Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,263
Hahahaha! nawaonea huruma sana watoto wetu!
Je utaniruhusu niseme ninavyokufahamu mkuu wangu Boflo.
Wanawake wamezidi mifano tunayommmh! haya maneno nafikiri ni kwa wote wawili ke na me
Tatizo wanawake wa siku hizi wamekuwa ving'ang'anizi sana,mpaka tunaogopa hata kuwatongoza.Ukimpata mnakubaliana kwamba wewe ni rafiki yangu tu ila nina mchumba wangu mkisha do baadaye anataka akuharibie ili usije kumwoa huyo mchumba wako.Kila saa sms haziishi,iwe usiku,mchana ili mradi vurugu tupu.Ukimkatia mawasiliano anaanza vitisho eti ntaona kama utamwoa huyo mchumba wako.Jamani kina dada badilikeni unapompata mtu akikueleza ukweli ana mchumba wake usinogewe kiasi kwamba unataka ufanye na mapinduzi amwache wake wa zamani akuchukue wewe.
Amenituma, amesema he is more than happy if you can say something about him!
Hakuna cha usaliti ila ni katika makubaliano yenu wawili.Inaweza kuwa huko makazini, kwenye mikutano nk na katika kuzoeana wawili mkatamaniana ikafikia mahali mkaombana mchezo na mka do na si kwa ajili ya kuoana.haaa urafiki gani wa kudo kabisa yani huyo rafiki anakua kama kipoozeo haipendezi huo ni usaliti
Boflo,nilichogundua ni kwamba wadada wanataka ku-prove kama wewe ni Boflo a.k.a mkate je utalainika ktk supu au wewe ni jiwe utatengeneza supu ya mawe?sasa unapoishia njiani watasema kumbe kweli unafanana na jina lako!
btw kwanini huwatafuni?huna meno au?
Ww Mc wa maharusini??? au
Nikuonyeshe nilomzimikia?
Nakuwekea picha fasta halafu naitoa...sawa?
kumbe wasipokuchokoza una busara hivi.
mama yangu mzazi Mamndeny yaani mie ni mtu w busara sana ila tu ni mkali sana tena kwa mambo ambayo yana udhalilishaji hasa wa utu wa mtu. angalia sehem zote ninazo kuwa mkali ni kwenye wale wanaodhalilisha utu wa mtu.