Inawezekana hawa watakao chukuliwa sa hivi.....sababu sio wengi walio itwaMkuu hao professional wengine wapi ambao wanasubr kuunga nao mwez WA 3?
Inawezekana hawa watakao chukuliwa sa hivi.....sababu sio wengi walio itwaMkuu hao professional wengine wapi ambao wanasubr kuunga nao mwez WA 3?
Nilichokiandika pale juu niseme kama nahitaji niwekwe kwenye orodha ya kupewa fomu safari jakata hawajasema lini watatuitaWalikuambia maneno gani mkuu?na je vipi mtu kama alipigiwa na hakupokea kwa kutoiona?
Nimejaribu kuwaulizia wengi wao kimyaaaJe, kuna yeyote ambaye aliyetuma maombi pindi walivopita chuoni amepigiwa simu?
Ni kweli maana inawandaa watu waliovishwa kiaskari ukimpika vyovyote anakubali ukichukua mtaani kisha unapeleka TMA wengi dah haiko poa sanaHii nzuri uzalendo uongezeke.
Nadhani kwa vyuoni mpaka sasa hakuna aliye tafutwa ila isiwavunje moyo cz vyuoni walipita mda si mrefu sana pengine wanauhakika still they are in touch with such position tofauti na wale waliotuma maombi makao makuu ni kipindi kirefu kimepita so lazima wacomfirm kama bado wanauhitaji wa jeshi.Wa vyuoni wengi hawajaitwa
Kwani Kuna ambao wameitwa hata hao wamtaani hadi sasa?Inawezekana wanachukua kwanza watu wachache ili kukamilisha idadi ya watu watakaoenda kozi..wengine watachukuliwa recruit ijayo
Yap unaweza ukawa sahihi.Nadhani kwa vyuoni mpaka sasa hakuna aliye tafutwa ila isiwavunje moyo cz vyuoni walipita mda si mrefu sana pengine wanauhakika still they are in touch with such position tofauti na wale waliotuma maombi makao makuu ni kipindi kirefu kimepita so lazima wacomfirm kama bado wanauhitaji wa jeshi.
Ukiona rangi ya njano inawaka barabarani ujue kijani inafata kwaiyo ukae tayariKwani Kuna ambao wameitwa hata hao wamtaani hadi sasa?
Naomba kukuuliza walipita lini vyuoni au walitangaza lini hizo nafasi??mkuu hilo zoezi la kupigiwa simu bado linaendelea au limeisha?
wenzangu wote nilio'aply nao Wameshapigiwa bado mimi tu napata waswas
Ha ha ha ha...so soon if not soonest.Ukiona rangi ya njano inawaka barabarani ujue kijani inafata kwaiyo ukae tayari
Hahah maisha bila ronja jeshini yanakua magumu. Nakumbuka wakati tuko kwenye malengo sumu pale chicago kipindi hiko ronja za bogi la jw zilipoanza duuh hata kung'olea mpunga niliona kama najiraHahahaaaa alafu hakuna kinachotia moyo kama ronja hata kama ni. zakuzusha
Si kweliKozi TMA zinaweza kuanza mwez wa 3 kwaiyo professional watakaingia jakata sa hivi wanaweza kuingia TMA mwez huo
Yap inaweza ikawa sio kweli au kweli...kwamaana sahivi kuna watu majina yao yashaanza kuchukuliwa vikosin ambao wanatakiwa waende TMA ila ndo haijajulikana lini.Si kweli
ukweli ni upi mkuuSi kweli
mkuu mimi nilituma maombi direct makaoNaomba kukuuliza walipita lini vyuoni au walitangaza lini hizo nafasi??
Baba kanitumakweli mkuu watu wapiganishe sasa.