Maduka ya watu wa Bara yachomwa Zanzibar; yadaiwa ni kampeni dhidi ya Muungano!

Kwa hiyo na wewe ni mmoja ya waliochoma vibanda vya wabara Zanzibar ili kulipa kisasi sio? Umesema walivunjiwa na jiji. Hao ndio jiji la Zanzibar? Ni mara ngapi wabara huku wanavunjiwa na jiji? Tumia reasoning mkuu

Nafikiri ufahamu wako mdogo nilijaribu kuelezea sana ili kukwepa hoja za watu kama wewe.

Mimi nalaani kitendo hicho cha kuchoma moto mali ya mtu lakini sio kuchoma moto tu hata ukiiba kwa mkono au ukatumia grada au chombo chochote kitakacho fanya hujuma juu ya mali ya mtu.

Sasa kuvunjiwa na jiji ukapoteza mali yako na kuchomewa moto kuna tofauti gani?
Nilicho kusudia kusema nikua mpaka mali yangu ina hujumiwa nilikua na vibali vyote halali ya kufanya biashara pahali hapo na miezi miwili kabla ya tokeo nilirenew leseni ya kufanya biashara.

Nikijuacho nikua watu wakivunjiwa huarifiwa popote pale, kama hakuarifiwa ni chuki maksudi za kufanya hujuma,

Hujuma haijalishi ikifanywa na mwananchi au serekali hubakia kua hujuma.
 
Kama JK hatachukua hatua kali za kuwaadhibu hao wapumbafu waliochoma hayo maduka atakuwa amevunja katiba ya nchi maana aliapa kulinda nchi hii pamoja na watu na mali zao. Hawa wapumbafu manyang'au wa kisiwani unguja wanatakiwa wafunzwe adabu ili wasirudie tena upumbufu wao huo. Kama ikilazimu rais avunje muungano na japo simpendi kwa hili nitamuunga mkono.
 
Kama JK hatachukua hatua kali za kuwaadhibu hao wapumbafu waliochoma hayo maduka atakuwa amevunja katiba ya nchi maana aliapa kulinda nchi hii pamoja na watu na mali zao. Hawa wapumbafu manyang'au wa kisiwani unguja wanatakiwa wafunzwe adabu ili wasirudie tena upumbufu wao huo. Kama ikilazimu rais avunje muungano na japo simpendi kwa hili nitamuunga mkono.

we wana Mapinduzi walisha toa Warning kwa hao ndugi zako kabla ya kujiamulia hiyo issue na walipatiwa muda wa kutosha ili waondoke hapo kiusalama kabisa na walikataa ndio watetezi wa Taifa la Zanzibar wakamua kuwashughulikia!!!
Wakulaumiwa ni SMZ kwa kweli walishajua kuwa hilo Sooo litatokea na wameshindwa kuwaambia hao wafanya biashara!!!! Pumbavu mkubwa we:bange:
 
WAZANZIBARI HAWATAKIII MUUNGANO NOOOOOOOO

HAMUJUI KISWAHILI NYIE AU VIZIWI HAMUSIKII!!!!


mwada-wachanwa-430x320.jpg
 
Binadamu tuna safari ndefu sana ya kujitambua,kama inafikia mahali unamuona mtu tofauti kwa sababu ya eneo atokako wewe ni mtoto sana kwenye suala la utambuzi
 
Maumivu ya kichwa huanza pole pole, Tangazo la HEDEX.
Walinda Muungano na wanaotaka Muungano usijadiliwe wanachelewesha tu, kufumuka kwa Tanzania.
Hizi hujuma zikiachwa ziendelee, zitatokea kuwa mutually exclusive.
Kujenga ni kazi, kubomoa ni dakika tu.

Huu uliofanyika ni uhalifu, sheria ichukue mkondo wake...lakini underneath ni frustrations za wananchi ambao hawaelewi nani wa kumtupia lawama na ugumu wa maisha unaowakabili.
Tanganyika tunaambiwa hatuna serikali ya Tanganyika wala sehemu inayoitwa Tanganyika, hatuna wa kumweleza matatizo yetu, wazanzibari wanaambiwa Muungano ndio unaoleta shida zote.

Viongozi wa pande zote wanatanua, wanajinuafaisha na Muungano lakini wananchi wanagawiwa umaskini na ndio watakaoishia kutukanana,kupigana na kuuana.
Wajameni,tatizo ni viongozi.
Njia ya kuwashughulikia viongozi wabovu imeshajaribiwa katika nchi za kaskazini. Kama hawataki kuwajibika inabidi wawajibishwe.
 
duh,...
sasa muungano huu,..
kama kawaida,kila kitu tunafanya kwa sababu "nyerere alisema"!

Ni kama vile baada ya kusema nyerere basi akafunga na akili zetu
zisifanye kazi,...sipendi kauli ambazo mwisho kuna nyerere!
Mheshimiwa Speaker,
Nyerere alisema wanzibari wakikataa muungano kwa sababu ya ulevi ulevi tu hasa ulevi wa madaraka, wabara wakahuzunika wakabaki wanashangaa! ahha jamani wenzetu wametuacha, basi wanzibari wale hawatakaa salama. Mkuu naona yakitimia mbele ya macho yetu wanzibari hawataki Muungano basi watoe tamko la kuvunja kisha waende kwa amani. Na hapo ndo mataanza tena wapembaaaa na waungujaa, watumwa na watwana
 
Nilipost thread yangu moja nikieleza kuwa muungano huu ni wa viongozi tena wa ccm lakini siyo wananchi mmoja mmoja. Wengi walibeza. Lakini ukweli ni kuwa wabara hawana chao visiwani. Sisi wabara tukienda visiwani inakuwa kama tupo ugenini tena kwenye nchi ya kibaguzi. Kuna wakati nilienda Pemba nikajisikia ni mgeni kuliko hata nilipokuwa South Africa. Wabara tunatambuliwa kwa rafudhi yetu na generally hawatupendi. Ndiyo maana inaniuma sana ninapoona wao wazanzibar wanafaidi fursa za kiuchumi huku bara lakini sisi tukienda kwao wanatubagua. Tukio la kuchoma maduka, ni mwendelezo tu wa kile nilichoeleza kwenye thread yangu na tutarajie mengi zaidi.


