Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Inawezekana wanachukua kwanza watu wachache ili kukamilisha idadi ya watu watakaoenda kozi..wengine watachukuliwa recruit ijayo
 
Wa vyuoni wengi hawajaitwa
Nadhani kwa vyuoni mpaka sasa hakuna aliye tafutwa ila isiwavunje moyo cz vyuoni walipita mda si mrefu sana pengine wanauhakika still they are in touch with such position tofauti na wale waliotuma maombi makao makuu ni kipindi kirefu kimepita so lazima wacomfirm kama bado wanauhitaji wa jeshi.
 
Yap unaweza ukawa sahihi.
 
Hahahaaaa alafu hakuna kinachotia moyo kama ronja hata kama ni. zakuzusha
Hahah maisha bila ronja jeshini yanakua magumu. Nakumbuka wakati tuko kwenye malengo sumu pale chicago kipindi hiko ronja za bogi la jw zilipoanza duuh hata kung'olea mpunga niliona kama najira
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom