Mungu ataendelea kumpigania na atakuwa mzima.
Namimi inabidi nijifunze kukufananisha na huyo paka!!huwa nikikutana na comments zako nacheka sanaaa, nikiangalia na avatar yako najikuta napiga picha jinsi akili yako ilivyo
mungu huyo huyo kijana anayefahamu kamwekea sumu mwakyembe ?
Huyu ni mtoa roho za watanzania afie mbali...
Na kama kweli alishiriki kutuhadaa watanzania mwaka 2005 hadi tukachagua raisi mbovu....noo mwache apate adhabu yake hapahapa dunianiMshituko wa nini?!
Jamani lkn kama kweli Lowassa yuko nyuma ya hujuma dhidi ya Mwakyembe, hastahili kuonewa huruma hata kidogo....!
!
Wakuu, asanteni kumuombea Mh. Edward Lowassa. Ni kweli amelazwa hapa Ujerumani na hali yake inaendelea kuwa nzuri. Mh. alipatwa na shinikizo dogo (Ischemic Stroke) linalotokana na kazi nyingi mfululizo bila kupumzika, ila madaktari wamempa clean bill of health na kwa sasa anapumzika kitandani. Baada ya siku chache Mh. atarudi kuendelea na shuguli za ujenzi wa taifa. Muombeeni mpiganaji wetu. Asanteni
Wapo wanaosambaza ujumbe kupitia SMS kwamba Mh. Amefariki, hapana. Huo ni uzushi wa kupuuzwa. Mh. Ni mzima
Mungu atamjalia apone haraka arudi Arumeru kufuatilia kampeni za Mkwe wake.
Apone haraka tunamuombea
Rais hawezi kutibiwa Muhimbili.Aaseeee!!!!!!!' alikuwa haiwezekani kutibiwa/kuchekiwa muhimbili?!?
..........funkuro !...apate nafuu mchapa kazi huyu,
..............funkuro !Mpe salamu zangu za upendo na na upenzi kwake. Mwambie tunampenda na tunamwombea awe na afya iliyokamilka.