Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

Status
Not open for further replies.
Mapambano yapi! Yakuwapa wabaya wake sumu? Au yakuwanyonya watanzania kupitia dowans? Au yakuyaingiza makanisa jehanamu kwakutoa rushwa yakuwajengea majengo? Au yakuzuia ufanikishwaji wa dhana yakujivua gamba?
Leo ndiyo tutawajua wanafiki eti apone haraka aje aendelee na mapambano...yaani mtoa roho unamtakia afya njema...
 
Wakuu, asanteni kumuombea Mh. Edward Lowassa. Ni kweli amelazwa hapa Ujerumani na hali yake inaendelea kuwa nzuri. Mh. alipatwa na shinikizo dogo (Ischemic Stroke) linalotokana na kazi nyingi mfululizo bila kupumzika, ila madaktari wamempa clean bill of health na kwa sasa anapumzika kitandani. Baada ya siku chache Mh. atarudi kuendelea na shuguli za ujenzi wa taifa. Muombeeni mpiganaji wetu. Asanteni
Shughuli za ujenzi wa taifa ua kujisafisha makanisani? fafanua kidogo mkuu sioni hiyo shughuli unayoiita ya Ujenzi wa Taifa
 
Shughuli za ujenzi wa taifa ua kujisafisha makanisani? fafanua kidogo mkuu sioni hiyo shughuli unayoiita ya Ujenzi wa Taifa
Mi nadhani hapa mtoa mada alikuwa anamaanisha ubomoaji wa taifa. Yani Sir GOD angemchukua huyu jamaa kuwawajibisha watu ingekuwa rahsi sana, coz he is behind all evil! Dam!
 
Aaseeee!!!!!!!' alikuwa haiwezekani kutibiwa/kuchekiwa muhimbili?!?
Muhimbili haijawahi kuwa hospitali ya wakuu wa nchi hii. Miongoni mwao atakayepata mafua anakwea pipa huyoooo! Mpaka appolo au st. James au ujerumani. Hivi hujiulizi kwa nini mgomo wa madaktari hauwagusi kabisa? Hapo ndipo nchi ilipofikia...hongera Jk, hongera ccm
 
Kuna mgomo wa madaktari.....
Hapa ulijiuzia...

Vipi hali ya Rostam na Chege...binafsi hawa siwezi kuwaombea eti wapone badala yake wafe maana wamesababisha watanzania wengi kupoteza maisha kwa ufisadi wao...mafisadi, wanafiki wote kufeni tena haraka sana...
Hapa ukaona, liwalo na liwe! punguza makali mkuu, tumuombee uzima ili aje kushuhudia kubunga cha 2015.
 
Natamani siku nisikie neno UFISADI linatoka kinywani mw Edward.
 
Wakuu, asanteni kumuombea Mh. Edward Lowassa. Ni kweli amelazwa hapa Ujerumani na hali yake inaendelea kuwa nzuri. Mh. alipatwa na shinikizo dogo ([FONT=Arial,Helvetica]Ischemic Stroke[/FONT]) linalotokana na kazi nyingi mfululizo bila kupumzika, ila madaktari wamempa clean bill of health na kwa sasa anapumzika kitandani. Baada ya siku chache Mh. atarudi kuendelea na shuguli za ujenzi wa taifa. Muombeeni mpiganaji wetu. Asanteni
Mpeni pole na Mungu amsaidie apone haraka,but napata shida kujua ni kazi gani anafanya bila kupumzika za ujenzi wa taifa? Na ni taifa gani hilo linamuweka busy hivyo? maana mimi najua yy ni mbunge tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom