Maelezo binafsi ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe dhidi ya tuhuma za rushwa kwa Umma

mjamaa ZITO! ACT imefadhiliwa na nan hizo office ilizofungua? imepata ruzuku kias gn? mbona vyanzo vyake vya mapato vinafahamika?
 
Hata angemiliki meli si kaisha waachia chama chenu fanyeni kazi zenu yeye hata angekuwa mjima bado hayawahusu,tumewachoka.fanyeni kazi za uzalishaji.
 
Jiulize kwanza kabla ya kuandika upuuzi.
Je hao uliowataja umewahi kusikia wakijinadi kuwa ni wajamaa na wanafuata itikadi za Nyerere?

we kweli kibogo. umeambiwa ujamaa ni umasikini?. Nchi zenyewe zilizokuwa zinajipambanua kama za kijamaa hazikua masikini. Ulitaka amiliki aina gani ya gari ili aonekane mjamaa¿

ficha upumbavu wako wewe kibogo nkubwa
 
Hizi propaganda hazijengi nchi. Tuachani umazwazwa na twendeni vijijini na mitaani kufanya kazi za wananchi. Porojo ya Hammer imechacha. Tafuteni porojo nyingine.

Nawasihi sana, tache haya. tupambane dhidi ya mfumo wa uchumi wa kinyonyaji unaofaidisha watu wachache. Tubomoe mfumo wa uchumi wa kifisadi unaowaacha wananchi wakiwa mafukara.

Propaganda hazijengi
 
Zitto anaweza kuwa chochote ila siyo mjamaa na hawezi kuwa mrithi wa falsafa za Mwl. Nyerere kama anavyojipambanua.

Na Mbowe je, yeye ni mfuasi wa nani? Anamiliki nini?

Ila BAVICHA mna matatizo sana, Zitto kawaachieni ubunge na chama chenu, kaenda zake ACT anajenga chama wala hana habari tena na nyie, ila nyie kila siku mnamsakama hata huko aliko. Ndiyo maana CCM wanasema hamfai kabisa kupewa nchi.
 
1. Hilo gari alishalikanusha
2. Mwalimu nyerere ambaye hatuna shaka na ujamaa wake mikutano alikuwa anafanyia Kilimanjaro hotel, hilo unalionaje? Mwalimu hakuwa mjamaa?
3. Inasikitisha hiyo picha yake akiwa na Rostam ilipigwa kwenye msiba wa Mama yake! wewe unaileta kana kwamba alikuwa na biashara binafsi na Rostam. Hiyo sio siasa ni roho mbaya mkuu.
Hilo gari alilolipanda ni tofauti na hiyo ya kwenye harusi. tafakari kabla hujaandika
 
Waache hao wajinga wajambishwe na Zitto, na bado watatapatapa sana.

Lowassa asipopitishwa na kamati kuu wallahi ccm itasambaratika,namshukuru kingunge keshawatahadharisha mapema lazima mumpitishe mtu anayependwa na watu.
 
Lowassa asipopitishwa na kamati kuu wallahi ccm itasambaratika,namshukuru kingunge keshawatahadharisha mapema lazima mumpitishe mtu anayependwa na watu.
roho ya ccm imeshikiwa na Lowasa wakimteua ccm itakufa wasimteua ccm itakufa.
 
huwa namshangaa huyu mjamaa press comferenc anafanyia Serena hotel.......kweli huyu ni mjamaa.....
 
Hivi wewe katika maisha yako umewahi kupanda magari mangapi? Kila gari unalopanda ni la kwako? Kama unauthibitisho kuwa Zitto ana miliki hammer onyesha nakala ya kadi ya gari.

Mbona Lema amekuwa akipanda erkopta mara kwa mara, nayo ni yake? Acha chuki binafsi kwa ZZK! Mmemfukuza CDM na ubunge akawaachia bado tu mnamfatilia na visa vya kutunga!

Huo sasa ni ubishi. Una uhakika kuwa unachotetea ni sahihi?
 
Iko kazi. Nani alikwambieni ujamaa ni umaskini. Ujamaa ni itikadi isiyorihusu unyonyaji wa nguvukazi ya mtu kwa mtu na kupigana kujenga jamii ya usawa. Kua na hammer sio hoja kama halijapatikana na fedha inayotokana na dhuluma.
 
Watu wanadai wamemalizana na Zitto lakini kila kukicha wanaanzisha nyuzi zinazomhusu yeye.

Nilidhani sasa nguvu ingeelekezwa kwenye ujenzi wa chama na mambo kama hayo.

Kama unaukubali uwezo wa mtu be straight tu siyo kupakazia la sivyo ulcers zinakuhusu.
Zitto ameshajimaliza mwenyewe nani anahangaika naye?
 
mjamaa ZITO! ACT imefadhiliwa na nan hizo office ilizofungua? imepata ruzuku kias gn? mbona vyanzo vyake vya mapato vinafahamika?

Hiki chama cha wanyonge na kinaendeshwa na wanyonge. Tumepanga Ofisi Kijitonyama na tunalipa kwa michango wa wanachama. Hakuna chama cha siasa kilichoanza na ruzuku. Ruzuku huwa inakuja baada ya uchaguzi. Lazima sasa tusote ilu tuweze kupata viti vingi vya ubunge na kura nyingi tuweze kuendesha chama sawa sawa. Kwa sasa tunajikongoja. Tutafika kwa uwezo wake mola na nguvu za wanyonge.

Chama chetu cha uwazi. Vyanzo vyetu vya mapato vitawekwa hadharani na kukaguliwa na mkaguzi aliyeteuliwa na CAG. Mahesabu hayo yatawekwa kwa umma.
 
Hiki chama cha wanyonge na kinaendeshwa na wanyonge. Tumepanga Ofisi Kijitonyama na tunalipa kwa michango wa wanachama. Hakuna chama cha siasa kilichoanza na ruzuku. Ruzuku huwa inakuja baada ya uchaguzi. Lazima sasa tusote ilu tuweze kupata viti vingi vya ubunge na kura nyingi tuweze chama sawa sawa. Kwa sasa tunajikongoja. Tutafika kwa uwezo wake mola na nguvu za wanyonge.

Chama chetu cha uwazi. Vyanzo vyetu vya mapato vitawekwa hadharani na kukaguliwa na mkaguzi aliyeteuliwa na CAG. Mahesabu hayo yatawekwa kwa umma.
uchu wa madaraka utawamaliza nimeamua kumdhulumu Limbu chama chake Mungu atawahukumu
 
Back
Top Bottom