Kwani nyie wabara mnatumia njia gani muafaka kuuenzi huo Muungano? Viongozi wenu huwa hawaelewi wanapooneshwa hisia za matakwa ya watu kwa maneno hadi wapewe intro kwa vitendo.
Wenzenu hawautaki Muungano ninyi mnalazimisha WHAT FOR?
Let this MUUNGANO thing dissolve peacefully.
Nyeere alishawaambia viongzi wa tanganyika/tanzania kuwa wazanzbari wakiamua kujitenga bila ya kushindikizwa na taifa lolote lile basi wache wajitenge sasa kwa nini munalazimisha ? Hivi vinaitwa vita baridi,,,,just beging tu,,,,yatakuja more and more...Duuh, cheki Bara wanavyobembeleza Muungano! Watu wamechoma mali unasema "jamani msifanye hivyo."
Bara bado wako kwenye denial masikini, hawaelewi somo, wenzenu hawataki Muungano!
Taarifa ya habari ya saa mbili usiku imeonyesha jinsi wafanya biashara kutoka bara, Zanzibar walivyochomewa biashara zao na watu wenye silaha, na kuambiwa waondoke kwa vile hao walioshambulia wamechoka na muungano.
Serikali imeshindwa kuchukua hatua za kisheria katika kujadili masuala ya muungano sasa hivi vinaitwa vita baridi,,,ikiwa muungano hautajadiliwa upya basi watu watauwana na chuki zanzibar juu ya tanganyika bara itazidi hapa zanzbar,,,na hapo ndio tunaelekea kubaya ni bora tuachane kwa amani na utulivu,,tuache kulazimisha ...Duu!!!! Naona kama chuki ndio inaanza kupevuka sasa... sasa kama wanamwaga mboga ni vipi hapo watanganyika wakimwaga ugali?
Hawa ni wahalifu tu na wala si wana harakati wa siasa. Hili ni kosa la jinai na wakikamatwa wafikishwe mahakamani. Kama ni kuuchoka muungano wajikusanye wapeleke malalamishi yao kwa viongozi wao kwanza, pili wampelekee risala rais wa jamhuri ya muungano. Hakuna cha muungano wa kulazimishwa hapa.
source. radio tbc at 4PM Kwa kile kinachoonekana kama chuki dhidi ya watanganyika vijana wa kizanzibari wamechoa maduka huko unguja ya wafanyabiashara wenye asili ya bara na kusababisha hasara ya zaidi ya milioni 400. hawa wameuchoka muungano. hivi nasisi tukiamua kwenda hapo kariakoo itakuwaje?
Hawa ni wahalifu tu na wala si wana harakati wa siasa. Hili ni kosa la jinai na wakikamatwa wafikishwe mahakamani. Kama ni kuuchoka muungano wajikusanye wapeleke malalamishi yao kwa viongozi wao kwanza, pili wampelekee risala rais wa jamhuri ya muungano. Hakuna cha muungano wa kulazimishwa hapa.