Madale kwalipuka, ofisi ya CCM yavunjwa FFU kuongezwa wananchi mishale na mapanga

Mwanaharakatihuru

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
477
120
Ndugu zangu hali kutoka huko sio nzuri kama kuna mwenye mawasiliano na rais amwambie mambo ya South Africa yanendelea. Tunahitaji msaada wa redcross asap watu wanakufa.
Naripoti kutoka mstari wa mbele
 
Ni nini chanzo cha ugomvi huo? Kama hutajali, tafadhali toa maelezo zaidi kuhusu tukio hilo.
 
MAPEPARI WANATAKA KUCHUKUA MAENEO YOTE BU I PROMISE YOU WE WILL DEFEAT YOU, Na kwa taarifa yenu asilimia kubwa ya wakazi wa huku ni wanajeshi sasa kuna mkakati wa kwenda kuiba silaha amari kujibu mapigo
 
Hao ni wavamizi wa maeneo ya watu wanaondolewa na serikali sababu waliamuliwa na mahakama watoke wakakataa na ardhi wanayokaa siyo yao ni ya wananchi wengine kwa hiyo serikali inachukua hatua zaidi
 
Polisi wamekuja kuwandoa wavamizi nakuvunja nyumba zao ndo chanzo cha yote
 
Serikali inawatoa watu ambao wamevamia ardhi ya watu tu na c vinginevyo na hao wavamizi wameanzisha vurugu kupigana na askari kwa kutumia mapanga na mikuki
 
Hao ni wavamizi wa maeneo ya watu wanaondolewa na serikali sababu waliamuliwa na mahakama watoke wakakataa na ardhi wanayokaa siyo yao ni ya wananchi wengine kwa hiyo serikali inachukua hatua zaidi
Hata wakurya wa Nyamongo wanaambiwa ni wavamizi, na wenye haki na ardhi na madini ya Nyamongo ni wazungu toka ughaibuni. Ndiyo bongo tunayoijenga.
 
JK hajasafiri kikazi kweli au bado yuko magogoni?

Kumbe umegundua mimi nilishagundua siku nyingi.Mkulu anatarajiwa kwenda kumzika Melek Zanawi wa Ethiopia, damu za watanzania lazima zimwagike kabla hajaondoka.Mbona kazi tunayo hadi 2015
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom