Madiwani nao wanunuliwe Toyota Land cruiser LC300

Kama ilivyo Kwa Mawaziri, Makatibu wakuu, Majenerali wastaafu, mwenezi na Wakuu wa Mikoa. Madiwani nao wanastahili vyombo vya usafiri vyenye hadhi.

NB: hizi gari zitarahisisha kumtembelea miradi ya maendeleo Kama ilivyoainishwa kwenye ilani
ITAPENDEZA SANA TENA SANA NCHI HII INA UKWASI WA KUTISHA
 
Back
Top Bottom