Kwanini ktk awamu ya tano ajira binafsi na umma zilikata

Chikenpox

JF-Expert Member
Oct 15, 2022
784
1,247
Kipindi Cha awamu ya tano ya jpm ajira zote ziliyeyuka ikawa kila msomi ambaye Hana ajira anafikilia kuwa machinga na rais anafurahia Hali hiyo.

Tukianza na private sector kama mabank, hospitali binafsi au shule binafsi hazikiwa zinataka kuajiri kabisa na zaidi sana zinapunguza hata waliopo. Ilifikia hatua kuajiriwa inakuwa bahati sana na una yanyaswa to the maximum mana huna alternative nyingine ikafikia pahala mpaka graduate analipwa laki moja na nusu kwa mwezi. Kuna baadhi ya shule ukiajiliwa tu wakati wa kwenda kazini mlinzi ankupokonya simu mpaka saa moja usiku ndo atakurudishia wakati unaenda nybani mfano Nyahili iliyopo Arusha.

Public sector kama ajira kwa walimu na madaktari ikawa ni issue hakuna tena ajira na zikitangazwa wanaotaka watu elfu tano au kumi nchi nzima na zenyewe ikawa ni hadaa. Tulishuhidia katika ajira hizo wanajaza waliopo kwenye ajira tayari ili kutimiza idadi na wakati wapya hawazidi elfu moja.

Kwa Sasa angalau ajira zinaanza kumwagika private sector na public sector mana wawekezaji wameongezeka na shule zilizokufa au kufungiwa zinafufuka Sasa hivi. Mea si mrefu tutarudi enzi za jk ambapo kazi kama ualimu au udaktari ilikuwa hamna kuomba Bali unapangiwa mojakwamoja labda ukatae wewe tu.

Shukrani kwa mwenyezi mungu kutuona waja wake mana Hali ilikuwa mbaya sana.
 
Ndugu yangu kajipange kawaulize viongozi wa chadema leo mkutano wao huko Temeke.

Huyo Lissu toka ametua njia nzima mpaka kwenye huo mkutano wao wananchi hawana shauku la kusikiliza hadithi zozote zingine zaidi ya gharama za maisha.

Lissu baada ya porojo zake, wanamwambia haya tumekusikia ongelea sasa na kuhusu gharama za maisha hasa bei ya chakula. Mwenyewe akajikuta analazimika kuongelea hizo Issue bila ya kujipanga.

Soon mtakapotambua Magufuli sio size yenu ndipo mtakapoelekeza maarifa yenu kupambana na changamoto za uhalisia zinazo wakabili watanzania.
 
Ndugu yangu kajipange kawaulize viongozi wa chadema leo mkutano wao huko Temeke.

Huyo Lissu toka ametua njia nzima mpaka kwenye huo mkutano wao wananchi awataki shauku la kusikiliza hadithi zozote zaidi ya gharama za maisha.

Lissu baada ya porojo zake, haya tumekusikia ongelea sasa kuhusu gharama za maisha hasa bei ya chakula.

Soon mtakapotambua Magufuli sio size yenu ndipo mtakapoelekeza maarifa yenu kupambana na changamoto zinazo wakabili watanzania.
Jibu Uzi wangu. Mi sijaongelea kupanda kwa gharama za vyakula kwa kuwa sababu Iko wazi kabisa i.e world kutokana na vita ya urusi na Ukraine. Nchi zote wanalia siyo Tanzania tu. Mi nimeongelea ajira we unaleta ngonjera za vyakula. Shwain
 
Uzi wako auna data ni porojo tu.

Huna takwimu za ajira kulinganisha
Huna PAYE contribution za kulinganisha
Huna takwimu za TIN registered to compare.

Kwa ivyo unataka watu wajadili upuuzi uliotoa tu kichwani kwako.

Alikadhalika shida za watanzania wakawaida zipo wazi awajalia kwa wapinzani kupewa ajira wala kulamimika popote, ila gharama za maisha sasa ni kilio.

Achaneni na Magufuli hasa kipindi hiki shauri zenu huko ni kuwapa nguvu zaidi wengine, wananchi kwa sasa wanatafuta hero elsewhere wengi washaona CCM huyo mtu kwa sasa hayupo.
 
Kalaga bao. Mi naongelea uzoefu nimegrqduate kipindi Cha jk ualimu. Na kipindi kile walimu wote na madaktari wote walikuwa wanaajiruwa moja kwa moja bila kubakiza mtu labd ukatae mwenyewe na kulikuwa hamna kuomba au kuaply. Jeshi ilikuwa kila anayehitaji anaenda bila hata kupita jkt kama ilivyokuwa kwa Jpm. Ki ufupi ni kwamba jk aliheshimisha sana wasomi na watu wakawa wanafurahia elimu zao. Jpm alivyoingia tu mzuki ukaanza kila kitu kikawa issue hata jeshi ambapo ilikuwa ni wito kwenda kule Wala haikuwa issue kuwa mjeda kipindi Cha jk.
 
I guess hukuwa member J.F kipindi cha J.K wakati mada za ajira zinajadiliwa hapa.

Tafuta mada za kutekwa na kunyofolewa kucha za Dr ulimboka sababu ikiwa kuhamasisha mgomo kada ya afya wakishinikiza nyongeza ya madaktari na mishahara.

Hizo video zipo you tube
 
Mi nazumzia ajira za kuajiriwa Hilo la nyongeza za mishahara ni lako mi sijalizungumzia
I guess hukuwa member J.F kipindi cha J.K wakati mada za ajira zinajadiliwa hapa.

Tafuta mada za kutekwa na kunyofolewa kucha za Dr ulimboka sababu ikiwa kuhamasisha mgomo kada ya afya wakishinikiza nyongeza ya madaktari na mishahara.

Hizo video zipo you tube
 
Kipindi Cha awamu ya tano ya jpm ajira zote ziliyeyuka ikawa kila msomi ambaye Hana ajira anafikilia kuwa machinga na rais anafurahia Hali hiyo.

Tukianza na private sector kama mabank, hospitali binafsi au shule binafsi hazikiwa zinataka kuajiri kabisa na zaidi sana zinapunguza hata waliopo. Ilifikia hatua kuajiriwa inakuwa bahati sana na una yanyaswa to the maximum mana huna alternative nyingine ikafikia pahala mpaka graduate analipwa laki moja na nusu kwa mwezi. Kuna baadhi ya shule ukiajiliwa tu wakati wa kwenda kazini mlinzi ankupokonya simu mpaka saa moja usiku ndo atakurudishia wakati unaenda nybani mfano Nyahili iliyopo Arusha.

Public sector kama ajira kwa walimu na madaktari ikawa ni issue hakuna tena ajira na zikitangazwa wanaotaka watu elfu tano au kumi nchi nzima na zenyewe ikawa ni hadaa. Tulishuhidia katika ajira hizo wanajaza waliopo kwenye ajira tayari ili kutimiza idadi na wakati wapya hawazidi elfu moja.

Kwa Sasa angalau ajira zinaanza kumwagika private sector na public sector mana wawekezaji wameongezeka na shule zilizokufa au kufungiwa zinafufuka Sasa hivi. Mea si mrefu tutarudi enzi za jk ambapo kazi kama ualimu au udaktari ilikuwa hamna kuomba Bali unapangiwa mojakwamoja labda ukatae wewe tu.

Shukrani kwa mwenyezi mungu kutuona waja wake mana Hali ilikuwa mbaya sana.
mimi nliajiriwa awamu ya tano
 
Back
Top Bottom