Kwa hiyo na wewe ni mmoja ya waliochoma vibanda vya wabara Zanzibar ili kulipa kisasi sio? Umesema walivunjiwa na jiji. Hao ndio jiji la Zanzibar? Ni mara ngapi wabara huku wanavunjiwa na jiji? Tumia reasoning mkuu
Nafikiri ufahamu wako mdogo nilijaribu kuelezea sana ili kukwepa hoja za watu kama wewe.
Mimi nalaani kitendo hicho cha kuchoma moto mali ya mtu lakini sio kuchoma moto tu hata ukiiba kwa mkono au ukatumia grada au chombo chochote kitakacho fanya hujuma juu ya mali ya mtu.
Sasa kuvunjiwa na jiji ukapoteza mali yako na kuchomewa moto kuna tofauti gani?
Nilicho kusudia kusema nikua mpaka mali yangu ina hujumiwa nilikua na vibali vyote halali ya kufanya biashara pahali hapo na miezi miwili kabla ya tokeo nilirenew leseni ya kufanya biashara.
Nikijuacho nikua watu wakivunjiwa huarifiwa popote pale, kama hakuarifiwa ni chuki maksudi za kufanya hujuma,
Hujuma haijalishi ikifanywa na mwananchi au serekali hubakia kua hujuma.