My take:
Viongozi wetu na hasa wa visiwani watoe tamko la kulaani vikali kabisa kitendo cha kuchoma maduka na hata makanisa ya watanzania wanaotoka bara. Vinginevyo, kwa nchi tulivu kama Tanganyika itatokea vurugu ambayo wengi wao watajuta. Kuna vijana wengi tu wa bara wanazunguka kwenye maduka ya wapemba Kariakoo wakinyemelea kufanya kazi kwenye maduka ya wapemba maeneo yote ya Lumumba. Vijana hao wenye njaa hawana cha kupoteza maana wamepigika haswa. Wakipuliziwa filimbi, wapemba watarejea visiwani na kanzu zao tu. Sipendi tufike huko!
 
Tatizo si wananchi bali ni serikali inaposhindwa kutatua kero za wananchi miaka nenda miaka rudi kero tu sasa huko ndipo tunapoelekea wananchi hawana makosa ila kero za muungano zikitatuliwa haya yote hatutayaona
 
Hamad na Lipumba wapo wapi kwenye hii issue? CUF ina-stand wapi hapa? Au tumpate Nape na January au Wasirra live kuzungumzia jitihada zao kupambana na huu ubaguzi?
 
Tanzania Bara kila wakiongelea Muungano hawaongelei upande wao, faida na hasara za Muungano kwao wao Bara, wanabaki kuongelea hasara watakazozipata Zanzibar Muungano ukivunjika. Mnawafanya kama Zanzibar vitoto vidogo na nyinyi ndio mnajua kinachowafaa Zanzibar. Why?

Kama Zanzibar ndio watakaoumia Muungano ukivunjika kwa nini Bara ndio tunaobembeleza?

Kweli TZ ni Banana republic. Police wanafanya nini? Police ni kukamata hao VIBAKA walofanya fujo na kuwafungulia mashtaka.
Kwa kua tumeungana basi anapotokea anayetaka kujitenga WOTE tuna jukukumu la kumwelezea ubaya wa kujitenga - BARA hawachukulii Zanzibar kama nchi tofauti bali Tanzania moja. Tuna jukumu la kuwakumbusha uzuri wa Muungano.

Siipendi CCM maana imeshindwa kuleta maisha bora TZ na inashindwa kutetea na kuimarisha hata vitu vikubwa ilivyoanzisha kama Muungano. Sasa kwa kua tumeunganishwa Tanganyika na hivyo visiwa na ikazaliwa TZ, lazima Muungano (TZ) ulindwe kwa hali yeyote. TZ naamini kuna wengi kama mimi ambao hatutakubali Muungano kuvunjwa kirahisi hivyo, kama kweli hao VIBAKA wanataka kusikilizwa basi na watumie njia zinazokubalika kisheria kama maandamano nk.
 
na sisi tuwatoe kariakoo waondoke tusiwe wanafiki,tusichome maduka tuwaite mateja waje wachukue mimalia yao
 
Sasa hawa wazenji wamesahau kua kuna wenzao wengi tu huku bara? Sie hatuchomi ila tunagawana vitu vya madukani.

Naona umefika wakati hawa jamaa wapewe nchi yao, zanzibar imeshakua kero.
 
Ndugu zangu, nadhan sasa umefika wakati na sisi pia kuanza kudai TANGANYIKA YETU, Mambo yapo hovyo, tuliingia ktk muungano kwa mapenz ya undugu wetu bt imekua tatizo kwetu. Kwa kiasi kikubwa namkubali Mwl. Nyerere bt inapofika swala la muungano, sina shaka hapa alifanya mistakes, zenji ilipaswa icholwe mikoa, then alipo muadhibu Bwana Jumbe haraka angeitisha kura ya maoni, kwa wakati ule angefanikiwa kwa hili!
 
Kuna mwanafunzi toka bara aliwahi kubakwa na kuchanwa pande zote na wazanzibari wawili kisha wakamtupa, hata hospitali hajapelekwa ilibidi atoke bara baba yake na kuja kumchukua, wote walimcheka tu, huu wa maduka ni moja ya mifano ya unyanyasaji wa wabara wachache Zanzibar, huku wao wakiwa na kila uhuru, sasa dawa ya moto?

'Ni maji'
 
Chuki wanayo wazanzibar, kama kuvunjiwa vibanda na kupoteza mali, hata hapo big brother wabara kibao waliingia hasara, bt nyie wazanzibari mna chuki na ubaguzi wa kipumbavu, imagine kama na sisi tukiamua kuwapiga na kuwachomea moto wazanzibar waliopo bara itakuwaje?...acheni kutetea upumbavu, the only solution here ni kuhakikisha tunapigania mabadiliko ya katiba ya tanzania na marekebisho ya muungano, na cyo kunyanyasa watu binafsi, mjanajuaje kwamba hata hao watu mliowachomea moto mali zao hawaupendi muungano? acheni upumbavu.
 
Back
Top Bottom