Maendeleo ya Ujenzi wa Kituo cha Mabasi cha Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam, kazi Inaendelea kwa kasi kubwa

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,237
4,765
Matumizi Sahihi ya Rasilimali Zetu Huleta Matokeo Mazuri Kwetu Sote

FB_IMG_16020539483277288.jpg
FB_IMG_16020539440931658.jpg
FB_IMG_16020539406626463.jpg
FB_IMG_16020539371439846.jpg
FB_IMG_16020539326991203.jpg
FB_IMG_16020539271179389.jpg
 
hiki kituo ni cha kimataifa, na kita kuzma sana uchumi wa Tanzania, mapato yataongezeka mara dufu,
sasa ni wakati muafaka kwa wana mbezi, kibamba na Kiluvya Gogoni kujenga Hoteli zenye hadhi maaana maeneo hayo yata changamka sana kibiashara.
Hongera JPM kwa kazi nzuri
 
Naipongeza sana serikali hii, ni kituo kizuri, cha kisasa kabisa na mazingira yake ni poa sana. Wahakikishe tu entrance na exit zinakuwa smooth kuondoka foleni hapo Mbezi. Wenye maeneo yao Goba, Mbezi, Malamba, Kibamba, Kwembe ni wakati wa kusimamisha hoteli, nyumba za kupanga nk huku serikali ikihakikisha barabara za ndani zinapitika nyakati zote.
 
Ujenzi umesusa sua Sana... Wiki ijayo Tarehe 15 kitaanza kutumika Kama walivyoahidi? Au Mpaka Mwakani Hapo.
 
hivi hii barabara ya njia sita/nane hiziwekewi taaa za barabarani?
kama zikiwekwa taa za barabarani kwakweli zitang'arisha sana jiji.
 
Back
Top Bottom