AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,080
Dah....yani umesemakweli kabisa...mpaka wajione wao ndo wenye bahati kumbe movie ilishaandikwa cast tu ndo hajakamilika!!!Lolzzz!Embu fanya fasta huo mpango bibie.....
Ndo tunarudi pale pale kwenye hii Thread,,, Gentle push, anatoa wazo anafikiri yeye ndo kalitoa kumbe umempandikiza ... LOL ... akija unajifanya hata kusita kama unafikiria kumbe ......