatizo kwao CCM kwanza Tanzania baadaye.
 
Du Imekaa vizuri sana hiyo adolph, kwakweli huo ndio mchanganuo uliokwenda shule na ni maana halisi kabisa pale tunapokuja kutafsiri human capital vs production. Hongera Chadema.
 
mkuu upo sawa kabisa ila tupatie chanzo cha hizo data zako (au ni za kufikirika tu?)
Kama unabishia hadi hizo data nadhani unatumia zaidi MASABURI kufikiri instead of brain,shame on you..!!
 
Daah!! this is shame..!! wamewanyima madactari zaidi ya mia hamsini sponsorship za kufanya masters kumbe hela ipo mingi hv..!! wangeziingiza kwenye production ya umeme haka kamgao sikangepungua..!! kweli masaburi hakukosea kuwaambia wanafikiri kwa kutumia makalio...!!
 
[h=6]Habari wanajamvi...uchaguzi umekwisha huko Igunga na gharama zilizotumika zimefahamika..kwa kifupi ni kwamba CCM ilitumia 3biln, CHADEMA 400Mln na CUF 150Mln...CCM wamepata kura 26,484, CHADEMA kura 23,286, CUF kura 2,104....kwa hesabu za haraka ni CCM-3,000,000,000/26,484=113,275/=
CDM-400,000,000/23,286=17177/=
CUF-150,000,000/2,104=71,292/=
hivyo basi
CCM imegarimikia kura moja kwa tsh 113,275/=
CDM imegarimikia kura moja kwa tsh 17,177/=
CUF imegarimikia kura moja kwa tsh 71,292/=

kwa mtazamo wangu hapo chadema ndo washindi...ni mawazo tu......
[/h]source:Nipashe,Tanzania Daima na Mtanzania
Mkuu nimekubali uchambuzi wako.
 
FACT.

ccm walishapoteza legitimacy and attraction to wananchi namatokeo yake ni kama hayo.

Swali, Je hizo 3b ni pamoja na zile 20m + ziliokuwa zinatumika kuhonga hadi siku ya uchaguzi na ccm?
 
It is well analysed! Well done nchi aiendeshwi kwa ujanja ujanja! Hivi ndo vichwa vilivyo nje ya CCM! Hongera Mkuu, I wish JK ameiona hii
 
This is real ridiculous, 3bn for only Igunga? Yuko wapi Genious brain na data zake za uongo kuwa cdm wametumia 1.32 bn? Hii nchi jamani inasikitisha. No longer at ease!
 
Hii inasumbua akili, ukweli mwingine kama una tabia ya kuvaa baragashia kama mimi, lazima utavua! Loh! sasa hapo kwani umejumlisha night za wakubwa waliokwenda huko? na ile bill ya Guest house ilikotokea matukio je? Na ransome aliyolipwa mume wa ndoa umejumlisha? Ungeijua ukaijumlisha huenda zingefika bil nne.
 
Hivi kile kikomo cha matumizi ya pesa kwenye chaguzi (sina hakika wanasema ubunge 50milion) uwa wanaongelea pesa zipi?

 
...je mwaka 2015 wanahitaji bilon ngapi kupata hayo majimbo zaindi ya 200+kiti cha urais?,na sio pesa peke yake, hawa wakolon weusi wako tayari kutafuta madaraka ata kama watanzania watapigana mapanga kwa chuki za kidin wanazo pandikiza,kwao hawajali iladi wamepata madaraka.
 
[h=6]Habari wanajamvi...uchaguzi umekwisha huko Igunga na gharama zilizotumika zimefahamika..kwa kifupi ni kwamba CCM ilitumia 3biln, CHADEMA 400Mln na CUF 150Mln...CCM wamepata kura 26,484, CHADEMA kura 23,286, CUF kura 2,104....kwa hesabu za haraka ni CCM-3,000,000,000/26,484=113,275/=
CDM-400,000,000/23,286=17177/=
CUF-150,000,000/2,104=71,292/=
hivyo basi
CCM imegarimikia kura moja kwa tsh 113,275/=
CDM imegarimikia kura moja kwa tsh 17,177/=
CUF imegarimikia kura moja kwa tsh 71,292/=

kwa mtazamo wangu hapo chadema ndo washindi...ni mawazo tu......
[/h]source:Nipashe,Tanzania Daima na Mtanzania[/QUOTE

Hapa ndipo napotambua ya kwamba hakuna mwanasiasa wa Tanzania anaegombea kwa mtazamo wa kumuokoa mtu wa chini, unajua ukiangalia ni kwanini ccm anatumia pesa kiasi hicho ni vile tu mtandao kwani anaamini akiwa na viti vingi bungeni uovu utafichika lakini CDM wao wanakaa chini na kuona kuwa hapa lazima na sisi tujizatiti kung'oa haya magamba, lakini nadhani ata baada ya uchaguzi wananchi wanapaswa kuambiwa uchaguzi ulivyokwendaje na pengine tungetumia pesa hizi kuanzisha mitandao ya vijana kwa kila wilaya ambao ni rahisi kuwawezesha kwenye shughuli za maendeleo kwa miradi midogo midogo ya kuingiza kipato huku wakihubili na kueneza elimu ya haki na usawa kwa maeneo husika tena kwa takwimu ili mwisho wa siku lainiiii bila kuumiza wala kutumia pesa!! sasa ccm inaposhinda kwa ghalama kiasi hiki alafu nchi ina wasomi wanakaa kimya unategemea nini???? then slaa anakazi na pengine yuko peke yake.... ni mawazo yangu!
 
