Kipindi Cha Magufuli shule binafsi zilipata kibano sana na nyingi zilifunga biashara kwa kuwekewa mikodi kibao na wazazi wengi kuondoa watato wao kwa sababu ya vyuma kukaza kila kukicha mana watu walikuwa wanapoteza kazi daily kwenye sector binafsi. Sector binafsi ilikufa kabisa mfano mabank mengi yalifungwa, bereau de change nyingi zingafungwa, makampuni kibao yakafungasha virago.
Zamani graduates walikuwa proud na shule binafsi mana zilikuwa zinalipa sana na zipo nyingi. Mpaka watu hawakuwa interested kwenda serikalini kabisa. Sasa kila ukienda kuomba kazi kwenye shule binafsi ama hawataki kabisa kuajiri au waliopo wanatosha.
Jpm was a disaster in our country. Sasa hivi graduates wanatangata ga tu hasa walimu kwa consequences za Magufuli.
Kipindi Cha JK hakuna mwalimu aliyekosa kazi Aliacha kwenda serikalini basi private zipo tena zinalipa sana.