Mafuta yaanza kupungua...

Aah! Tushazoea bana na yasiwepo tu.
Hata wakituuzia sh 10,000 kwa lita siye tumo na mafisadi tunawarudisha tena madarakani.
Ndio Watanzania tuna mioyo ya chuma.
 
Akiba sio tu full tank kaka tumia na common sense yako kumake sure una akiba hata ukiamua kujaza madumu na kuweka home ni sawa kweli nimeamini common sense is not common to everybody
sasa wewe unaporusha hii thread ulitumia ''COMMON SENSE?...'''mkuu hebu angalia ulichoandika mkuu:

Kuna taarifa nimezipata punde kuwa kutakuwa na shortage ya mafuta hasa ya Petrol mara to baada ya uchaguzi so nawajulisha wana JF mwende petrol stations mkajaze magari yenu full tank...
 
Kama mnamrudisha kikwete madarakani yasiwepo kabisa na vituo vifungwe vyote tutembelee baskeli
 
Mmmmmmh hio hela ya kujaza full tank iko wapi kaka, hela yote iko kwa kampeni na mitaani hakuna mzunguko wa hela kabisaaaa, thank God kuwa zipo boda boda tutapanda hizo hizo au tutaunga azimio la arusha asubuhi kwenda job.Nchi hii imeuzwa kweli kwa wafanyabiashara, Plz Dr Slaa ikomboe maana hali si shwari.
 
Kuna taarifa nimezipata punde kuwa kutakuwa na shortage ya mafuta hasa ya Petrol mara to baada ya uchaguzi so nawajulisha wana JF mwende petrol stations mkajaze magari yenu full tank...

Thats very obvious....kila mtu akijaza FULL TANK si ndo uhaba utakapoanzia...tafadhali jama tusijaze magari yetu full tank ili uhaba usitokee!
 
Kaka tukajaze mafuta kwa mishahara ipi ndugu yangu? shinda kila kikicha
 
Watanzania kweli tumekomazwa na CCM. Shida inatengenezwa na dola kwa nia ya kuwatesa wananchi wake. Hii ni sawa na mama kuzaa na kumwua mwanae
 
naomba mtu mwenye taarifa za uhakika kutoka kwenye kampuni za kluagiza mafuta au bandari atupe chanzo cha tatizo.

Economic problems za uhaba wa mafuta kwenye nchi zinatisha. e.g. nauli kupanda, vyakula kupanda bei, uhaba wa usafiri n.k.

ANGALIZO;- Ni bora tujiandae kwa kununua chakula cha kutosha tusinunue mafuta,
TATIZO;- hela hamna
 
Several gas station hazina gas toka majuzi. Premium hadi muda huu inakwenda kwa 1750/L.

Angalizo si la kulipuuzia kwa waliopo Dar wanao afford.
 
Ikiwa imebakia siku mbili kuingia katika uchaguzi mkuu wa 2010, mafuta hayapatiakani jijini Dar es salaam hasa mafuta ya petrol, nini chanzo na ni kwa nini vyombo vya habari viko kimya juu ya hili?.

Maswli ni mengi sana wakuu, why now and why not announced?.

Jamaa wa mikoani vipi huko mafuta yanapatiakana, hii ni kuanzia leo.
 
Sasa ndo wanaharibu kabisa, kama wameshindwa hata kuwapatia wananchi mafuta wanayonunua kwa bei wanayopanga wao, sasa wanataka kuongoza nchi ili iweje? tutaamua 0ct 31
 
naomba mtu mwenye taarifa za uhakika kutoka kwenye kampuni za kluagiza mafuta au bandari atupe chanzo cha tatizo.

Economic problems za uhaba wa mafuta kwenye nchi zinatisha. e.g. nauli kupanda, vyakula kupanda bei, uhaba wa usafiri n.k.

ANGALIZO;- Ni bora tujiandae kwa kununua chakula cha kutosha tusinunue mafuta,
TATIZO;- hela hamna

Kwa maoni yangu hakuna tatizo ila mafisadi wameona tundu la kujipatia pesa za haraka haraka kwa kutubamiza na bei zao za kilanguzi wameamua kulitumia na kuhodhi petroli. Kama uchaguzi utakuwa na utata basi bei itakuwa haishikiki kabisa. Na serikali ilitakiwa kutoa tangazo ili kutuondoa wasiwasi lakini Serikali pia ina wasiwasi kama itaweza kubaki madarakani. Kwa hiyo akili mkichwaaaa. :peace::preggers:
 
Sasa ndo wanaharibu kabisa, kama wameshindwa hata kuwapatia wananchi mafuta wanayonunua kwa bei wanayopanga wao, sasa wanataka kuongoza nchi ili iweje? tutaamua 0ct 31

Ni kweli mafuta ya petroli Dar es Salaam tangu jana usiku hayapatikani kirahisi. Sielewi tatizo ni nini!
 
Hata mikoani hasa moro mambo si shwari, ukiyapata yamechakachuliwa mabyaaaaaaaa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom