Mafisadi watashinda! - A somber look

It might push the leaders to be more aware of the people they lead. CCM never lost an election & no sitting president has ever lost a second term, if JK looses then that will be a big message sent by the people telling the leader that non of them are immune. Nadhani tatizo kubwa ni kwamba kuna baadhi ya viongozi wana jiona nothing can ever be done to them. If we do something to them then it will make them check their egos & inflated heads.

Unajua shida ya CCM ni ile arrogance kuwa they can never lose. Hawajajiandaa for that possibility. Well, times do change and things that used to be can become used to be.
 
Hatimaye nimefikia hitimisho kuwa juhudi za kupambana na ufisadi nchini hazitofanikiwa na ya kuwa upepo wa ushindi unavuma kuelekeza merikebu za mafisadi kuelekea ushindi! Zaidi ya watu kulalamika pembeni na kuonesha kuchukizwa na ufisadi, himaya ya ufisadi itazidi kujikita na kupenya katika vyombo vingi zaidi kwani sasa hivi dalili zote zinaonesha ufisadi haufanywi na mtu mmoja bali umekuwa ni mtandao wa uhalifu ambao umeundwa na wasomi, wanasiasa, wafanyabiashara na watu wenye ushawishi mkubwa kwenye jamii.

Ninashukuru umefumbua macho nakuelewa kinachotusibu, Niliona ulikuwa unapoteza mwelekeo kwa kutaka kutulazimisha tukubari kwamba ufisadi wote wa Tanzania unasababishwa na RA, I think this is a right path for us to have an honest and open debate inayohusu mwelekeo halisi wa nchi yetu rather than spending three weeks discussing mtu mmoja yaani RA.

Tungetumia wiki tatu zilizopita kujadili ni jinsi gani tunaweza kuirekebisha sytem inayo encourage ufisadi tungekuwa tumefika mbali sana but rather mheshimiwa ulikuwa very intrested kujua RA alisoma wapi which has nothing to do with the real devil in detail which is the corrupt sytem we have.

Usikate Tamaa, Watanzania watashinda, hawajaanza kushinda leo.
 
Siku zote nasema tatizo ni kuwa hakuna leadership katika jamii zetu. Kama ingekuwa west africa au south America tayari wananchi wangeshaji organize na kuingia mitaani. Demonstrations, migomo n.k Lakini hapa kwetu mtu unaibiwa halafu unafukuzwa kama mbwa. Wako wapi wasomi wetu, wako wapi wanamapinduzi, wako wapi political leaders. Mbona hofu inatuumiza? Vijijini watu hawana shida. Siku zote mass si problem tatizo ni kupata watu wa kuongoza watu. Watu wenye courage. Daring waweke wazi mwelekeo na kutupa dira. Nakwambia hakuna hata mmoja atakaye baki ndani. Watu wameshachoka lakini hatujui tunaanzia wapi. Tanzania yetu masikini.
 
Unajua shida ya CCM ni ile arrogance kuwa they can never lose. Hawajajiandaa for that possibility. Well, times do change and things that used to be can become used to be.

Nakuambia Jasusi you are right. hawa watu wana jiona untouchables. Kuwa semeni mnacho sema lakini at the end of the day sisi tupo tu. Times do change. Kama Rome na Persia zilizo tawala theluthi tatu za dunia zilianguka sembuse hiyo CCM? TEvery thing with a beginning has an end & CCM is dying a slow but sure death.
 
Ninashukuru umefumbua macho nakuelewa kinachotusibu, Niliona ulikuwa unapoteza mwelekeo kwa kutaka kutulazimisha tukubari kwamba ufisadi wote wa Tanzania unasababishwa na RA, I think this is a right path for us to have an honest and open debate inayohusu mwelekeo halisi wa nchi yetu rather than spending three weeks discussing mtu mmoja yaani RA.

Sijabadili kitu chochote, ufisadi tunaoupigia kelele sasa hivi unafungamana moja kwa moja na mtu mmoja Rostam. Ninaamini ndiye anawakilisha clear and present danger to our way of life and our democracy. Ni mtu mwenye nguvu kuliko Rais na asili ya nguvu hiyo hata kuifikiria hairuhusiwi.

Kushindwa kwetu kutokana na mtu huyo mmoja.

Tungetumia wiki tatu zilizopita kujadili ni jinsi gani tunaweza kuirekebisha sytem inayo encourage ufisadi tungekuwa tumefika mbali sana but rather mheshimiwa ulikuwa very intrested kujua RA alisoma wapi which has nothing to do with the real devil in detail which is the corrupt sytem we have.

Hili bado ninalo. Baba yake akiwa raia wa Iran (by the way Makamu wa Rais wa Iran aliingia nchini siku ya Jumapili jioni, na haikutangazwa kuwa tulikuwa tunatarajia ugeni huo wa kitaifa hadi anaibukia jumatatu. siku ambayo serikali inatoa tamko lenye kumpendelea Rostam, raia wa Iran).

Usikate Tamaa, Watanzania watashinda, hawajaanza kushinda leo.

Walishinda mara ya mwisho lini?
 
Siku zote nasema tatizo ni kuwa hakuna leadership katika jamii zetu. Kama ingekuwa west africa au south America tayari wananchi wangeshaji organize na kuingia mitaani. Demonstrations, migomo n.k Lakini hapa kwetu mtu unaibiwa halafu unafukuzwa kama mbwa. Wako wapi wasomi wetu, wako wapi wanamapinduzi, wako wapi political leaders. Mbona hofu inatuumiza? Vijijini watu hawana shida. Siku zote mass si problem tatizo ni kupata watu wa kuongoza watu. Watu wenye courage. Daring waweke wazi mwelekeo na kutupa dira. Nakwambia hakuna hata mmoja atakaye baki ndani. Watu wameshachoka lakini hatujui tunaanzia wapi. Tanzania yetu masikini.

You can be that leader my friend nothing is stopping you. It's true ulicho kisema & now is the time to put our money where our mouths are & actually do something. Even you my friend you can be a leader siyo lazima uwe mwanasiasa au mfanyabiashara marufuu. Kumbuka mapinduzi siku zote huletwa na masikini siyo matajiri wala walio kwenye gazi ya uongozi.
 
Mkjj,leo nilikuwa naongea na waziri mmoja ambaye alipata kuwa kiongozi wa vijana,akasema kuwa mwkjj anaongea mambo ya msingi sana,nimepitia hoja zako hapa kwa utaratibu mkubwa,naweza kusema kuwa zimejaa chuki binafsi dhidi ya rostam na harufu ya ubaguzi wa rangi,,haimzuii RA kuendelea kuishi maisha yake ya heshima mbele ya jamii...jamaa ana akili sana na tena wanaitajika wana JF kama mia kutoa kichwa kimoja kama cha RA
 
well.. inaonekana unamjua sana RA niambie alizaliwa wapi na lini, na alisoma shule/chuo wapi? Ukinijibia hayo tu utanisaidia chuki yangu dhidi ya ufisadi na kinara wa ufisadi nchini ambaye naamini anahatarisha usalama wa taifa letu.
 
Mkjj,leo nilikuwa naongea na waziri mmoja ambaye alipata kuwa kiongozi wa vijana,akasema kuwa mwkjj anaongea mambo ya msingi sana,nimepitia hoja zako hapa kwa utaratibu mkubwa,naweza kusema kuwa zimejaa chuki binafsi dhidi ya rostam na harufu ya ubaguzi wa rangi,,haimzuii RA kuendelea kuishi maisha yake ya heshima mbele ya jamii...jamaa ana akili sana na tena wanaitajika wana JF kama mia kutoa kichwa kimoja kama cha RA
Duuuh!
Ana akili sana eh?
 
Duuuh!
Ana akili sana eh?

Nimeiona nikaacha kuijibu. Kama mtu ana that level of thinking sioni sababu ya kubishana nae. From his name to his views it's obvious what he stands for so kubishana nae kazi bure. Don't give him the attention he is seeking kwa kumjibu. Mchunieni endeleeni na mada yeye mwenyewe atajiona mjinga.
 
Sijabadili kitu chochote, ufisadi tunaoupigia kelele sasa hivi unafungamana moja kwa moja na mtu mmoja Rostam. Ninaamini ndiye anawakilisha clear and present danger to our way of life and our democracy. Ni mtu mwenye nguvu kuliko Rais na asili ya nguvu hiyo hata kuifikiria hairuhusiwi.

Kushindwa kwetu kutokana na mtu huyo mmoja.

I think your statement is insane, RA hana uwezo unaotulazimisha tuamini kuwa anao. Mwanakijiji are you here to protect the brand of CCM by trying to sway our opinion kwamba RA ndio shetani wa matatizo yetu? Shetani wa matatizo yetu ni Kamati kuu ya CCM and RA is just a member, katika kumpa kwako RA nguvu sujakusikia hata maramoja ukiongelea nafasi ya CCM katika kumuongezea au kumpa nguvu RA ila una zunguka zunguka can you please come up with a solid statement kuhusu nafasi ya CCM katika nguvu za RA? and on saying RA ana nguvu sana so you want us to beleieve kwamba kama kesho CCM haitakuwa madarakani bado RA atakuwa na nguvu?

Hili bado ninalo. Baba yake akiwa raia wa Iran (by the way Makamu wa Rais wa Iran aliingia nchini siku ya Jumapili jioni, na haikutangazwa kuwa tulikuwa tunatarajia ugeni huo wa kitaifa hadi anaibukia jumatatu. siku ambayo serikali inatoa tamko lenye kumpendelea Rostam, raia wa Iran).

Swala la Makamu wa Rais wa Iran Kuja Tanzania halihusiani na RA inawezekana hawajatangaza kwasababu za kiusalama, Ni nani katika nchi za magharibi ambaye hapendi Rais au makamu wa rais wa Iran auwawe, hata wamarekani wana suprise visit kibao Iraq sehemu ambayo bado majeshi yao ya usalama yapo.

Mimi ninaamini unajitahidi kutafuta information amabzo hazina manufaa kwa watanzania ili zituchukulie mda na tuache kuangalia tatizo halisi amabalo ni system mbaya na iliyokufa ya siasa za kamati kuu ya CCM ambayo imeshindwa na ina encourage ufisadi.

Walishinda mara ya mwisho lini?

Watanzania tunashinda kila siku, Vijana wa miaka 18-28 wameshaanza kuamka na hii ndio generation itakayoleta mabadiliko Tanzania , kwangu mimi ninahesabu kama ushindi sijui wewe. Maana hawa ndio washika hatamu of the more prosperous Tanzania.

Mwisho naomba msimamo wako katika nafasi ya CCM katika Vita ya ufisadi
 
Naamini kuwa ukombozi hauletwi na watu wote .ukombozi unawezwa kuletwa na mtu mmoja au group ndogo la watu kwa maana hiyo ipo siku shujaa mmoja atajitolea kukomboa Tanzania kwenye mikono ya Mafisadi kwani .Mwenye kuamini aamini ,asiye amini abaki kama halivyo angoje siku inakuja.
 
........... Ni kweli kabisa umafia upo Tanzania na kwa bahati mbaya unawanufaisha baadhi ya watu wanaoufanya wakidhani wanalisaidia Taifa. ..........

na hili ndilo tatizo kubwa sana..............kwani wananchi wanaendelea kuwapigia kura hao Mafia wakidhani ni viongozi waadilifu na wapenda maendeleo.........kumbe ni sawa na Machui yaliyojivika ngozi ya Kondoo..........

1.Inabidi tuwaelimishe wananchi na hasa kwenye halmashauri jinsi ya kuwawajibisha viongozi wao....na hasa kwenye matumizi ya pesa

2.tulio na uelewa tupambane na serikali ili issingie mikataba FEKI ya madini, na WIZI unaendelea kwenye Zabuni za serikali kwa KUFICHUA UOVU WAO na ku-call for their accountability.

3.Tuzifichue Mamlaka husika ambazo ni dhaifu Kiutendaji na zilizojaa rushwa na ukiritimba usio wa lazima.........zikiwemo idara nyeti
 
LeoKweli unaamini kwa dhati kabisa Tanzania tunashinda kila siku? Hivi unajua ufukara walionao watanzania wewe? One of the poorest countries in the world with all the resources!! Sasa hivi Tanzania ni kati ya nchi zinazoongoza duniani kwa illiteracy ya watu wake. Unajua hilo wewe? For your information kama ni ushindi ni kwa kina Rostam na watu wao. Tanzania is a failed state!
 
I think your statement is insane, RA hana uwezo unaotulazimisha tuamini kuwa anao. Mwanakijiji are you here to protect the brand of CCM by trying to sway our opinion kwamba RA ndio shetani wa matatizo yetu?

CCM ni tatizo lakini CCM ni watu. Na watu hao ambao wameiharibu CCM hivyo kinara wao ni Rostam. Binafsi naona matatizo ya CCM yanahusiana moja kwa moja na uwepo wa Rostam ndani yake kuliko yeye kuwa nje. Sielewi kwanini hutaki kumhusisha RA na matatizo yaliyopo ndani ya CCM.

Shetani wa matatizo yetu ni Kamati kuu ya CCM and RA is just a member

I wish that was the case.. siyo "just a member"; hii inanikumbusha uliposema kuwa yeye pia ni "victim". You have no idea the insumountable power that he commands for reasons ambazo ninazidokeza humu lakini inaonekana mwenzangu hutaki hata kuzifikiria. RA is not "just a member".. he is the most influential and powerful member.
, katika kumpa kwako RA nguvu sujakusikia hata maramoja ukiongelea nafasi ya CCM katika kumuongezea au kumpa nguvu RA ila una zunguka zunguka can you please come up with a solid statement kuhusu nafasi ya CCM katika nguvu za RA?

Swali ni kinyume chake, CCM iliwahi kuwa na nguvu sasa hivi haina. CCM hii ya sasa is at its weakest link na swali ni jinsi gani RA ameweza kuwa na nguvu hiyo ndani ya CCM to the point that he (of course with a corrupt bunch) imekuwa dhaifu kiasi cha kutokujua kama ni Chama kile kile cha Mapinduzi!
and on saying RA ana nguvu sana so you want us to beleieve kwamba kama kesho CCM haitakuwa madarakani bado RA atakuwa na nguvu?

The other way is true.. kesho CCM haiwezi kutokuwa madarakani.. kwa kadiri ya kwamba RA na kundi analoliongoza bado wamo CCM na wananguvu hizo. RA akiondoka au kwa namna fulani kuangushwa kama lumbesa CCM itarudi kwenye misingi yake na wengine tutajikuta tunajiandikisha upya!

Swala la Makamu wa Rais wa Iran Kuja Tanzania halihusiani na RA inawezekana hawajatangaza kwasababu za kiusalama,

right!...

Ni nani katika nchi za magharibi ambaye hapendi Rais au makamu wa rais wa Iran auwawe, hata wamarekani wana suprise visit kibao Iraq sehemu ambayo bado majeshi yao ya usalama yapo.

right again!
Mimi ninaamini unajitahidi kutafuta information amabzo hazina manufaa kwa watanzania ili zituchukulie mda na tuache kuangalia tatizo halisi amabalo ni system mbaya na iliyokufa ya siasa za kamati kuu ya CCM ambayo imeshindwa na ina encourage ufisadi.

hizo information ninazozifuta zina uwezo wa kuleta tofauti ya mambo 1001.. kwa maneno mengine unasema kuwa na wewe hujui RA ametokea wapi na amewezaje kufika hapo alipofika hadi kufikia kuifanya CAspian kuwa kama makao makuu ya umoja wa Vijana!

Watanzania tunashinda kila siku, Vijana wa miaka 18-28 wameshaanza kuamka na hii ndio generation itakayoleta mabadiliko Tanzania , kwangu mimi ninahesabu kama ushindi sijui wewe. Maana hawa ndio washika hatamu of the more prosperous Tanzania.

I have no idea what is the basis of such a view..

Mwisho naomba msimamo wako katika nafasi ya CCM katika Vita ya ufisadi

Ndiyo wanufaika wa kwanza kabisa wa mazao ya ufisadi. Na ni wao ambao wameshikwa pabaya na kinara wa mambo hayo na genge lake. Na hivyo, siwezi hata kwenye njozi zangu kumtenganisha RA na CCM, ni kile ambacho wanakiita "part and parcel"..

ni shilingi ile ile pande tofauti tu.
 
LeoKweli unaamini kwa dhati kabisa Tanzania tunashinda kila siku? Hivi unajua ufukara walionao watanzania wewe? One of the poorest countries in the world with all the resources!! Sasa hivi Tanzania ni kati ya nchi zinazoongoza duniani kwa illiteracy ya watu wake. Unajua hilo wewe? For your information kama ni ushindi ni kwa kina Rostam na watu wao. Tanzania is a failed state!

Ninasema watanzania tunashinda kila siku kwa kumaanisha kwamba kila siku tunapiga hatua mbele katika , Kuhoji na kushiriki katika mambo mbali mbali ya maendeleo. Vijana wengi sasa wameshaanza kuamka na kuanza kudai nchi yao. Tupo katika Safari ya Ushindi kuelekea maendeleo, unaweza ukafikiri hatupigi hatua ila mimi ninaona tunapiga hatua.

Ninachompinga mwanakijiji ni ile notion ya kwamba RA ndie anayesababisha umasiki wa Tanzania, Kwanini anaogopa kuitaja CCM ambayo kwa mika 40 bado imeshindwa kutufikisha tunapotaka kufika.

Mwanakijiji ana agenda yake ya siri , Mimi ninamwomba atueleze nafasi ya CCM katika kutupa huo umasikini, pili atuambie nafasi ya CCM katika kumpa nguvu RA .
 
Ninachompinga mwanakijiji ni ile notion ya kwamba RA ndie anayesababisha umasiki wa Tanzania, Kwanini anaogopa kuitaja CCM ambayo kwa mika 40 bado imeshindwa kutufikisha tunapotaka kufika.

Hiyo notion ni ya kwako mwenyewe kwa sababu hakuna mahali hata pamoja ambapo nimesema au kuashiria kuwa umaskini wa Tanzania unatokana na RA. Nimemhusisha RA na wizi mkubwa wa EPA na ufisadi uliokubu katika serikali yetu. Umaskini wa Tanzania haujulikani unasababishwa na nini, muulize JK uone.

Mwanakijiji ana agenda yake ya siri , Mimi ninamwomba atueleze nafasi ya CCM katika kutupa huo umasikini, pili atuambie nafasi ya CCM katika kumpa nguvu RA .

agenda yangu mbona mimi siyo ya siri. One is to expose RA for who he really is kitu ambacho hakuna chombo au mtu hata mmoja Tanzania ambaye anaweza kuthubutu na pili kuionesha kuwa CCM inahusika na ufisadi wa Tanzania.

Hili la pili nimeshalifanya mara kadhaa huko nyuma, RA ni recent addition. Ungekuwa unanisoma vizuri ungegundua kuwa nimeshaandika makala isemayo CCM na ufisadi ni kama mama na Mwana na kuwa CCM haiwezi kuukana ufisadi.

Nimeenda level ya pili kuwa ndani ya CCM ni nani wanahusika na huu ufisadi. Ukisoma Cheche nimeshawataja wengine tangu mwaka jana na RA ndiye kinara wao.

Katika hili mimi sina utata wowote ule.
 
CCM ni tatizo lakini CCM ni watu. Na watu hao ambao wameiharibu CCM hivyo kinara wao ni Rostam. Binafsi naona matatizo ya CCM yanahusiana moja kwa moja na uwepo wa Rostam ndani yake kuliko yeye kuwa nje. Sielewi kwanini hutaki kumhusisha RA na matatizo yaliyopo ndani ya CCM.

Kwahiyo unaniambia CCM ilikuwa clean kabla ya RA hajaingia huko mwaka 1994. There is a big consesus between High members of CCM Leadership on what RA is doing and that why he is succesfull to impliment whatever evil he want, because in any way he represent the majority view of the High CCM Leadership otherwise wangekuwa wameshamng'oa.

CCM High Leadership imetugengenezea kina Chavda,EPA,Kiwila na mengine mengiiiiiii, therefore we have proved time to time kwamba when we deal na mtu mmoja mmjoja it doesnt help and the main solution is to take on the whole gang by taking on their umbrella which is the Kamati Kuu ya CCM which has a consesus kwenye ufisadi, taking out just one vote out of 1000 it wont help us much. We will come back here in 2 years with a new name asking where are they from while we will be sitting in the same shit.

Sio kweli Sikatai kumhusisha RA na matizo ya CCM but we need to deal with the big picture which is the whole comitee, because hata ukisema RA anaondoka leo CCM if he still wana be there he can put his puppet to continue to drive his agendas but if we erase the whole High level CCM leadership that will be a proper fall of RA because eventually we will be able to take over the Leadership with the new clean ethics in place.

Now I see that your so loyal to CCM to the extent unaona kama ni dhambi kukitaja chama hata kama kina matatizo na ndio maana unazunguka zunguka kumtaja mtu mmoja.

Kama Viongozi wa CCM wakitaka RA siku moja tu hamalizi ndani ya Chama, Ila wanmkumbatia kwasababu they have alot in common
 
Kwahiyo unaniambia CCM ilikuwa clean kabla ya RA hajaingia huko mwaka 1994.

Hii ni habari mpya.. RA alijiunga na CCM 1994? Alitokea wapi, aliwahi kuwa hata kwenye umoja wa vijana?
There is a big consesus between High members of CCM Leadership on what RA is doing and that why he is succesfull to impliment whatever evil he want, because in any way he represent the majority view of the High CCM Leadership otherwise wangekuwa wameshamng'oa.

Not necessarily.. yawezekana hawawezi kumng'oa kwa sababu yeye kashikilia mpini!

CCM High Leadership imetugengenezea kina Chavda,EPA,Kiwila na mengine mengiiiiiii, therefore we have proved time to time kwamba when we deal na mtu mmoja mmjoja it doesnt help and the main solution is to take on the whole gang by taking on their umbrella which is the Kamati Kuu ya CCM which has a consesus kwenye ufisadi, taking out just one vote out of 1000 it wont help us much.

Once again you are trivializing the role of RA.. he is not just "one member".. he is not just "one vote".. and definitely he is not just a "victim". He is the mastermind!

We will come back here in 2 years with a new name asking where are they from while we will be sitting in the same shit.

whatever that other name may be, we will deal with it when push comes to shovel.. right now.. RA must go!
Sio kweli Sikatai kumhusisha RA na matizo ya CCM

ndicho unachofanya.. several times umejaribu kutufanya tuondoe macho yetu on the corruption personalized..
but we need to deal with the big picture which is the whole comitee,

unaweza kuvunja mti kwenye shina au kwenye matawi.. au kungoa kisiki kabisa.. for now.. ni hili shina.. hicho kisiki na mizizi tutafika tu.. ni lazima tupunguze nguvu zake kuendelea kuzaa matunda ya ufisadi.

because hata ukisema RA anaondoka leo CCM if he still wana be there he can put his puppet to continue to drive his agendas but if we erase the whole High level CCM leadership that will be a proper fall of RA because eventually we will be able to take over the Leadership with the new clean ethics in place.

Idealy that might be the proper way.. unfortunately I don't function in ideal world.. I'm a realist.. the probelkm for me now is RA and the puppets he is creating now and those mercenaries of corruption who have infiltrated different levels of our government even to the most high office!
Now I see that your so loyal to CCM to the extent unaona kama ni dhambi kukitaja chama hata kama kina matatizo na ndio maana unazunguka zunguka kumtaja mtu mmoja.

Nimekuwekea post zangu mbalimbali.. mimi sijui kujiumauma meno. CCM ni tatizo, ni tatizo ni tatizo na ndiyo walioulea ufisadi na wakanufaika na matunda yake. Ni wao waliomcreate RA na RA akageuka na kuwatafuna!

Kama Viongozi wa CCM wakitaka RA siku moja tu hamalizi ndani ya Chama, Ila wanmkumbatia kwasababu they have alot in common

Si kweli.. hakuna kiongozi wa CCM anayeweza kumnyoshea RA kidole au kumuondoa. Ataondoka akitaka siyo kwa sababu CCM inataka aondoke na akiondoka ataondoka kwa matarumbeta na shangwe na huzuni na machozi.

You still have no idea who RA really is. I wish I could tell you.. but if I do that I'll have to..
 
H

I myself I can take out RA, that why I believe if CCM wants they can too. And if you dont believe me PM me and I will give you a stratergy which will take you only three 3 weeks make him history in Tanzanian politics.

But I need a proof why CCM cant take him out.
 
Back
Top Bottom