Madale kwalipuka, ofisi ya CCM yavunjwa FFU kuongezwa wananchi mishale na mapanga

hapo kwenye red mods fanyeni kazi yenu hatuwezi tukawa na great thinkers kama hawa jamvini
namna hii mods hawawezi kujua, nenda kwenye kitufe hapo juu ya kila post kimeandikwa REPORT ABUSE bofya watapata taarifa asap
 
Kumbe umegundua mimi nilishagundua siku nyingi.Mkulu anatarajiwa kwenda kumzika Melek Zanawi wa Ethiopia, damu za watanzania lazima zimwagike kabla hajaondoka.Mbona kazi tunayo hadi 2015
maweeee!,
inamaana ndio huwa zindiko lake kabla hajasafiri lazma wabongo tuvujishane damu!, sasa napata picha baada ya kuunganisha nukta
 
Nime pita hapo madaletukitokea kimara via msumi ili nitokee tegeta kweli hali ni mbaya hapo madale!nime kuta FFU wa kumwaga nme uliza wenyeji wana sema ni ugomvi wa viwanja
yaani kuna vikundi vya vijana wahuni ambao wana uza viwanja vya watu mara mbili na wana wauzia watu ambao ni wageni
sasa mwenye kiwanja ukija hapo ndio tifu lilipo anzia....
 
na watu wasiojua lolote wanazulumiwa pesa zao na hao wavamizi sababu baada ya kuuziwa wakienda kufuatilia ardhi wanakuta jina la mtu mwingine,serikali inataka kukomesha hiyo hali
 
Hata wakurya wa Nyamongo wanaambiwa ni wavamizi, na wenye haki na ardhi na madini ya Nyamongo ni wazungu toka ughaibuni. Ndiyo bongo tunayoijenga.

Mahakama si zipo kwanini usiende kuwashitaki hao wavamizi?
 
Halima Mdee popote ulipo njoo madale hali ni mbaya casuality ni kubwa sana I am count bodies here!

poleni sana kwa matatizo.

Kwa msaada wa haraka mtafute J. Kikwete anapatikana pale magogoni, au DIWANI wa Madale anapatikana kiurahisi pia,

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Mbona wewe Mwanaharakati huru umezimika ghafla badala ya kuendelea kutuletea habari?
Kama uko mstari wa mbele kama ulivyosema inatakiwa ulete habari za uhakika ukiambatanisha na picha pia.
Siyo kudonoadonoa tu na kuturusha roho, haujui wengine tumewekeza huko?
 
Nime pita hapo madaletukitokea kimara via msumi ili nitokee tegeta kweli hali ni mbaya hapo madale!nime kuta FFU wa kumwaga nme uliza wenyeji wana sema ni ugomvi wa viwanja
yaani kuna vikundi vya vijana wahuni ambao wana uza viwanja vya watu mara mbili na wana wauzia watu ambao ni wagenisasa mwenye kiwanja ukija hapo ndio tifu lilipo anzia....

RED: Ina maana hawa jamaa hawana tofauti na Serikali DHAIFU inayochukua ardhi na kuwauzia Wageni kwa kisingizio cha uwekezaji.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
weeee, anavyopenda trip,
kaenda kwenye msiba wa Meles Zenaw kule Ethiopia

aiseeee baba yangu jei kei anachofanya sio haki kabisa anasafiri bila ku2pa taharifa..nilitaka nimpe barua awapelekee ndugu zangu waliopo ethiopia

ngoja nikapate mbege nikate kiu
 
Mbona Mkuu wa Wilaya anasema hakuna majeruhi yeyote? sasa hivi ITV?

Mkuu Z,
Mh. Waziri Mkuu Pinda wakati wa kikao cha bunge lililomalizika hivi karibuni alisema wakuu wa wilaya na mikoa ni wanatumikaia chama tawala!! Sasa unategemea neno gani toka kwa mkuu huyu wa wilaya? Fumbo!!
 
tayari suala lilishaenda mahakamani ndio maana unawaona polisi wapo kazini.

Naongelea huyo aliyesema kavamiwa na wazungu. Najuwa Madale ni watu waliovamia hawataki kuondoka baada ya mahakama kuwaamuru waondoke.
 
na watu wasiojua lolote wanazulumiwa pesa zao na hao wavamizi sababu baada ya kuuziwa wakienda kufuatilia ardhi wanakuta jina la mtu mwingine,serikali inataka kukomesha hiyo hali

Mbaya zaidi una kuta mtu kajenga kabisa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom