Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Kwa taarifa nilizopata wamepiga simu kwa wale walotuma maombi ili kuuliza utayari wao wa kujiunga katika jeshi coz ni muda mrefu umepita toka maombi yatumwe so walitaka kujua kama bado wanania ya kujiunga na jeshi.

Hawajatoa utaratibu wowote wa usahili wala mafunzo,walichodai ni kuendelea kuwasiliana na wahusika kulingana na muongozo utakavokua.
 
wahusika gani hao wawasiliane nao?
 
mkuu hilo zoezi la kupigiwa simu bado linaendelea au limeisha?

wenzangu wote nilio'aply nao Wameshapigiwa bado mimi tu napata waswas
 
Back
Top Bottom