Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 264
Wakuu, asanteni kumuombea Mh. Edward Lowassa. Ni kweli amelazwa hapa Ujerumani na hali yake inaendelea kuwa nzuri.
Mh. alipatwa na shinikizo dogo (Ischemic Stroke) linalotokana na kazi nyingi mfululizo bila kupumzika, ila madaktari wamempa clean bill of health na kwa sasa anapumzika kitandani. Baada ya siku chache Mh. atarudi kuendelea na shuguli za ujenzi wa taifa.
Muombeeni mpiganaji wetu. anteni. Wapo wanaosambaza ujumbe kupitia SMS kwamba Mh. Amefariki, hapana. Huo ni uzushi wa kupuuzwa.
Mh. Ni mzima. Wapiganaji Mh. Benno Malisa, Peter Serukamba, January Makamba, Makongoro Mahanga, Mama Shelukindo na Zitto Kabwe, endelezeni vita vya kulikomboa taifa. Mh. anawaaminia
Update
Kwa taarifa zaidi. Jemedari Mkuu. Jembe la Maendeleo ameshawasili nchini. Amerudi salama na anawashukuru wote mliomumbea. Mkuu atajumuika kuhakikisha ushindi wa Kishindo kule Aerumeru Mashariki