sasa wewe unaporusha hii thread ulitumia ''COMMON SENSE?...'''mkuu hebu angalia ulichoandika mkuu:Akiba sio tu full tank kaka tumia na common sense yako kumake sure una akiba hata ukiamua kujaza madumu na kuweka home ni sawa kweli nimeamini common sense is not common to everybody
Kuna taarifa nimezipata punde kuwa kutakuwa na shortage ya mafuta hasa ya Petrol mara to baada ya uchaguzi so nawajulisha wana JF mwende petrol stations mkajaze magari yenu full tank...
naomba mtu mwenye taarifa za uhakika kutoka kwenye kampuni za kluagiza mafuta au bandari atupe chanzo cha tatizo.
Economic problems za uhaba wa mafuta kwenye nchi zinatisha. e.g. nauli kupanda, vyakula kupanda bei, uhaba wa usafiri n.k.
ANGALIZO;- Ni bora tujiandae kwa kununua chakula cha kutosha tusinunue mafuta,
TATIZO;- hela hamna
Sasa ndo wanaharibu kabisa, kama wameshindwa hata kuwapatia wananchi mafuta wanayonunua kwa bei wanayopanga wao, sasa wanataka kuongoza nchi ili iweje? tutaamua 0ct 31
CCM @ Work !
Kinana knows all the tricks!