Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

Blender

JF-Expert Member
Mar 5, 2022
3,428
5,287
Mwisho wa mwaka 2023 Wanafunzi wa masoma ya udaktari kutoka Sudan, wanao fadhiliwa masomo Yao na serikali ya tz 🇹🇿, hapa Nchi

Walisambazwa kwenye hospital za hapa Dar es salaam, wakitokea muhimbili, Kwa ajili ya kufanya practical training . Ili kuwapa sehemu zingine Sio wote wakae Tu muhimbili.

Katika hospital walizopelekwa ni mwananyamala, Temeke, ubungo, kigamboni etc.

Waka kabidhiwa Kwa wakuu wa idara mbalimbali Katika hospital hizo.

Cha kushanga wakuu wa idara wakashindwa kuwapa ushirikiano wa kutosha , wakawa Wana kula Kona, wengine wanakuwa wakali ili wasiulizwe maswali.

Shida kubwa ni Kwamba ma daktari walishindwa kuongea Nao English, kama taifa tumeingia matopeni Tena coz masoma wanayosoma ni Kwa lugha ya English.

Kwa hiyo hawa wanafunzi wakawa Wana lalamika kukosa ushirikiano report ikaja kuwa kuna language berrier. Na hawawezi Endelea Tena na practical training Yao, coz hakuna wanaoweza kufanya Nao communication.

So mwanzoni wa February 2024 ikabidi warudishwe muhimbili wakamalizie practical training Yao.

Ushauri: Kiswahili hakina tija Kwa taifa kifutwe mashuleni kabisa.

images (5).jpeg
 
Ila Kiingereza bado ni changamoto kubwa sana Kwa wasomi wetu.

Ajabu wale waliosoma miaka ya 60/70/80 wanatema Lugha barabara sijui sisi wengine tunaferi wapi.

Nina rafiki yangu Mzungu anaishi London, weekend hii alinipigia simu Whatsapp, niliongea naye dakika 15 hivi baada ya kumaliza kuongea naye nikawahi Panadol faster maana kichwa kilishaanza kuniuma

Imagine sasa hao Madaktari wenyeji walipaswa kuongea nao Kila Siku masaa 7 ama 8 Kwa Siku 🙌
 
Mwisho wa mwaka 2023 Wanafunzi wa masoma ya udaktari kutoka Sudan, wanao fadhiliwa masomo Yao na serikali ya tz 🇹🇿, hapa Nchi

Walisambazwa kwenye hospital za hapa Dar es salaam, wakitokea muhimbili, Kwa ajili ya kufanya practical training . Ili kuwapa sehemu zingine Sio wote wakae Tu muhimbili.

Katika hospital walizopelekwa ni mwananyamala, Temeke, ubungo, kigamboni etc.

Waka kabidhiwa Kwa wakuu wa idara mbalimbali Katika hospital hizo.

Cha kushanga wakuu wa idara wakashindwa kuwapa ushirikiano wa kutosha , wakawa Wana kula Kona, wengine wanakuwa wakali ili wasiulizwe maswali.

Shida kubwa ni Kwamba ma daktari walishindwa kuongea Nao English, kama taifa tumeingia matopeni Tena coz masoma wanayosoma ni Kwa lugha ya English.

Kwa hiyo hawa wanafunzi wakawa Wana lalamika kukosa ushirikiano report ikaja kuwa kuna language berrier. Na hawawezi Endelea Tena na practical training Yao, coz hakuna wanaoweza kufanya Nao communication.

So mwanzoni wa February 2024 ikabidi warudishwe muhimbili wakamalizie practical training Yao.

Ushauri: Kiswahili hakina tija Kwa taifa kifutwe mashuleni kabisa.

View attachment 2918900
Kwani wao kiingereza wanakijua vizuri au ni kile kiingereza cha kiarabu mambo ya guud morningii ..

Kifupi wamekutana wote hakuna anayejua kiingereza kwa ufasaa.

Sasa ilibidi kwa kuwa wamekuja huku kwa dharura tuwape short course ya kiswahili kwa miezi mitatu then tuwasambaze kwenye hizo hospitali hapo mambo yangeenda sawasawa.
 
Ila Kiingereza bado ni changamoto kubwa sana Kwa wasomi wetu.

Ajabu wale waliosoma miaka ya 60/70/80 wanatema Lugha barabara sijui sisi wengine tunaferi wapi.

Nina rafiki yangu yupo Mzungu anaishi London, weekend hii alinipigia simu Whatsapp, niliongea naye dakika 15 hivi baada ya kumaliza kuongea naye nikawahi Panadol faster maana kichwa kilishaanza kuniuma

Imagine sasa hao Madaktari wenyeji walipaswa kuongea nao Kila Siku masaa 7 ama 8 Kwa Siku 🙌

Umetisha sana 😁😁😁
 
Uliteseka mno mithili ya kubeba lorry la mchanga kichwani pole sana
 
Kuna watu tena wengine ndiyo hao wanaojiita wasomi wanadai lugha ya kufundishia iwe Kiswahili kuanzia chekechea hadi chuo kikuu sasa ndiyo tujiulize hali ikiwa hivyo itakuwaje kama leo watu waliosoma English kidogo kwenye masomo yao mambo yapo hivyo! Eti English libaki kuwa somo tu! Lakini cha ajabu hao wanaoshauri hivyo watoto zao wanawapeleka ulaya na Marekani kuanzia chekechea ndiyo ujue viongozi wa nchi hii walivyo na roho mbaya wanatamani sisi na watoto wetu tuendelee kuwa wapiga kura wao tu na sio kushiriki katika uongozi.
 
Kama kuna language barrier si wangejifunza kiswahili ?; Sasa wewe umekwenda China au Japan huko alafu unashangaa wewe na Kiswahili chako wachina English inawasumbua...

Anyway unaweza ukawa hata bubu; ukatumia lugha ya alama lakini bado ukatibu au kufanya surgery
 
Watz kiingereza hawakipendi na wanaogopa kuongea kiingereza hatari ,

Kiswahili kisifutwe Ila wageni wakija wajifunze kiswahili ili Ku-match demand ya waenyeji husika

Then hao wasudani na wenyewe kiingereza hawakijui vizuri
Hawakijui vizuri lakini wanajitahidi kuongea sio kama Sisi

Kuna jamaa ni Msudani Kusini, Kuna kazi nilifanya naye Juzi Jumatatu, the guy is fluent in English

Kutokea hapo nikajilaumu kwanini nilisoma Shule za Kata 🙌
 
Back
Top Bottom