Madale kwalipuka, ofisi ya CCM yavunjwa FFU kuongezwa wananchi mishale na mapanga

aah! huju jamaa ndo ananotafutia ban bwana! badala ya kuleta habari za uhakika anaanza kulialia tu!, mara anaenda mochwari! mara yuko mstari wa mbele, nikaona nikimpa ilo, lazima atanijibu tu

i see unaandika kama maralia Sugu
 
Last edited by a moderator:
Wakuu pia hebu tujikumbushe, mwenye historia ya wenye eneo la madale watuambie ni kina nani? Hapa namaanisha wale ambao walikuwa wameweka mapori halafu yakavamiwa na wananchi ni watu gani hasa? Hebu taja mashamba unayoyafahamu pale na wamiliki wake? Maana kuna mafisadi ambao kazi yao ni kukamata maeneo tu ili mradi azma yao ya ulafi na u-setler imetimia. Yaani ardhi inakaa inakuwa msitu na mwishowe inakuwa makazi ya vibaka, majambazi na wauza unga halafu wakazi wa jirani wanaumia. Sheria za mipango miji nazo zingatiwe, mtu ambaye haendelezi ardhi au hata kuisafisha ili isivamiwe basi na anyang'anywe wapewe wahitaji. Tukifuat sheria hizi nakuambia hutasikia shamba limevamiwa wala fujo na watanzania damu zitapungua au kuacha kumwagika.
 
Nilikuwa nachukua interview hapa ya BBC ndio maana nilitoweka kidogo

Hakuna shida mkuu. Nilifikiri umekula ban kwa kutumia ligha chafu kumbe nilikuwa nimeangalia vibaya. Aliyeandika matusi ni ID Markj. Ile ya kwako nimesha-delete. Tupe habari kamili sasa mambo yameendeleaje huko madale?
 
Mahakama si zipo kwanini usiende kuwashitaki hao wavamizi?
Mahakama zenye majaji wasiostahili hata uhakimu wa wilaya haziwezi kutenda haki. Umewahi kumsikia jaji Mbarouk wa mahakama ya rufaa?
 
KWA TAARIFA NI KWAMBA MAENEO YA MADALE PEMBEZONI MWA JIJI LA DAR ES SALAAM KUMEZUKA VURUGU KUBWA SANA...WANANCHI WAKIGOMBEANA MAENEO YA ARDHI....ASKARI WAMEZIDIWA NGUVU NA KUAMUA KUTUMIA MABOMU NA RISASI ZA MOTO...

source:ITV

Hivi maana ya banned ni nini? Mbona watu huwa wanaandikiwa hivyo na wanazidi kuchangia na kupost siredi?
 
Wakuu pia hebu tujikumbushe, mwenye historia ya wenye eneo la madale watuambie ni kina nani? Hapa namaanisha wale ambao walikuwa wameweka mapori halafu yakavamiwa na wananchi ni watu gani hasa? Hebu taja mashamba unayoyafahamu pale na wamiliki wake? Maana kuna mafisadi ambao kazi yao ni kukamata maeneo tu ili mradi azma yao ya ulafi na u-setler imetimia. Yaani ardhi inakaa inakuwa msitu na mwishowe inakuwa makazi ya vibaka, majambazi na wauza unga halafu wakazi wa jirani wanaumia. Sheria za mipango miji nazo zingatiwe, mtu ambaye haendelezi ardhi au hata kuisafisha ili isivamiwe basi na anyang'anywe wapewe wahitaji. Tukifuat sheria hizi nakuambia hutasikia shamba limevamiwa wala fujo na watanzania damu zitapungua au kuacha kumwagika.

hati miliki zilipokuwa zinatolewa unapewa ya miaka 99,na kuhusu wamiliki wapo na jaribu kuangalia post za tukio hili kuna mwanajf ainunua kiwanja huko alikuwa ulaya aliporudi akakuta mlinzi aliyemuacha amejenga nyumba anaishi na hataki kutoka kwa hiyo sio suala la mafisadi ni wananchi wanaomiliki hayo maeneo na ndio majina yao yapo katika hati na mahakamani
 
Unajua hata wakazi wa dar es salaam wamevamia ardhi ya zanzibar sasa subirini tuone.

zanzibar na daresalaam ni TANZANIA mkuu,utakaa kusubiri kuona hadi mvi zinaota,take responsibility dont find someone to blame cause u will b a failure,but ur not a failure my bro,
 
Haya tupeni updates, ugomvi umefikia wapi? Maana mtoa post alianza kwa kuomba msaada wa Red-Cross. Majeruhi ni kiasi gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom