Madereva wa Daladala Jijini Mwanza wagoma.

PrN-kazi

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
2,900
444
Kutokana na ongezeko la bei ya maegesho ya magari hususani daladala madereva wa daladala wameamua kuweka magari yao kando.

Watu wanaangaikia wanatembea kwa mguu masafa marefu:
Je, Tutafika????
Source: Star TV 1215hrs.
 
Back
Top Bottom