habari wanajamvi...uchaguzi umekwisha huko igunga na gharama zilizotumika zimefahamika..kwa kifupi ni kwamba ccm ilitumia 3biln, chadema 400mln na cuf 150mln...ccm wamepata kura 26,484, chadema kura 23,286, cuf kura 2,104....kwa hesabu za haraka ni ccm-hii niliyobadilisah rangi ndo source: Nipashe,.....!3,000,000,000/26,484=113,275/=
cdm-400,000,000/23,286=17177/=
cuf-150,000,000/2,104=71,292/=
hivyo basi
ccm imegarimikia kura moja kwa tsh 113,275/=
cdm imegarimikia kura moja kwa tsh 17,177/=
cuf imegarimikia kura moja kwa tsh 71,292/=

kwa mtazamo wangu hapo chadema ndo washindi...ni mawazo tu......


source:nipashe,tanzania daima na mtanzania

na haya yaliyo baki ndo yako, siyo ya nipashe na wenzie
 
imetulia hiyo hiyo mkuu, ila ungeiweka kwa 'ration' ndo ingekuwa mayai zaidi.
 
Naingalia hii tathmini kwa upande mwingine, tofauti kidogo, japo conclusion haitabadilika.

Uchaguzi uliopita, CCM chini ya Rostam walivuna kura takribani 35000. CDM walivuna kura elfu 8500 ambazo alipigiwa Dr Slaa, assuming kama wangekuwa wamesimamisha mgombea ubunge angepata kura hizo alizopata Dr Slaa-- not necessarily lakini kwa sababu za analysis, ninapenda ku-assume hivyo.

Kwenye huu uchaguzi mdogo, CCM wamepata kura 26,484 kwa maana ya loss ya kura 8,516 walizopata kwenye uchaguzi mkuu uliopita. Kama wametumia TZS 3bn kama election costs ya uchaguzi huu mdogo, ina maana wametumia TZS 352,278 kwa kila kura moja waliyopoteza. This is a huge loss I could never imagine in my life. Ni kama kuincur cost za kununua material halafu unaproduce negative

CDM waliongeza kura 14,786 toka KURA 8,500 alizopata Dr Slaa mwaka 2010 election, which means kwa kila vote iliyoongezeka wametumia TZS 27,052 kuipata-- VERY EFFICIENT WAY OF DOING THINGS

CUF kama walivyokuwa waume zao CCM, walipoteza kura 8896, kwa maana ya TZS 16,861 FOR EVERY SINGLE VOTE THEY LOST.

Ni vyema CDM wakafanya uchambuzi wa jinsi hii na kuueleza umma ili uma ujue kuwa CCM inapoteza mvuto kwa kasi ya ajabu na lazima kujiuliza kwa nini? Watu wenye mapenzi mema na nchi hii wanaotaka kujiunga na siasa watafurahi kuziona data kama hizi ili kuwashawishi kuingia kwenye siasa. Nadhani pia kuna haja kubwa ya kufactor in mchango wa wanawake katika kudidimiza maendeleo ya demokrasia nchini. Wamama ambao ndio waathrika wakubwa wa hali mbaya ya uchumi ndio wamekuwa mstari wa mbele kuwakumbatia mafisadi kwa kuwapatia kura za huruma. CDM inabidi iimarishe kitengo chake cha kina mama na wazazi, vijana wengi wameshahamsika lakini pia sio watu wa kutegemea sana kwa kuwa mara nyingi hawajiandikishi na ni rahisi kurubuniwa ili kutuliza haja yao ya chapchap.






Habari wanajamvi...uchaguzi umekwisha huko Igunga na gharama zilizotumika zimefahamika..kwa kifupi ni kwamba CCM ilitumia 3biln, CHADEMA 400Mln na CUF 150Mln...CCM wamepata kura 26,484, CHADEMA kura 23,286, CUF kura 2,104....kwa hesabu za haraka ni CCM-3,000,000,000/26,484=113,275/=
CDM-400,000,000/23,286=17177/=
CUF-150,000,000/2,104=71,292/= hivyo basi
CCM imegarimikia kura moja kwa tsh 113,275/=
CDM imegarimikia kura moja kwa tsh 17,177/=
CUF imegarimikia kura moja kwa tsh 71,292/=

kwa mtazamo wangu hapo chadema ndo washindi...ni mawazo tu......


source:Nipashe,Tanzania Daima na Mtanzania
 
Wana jf leo nilikuwa nasafiri kwa private car nilipita Igunga wanachadema wengi wanahuzuni nilikutana na rafiki zangu walioniambia kuwa juzi kuna kada Wa ccm alikamatwa na masanduku 15 yaliyotiwa tiki kwa mgombea Wa ccm nusura achomewe nyumba ila aliokolewa na wanamagamba na polisi pia wameniambia kulikuwa na vituo bandia kibao ambavyo **** PA ushindi mgombea Wa ccm.
Halafu nilikutana na mwangalizi Wa uchaguzi ambaye alitoka mkoa Fulani kwa tiketi ya ccm alisema Lanka ya kutangazwa Matokeo alikuwa na unsound chadema imeshinda judoka mchana akasikia ccm imeshinda yeye mwenyewe alikuwa anashangaa kushika hivo.
Nchi hii bila Masada Wa Mungu demokrasia haitakuwepo milele labda kwa mtutu wa bunduki hivihivi haiwezekani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom