Madaktari - tutakutana na waziri mkuu jumatatu

Doktaaaa......Dr. Klinton!

Tunajua madaktari miandiko yenu ni mibaya kwa asilimia kubwa, sasa hiyo hadi kwy computer au simu? Tumia japo standands za uandishi ili tuweze kusoma na kuelewa vizuri mchango wako. HERUFI KUBWA MWANZO MWISHO??? Daaaaah...!!
 
Selikali hii mara zote inachonganisha watumishi wake na wananchi! Na wananchi tulivo ma zuzu tunashindwa kumkabili adui yetu!

Asante ndugu ninaweza, umesema ukweli. Wananchi tumekuwa kimya mno, wananchi ingetakiwa tuwaunge mkono madaktari, tuandamane. Serikali ndo ina makosa. Kwa nini kuwe na pesa za posho za wabunge ila pesa za kuwalipa madokta hakuna?

Pia Tanzania hakuna wanaharakati, sijui hao wanaojiita wanaharakati kama wanajua maana ya kuwa wanaharakati. - Activists

Wanaharakati ndo wanatakiwa waamshe wananchi kuandamana kudai haki zetu. wanaharakati wa TZ ni waoga, hawana dira

Vijana wa tanzania tuamke, tuanzishe makundi ya harakati za ukweli.
 
Mimi naona ni bora wakae kimya wakianza serikali itapindisha mwelekeo!!kumbuka serikali yetu ni ya kukimbizana na matukio.
 
ndugu polisi na wengineo,achana na hawa akina zemarcopolo na pasco,kwanza uyu pasco ndo mnufaika namba moja,yeye kama mhasibu/auditor pale wizara ya afya ndo anaongoza kuratibu wizi wa bajeti. Una habari jamaa uyu kila mwisho wa mwaka anahama kwao na kuishi pale movenpick kucheza na mahesabu ya wizara?we are well informed na utapeli wenu bwana! ma dr mpaka kieleweke,wauguzi waunge mkono wenzenu!
 
Pinda hawezi kubadilisha maandiko yasomeke vinginevyo, mtamuona lkn kilio chenu kitabaki kuwa palepale. Ma-Dr. watafuteni wataalamu wa sheria za kazi ili wawaeleze taratibu za kufuata ili muweze kupata haki zenu, Haki aitafutwi kwa kupiga magoti jamani: kama haki hipo basi hipo kisheria na mtaipata. na amini jibu kutoka kwa Pinda atasema ''matatizo yenu tumeyasikia na tutayafanyia kazi nendeni muendelee na kazi'' lkn kumbe munge-file kesi maaala pausika kwa muda muhafaka baada ya kushauriana na wataalamu hatimaye ungetolewa uamuzi usiyo na longolongo na ungeeshimika milele na milele.
 
hata kama kila kazi ni muhimu lakini umuhimu unatofautiana, waandishi wa habari gomeni muone kama atakufa mtu, kwaza ubavu huo hamna cos ur too cheap.

Ndugu Kaputula!

Hapo juu naona hujasema vyema. Kila fani ina umuhimu wake ndio maana ipo, tukisema wote tuwe Madaktari nani atakua polisi kulinda usalama wetu??

Hao waandishi nao wana mchango wao muhimu sana pia katika Taifa letu na Duniani kwa ujumla ndio maana tunaweza kufaham leo Pinda yuko wapi na anafanya nini, JK anasema nini huko nje ya nchi na hata huu mgomo wenu tumeusikia kupitia hao wanahabari kiasi kwamba hata baadhi ya Wananchi wanajitokeza kuwaunga mkono na inawapa faraja kwamba jamii inawaelewa kwanini mmegoma.

OMBI LANGU KWA NYIE WATABIBU WETU:
Nawaomba sana walau basi mkiendelea na mgomo wenu, msisitishe angalau hiyo huduma ya Dharula chonde chonde nawaombeni Ndugu zangu, Hali ni mbaya sana kwasasa, mkiongezea hapo jamani mtakua mnatusurubisha sie wanyonge ambao hata tukimkataa huyo JK na serikali yake bado wana miliki system ya kiutendaji. Watachakachua tu ionekane tunawapenda, si mmeona wenyewe uchaguzi uliopita??

Jamani pale META hospitali ndio tegemeo kwa akina mama, hali ni mbaya. Achilia mbali maeneo mengine nako kunatisha.

WATABIBU TUNAWAOMBA SANA KWA HILO NDUGU ZETU.
 
Mimi naona ni bora wakae kimya... serikali itapindisha ...!!kumbuka serikali yetu ni ya kukimbizana na matukio.

mhh mi naona huu ndo ulikuwa muda wa wahadhiri kudai haki zao,walimu pia,tucta,wanachuo kuandamana kudai stahiki zao,TLS kupinga muswada,wanaharakati ,wahitimu kudai ajira n.k n.k ndo gvt ikaa na kuwa na open discussion,ila mtindo wa divide n rule ndo unalicost taifa. leo wanapigwa wanachuo,kesho walimu wanatishwa basi imekuwa janja ya gvt. Solidarity n
 
Hongera sana madaktari, serikali ilifikiri nyie ni walimu na kina Mgaya wa kutishiwa nyau, soliderity forever hadi walegee wenyewe na dalili zinaonyesha. Pinda alikwina amefuatwa mara ngapi anajifanya yuko bize sasa leo anajidai kukutana nao Jumapili huu ni upuuzi we can't buy that, akakutane na waandishi wa habari kama anataka.
 
Dr. Klinton hebu acheni upuuzi wenu eti wa kusubiria wenzenu wa mikoani and don't dictate terms, kesho nendeni mkamsikilize Pinda Jumatatu ni siku ya kazi, baada ya kesho mtatakiwa kuripoti kazini Jumatatu asubuhi!.

Hakuna ubishi kuhusu umuhimu wenu kama madaktari na hakuna anaepinga madai yenu ni genuine lakini lazima mfike mahali muwe na kiasi with moderations na kuwa more considarate kwa loss of lives zinazotokana na mgomo wenu!.

Msijitengenezee super class baada ya wabunge, walimu nao ni watu, polisi pia ni watu, watumishi wa serikali pia ni watu!. Msitarajie kupata preferential treatment kwa kushika roho za Watanzania as bargaining powers za madai yenu!. Public iko nyuma yenu mkikosekana kikao cha Pinda leo, public haitawaelewa!.
Pasco

Hii siyo politiki kwamba utawalazimisha kama wabunge wa CCM wanavyokalisha kabla ya kupitisha muswada, hii ni profession ya mtu aliyoisomea zaidi ya miaka 6 usilete mchezo haina replacement ukimfukuza leo kumpata wa aina hiyo you have to wait for another 7 years there is no compromise about that and no short cut kama walimu wa miezi sita wa voda fasta. Kinachotakiwa si kujifanya eti asiyetaka aende kazini Jumatatu asiyetaka aache huo si uongozi ni utawala tena wa kidikteta ushauri wako ni wa kipuuzi ndio utasababisha maafa zaidi. Serikali ijishushe isikilize madai yao ambayo naamini ni ya msingi.
 
mhh mi naona huu ndo ulikuwa muda wa wahadhiri kudai haki zao,walimu pia,tucta,wanachuo kuandamana kudai stahiki zao,TLS kupinga muswada,wanaharakati ,wahitimu kudai ajira n.k n.k ndo gvt ikaa na kuwa na open discussion,ila mtindo wa divide n rule ndo unalicost taifa. leo wanapigwa wanachuo,kesho walimu wanatishwa basi imekuwa janja ya gvt. Solidarity n

hatuwezi kukaa chini na watu wote kujadili mambo hayo! Wengine ofisi zao zinahitaji meza kiti na komputa,tutageukana tu. Na haiwezekani vitu vyote vikafanyika wakati m1. Acha watimize yetu na wengine wafuate.
 
wananchi haohao waliwachagua viongozi wabovu wakijua,waliambiwa lakini wakang"ang"ania JK jazzband.Kweli sikio la kufa halisikii dawa.? hakuna kurudi nyuma.
 
Pasco pitia taarifa yako uisome mara 10;

Kitanda usicholalia huwezi kujua kunguni wake.

Mazungumzo yalishafanyika sana lakini DHARAU ya viongozi wa nchi hii ndo imepelekea haya kutokea.

Wangekuwa na busara mambo yasingekuwa hivi.

Yameanzia Intern mapaka nchi nzima.Maneno ya dharau ndo ilifanya watu waamua kuweka madai yote mbele

Yaliyotamkwa ambayo yanaudhi
  • kazi yenu ni kazi ya wito.Hamtakiwi kugoma......je wito wa nani?Kama ni wito wa MUNGU basi wafanyakazi wengine ni wito wa shetani.
  • Kada ya afya wanalipwa mshahara mkubwa kuliko kada nyinginezo.Mhhh!!!!.........kweli hayo?wataje ni kiasi gani?lakini yawezekana pia.Laki 7 ni nyingi.Je kuna posho gani analipwa mtu huyu?Mfano Mbunge mshahara mdogo 2.5mil.Lakini utitiri wa posho unapelekea analipwa mpaka 10mil per month.Upo hapo?
  • Drs hawana confidence wala umoja.Ni wahuni .ni wanasiasa
  • Nyoni aliwahamisha interns.Alitamka pale wizarani kuwa hawa hanijui eh!ngoja niwaonyeshe mimi ni nani.
  • Waziri alisema Interns ni wanafunzi wa udakitari wa mwaka wa 5.Hii ni dharau kubwa sana.
Kero nyinginezo;
  • Mazingira ya kazi.Kama mtoa huduma ya afya akiamua kuwa na sura ya mbuzi tutakufa wengi.Ni hatari kama wakiwa na mgomo baridi.Vifaa hakuna inabidi wa improvice,je unadhani wagonjwa wanapata huduma bora au bora huduma?
  • Viongozi wetu wamezoea kwenda nje kutibiwa ndo maana hawajui kunguni waliopo huko kwenye hospita.
  • watu ambao hawajui wizara ya afya wanapewa nafasi ya kuongoza pale.mbaya sana,na ndo maana wanaongea mbovu mbovu
 
madaktari huo siyo uzalendo,watu wanakufa mahospitalini kwa kutojali utu kwanza. Kwa nini hamtaki kuonana na Waziri Mkuu mkazungumza naye mpate mwafaka.Je ,ni lazima madaktari wote wahudhurie au wawakilishi wenu hawana hoja za msingi? Si dhani kama kila daktaria ataongea kwenye hicho kikao.

Ushauri wangu kwenu Madaktari(MAT),kusanyeni kero zote kutoka mikoani ili muweze kuzijumisha katika mazungumzo yenu.
Kama hakuna hoja za msingi basi huo ni uhaini na ugaida wa hali ya juu.

Kwako JK(RAIS),vunja ziara yako huko DAVOS uje uokoe jahazi hili.Nchi inazama taratibu,wasomi hawana uzalendo tena na nchi yetu.

Kila sekta ikigoma,ndipo mtaona kila kada ni muhimu wala siyo madaktari pekee.acheni dharau kwa POLISI,WALIMU nk.

Mungu iokoe Tanzania inazama kama meli ya SPICE ISLANDERS!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Naomba idadi ya wagonjwa waliofariki kwa kukosa huduma ya madaktari..
 
nimekupata mkuu pia pande za fc bk. kumbe ni wewe.
big up msimamo mzuri sana. kuna fani zinatakiwa kufanyiwa siasa lakini si utabibu watajibeba mbafu zao!!!

Uwe unasoma na kuelewa kichwa maji mkubwa we. yaani wasigome hata kama maslahi yao yanafanyiwa siasa?
 
Nimesikia kupitia live ya Star TV kuwa Madaktari wamemuomba Waziri Mkuu, mkutano wao uwe kesho!. This is the first time, wanatumia lugha ya kistaarabu japo kuomba tuu!, huu ni mwanzo mzuri!. Ombi huwa lina two options, wakubaliwe au wakataliwe!.
So far mkutano na Waziri Mkuu bado ni leo unless itangazwe otherwise!

Tutaona!
 
Dr. Klinton hebu acheni upuuzi wenu eti wa kusubiria wenzenu wa mikoani and don't dictate terms, kesho nendeni mkamsikilize Pinda Jumatatu ni siku ya kazi, baada ya kesho mtatakiwa kuripoti kazini Jumatatu asubuhi!.

Hakuna ubishi kuhusu umuhimu wenu kama madaktari na hakuna anaepinga madai yenu ni genuine lakini lazima mfike mahali muwe na kiasi with moderations na kuwa more considarate kwa loss of lives zinazotokana na mgomo wenu!.

Msijitengenezee super class baada ya wabunge, walimu nao ni watu, polisi pia ni watu, watumishi wa serikali pia ni watu!. Msitarajie kupata preferential treatment kwa kushika roho za Watanzania as bargaining powers za madai yenu!. Public iko nyuma yenu mkikosekana kikao cha Pinda leo, public haitawaelewa!.
I have been following your comments on Drs strike......you seem to be the one who wants to dictate doctors....who are you to tell the doctors what to do????tell those who sent you that,if they were serious with issues then thy should have dealt with doctors' issues before.......
 
Dr. Klinton hebu acheni upuuzi wenu eti wa kusubiria wenzenu wa mikoani and don't dictate terms, kesho nendeni mkamsikilize Pinda Jumatatu ni siku ya kazi, baada ya kesho mtatakiwa kuripoti kazini Jumatatu asubuhi!.

Hakuna ubishi kuhusu umuhimu wenu kama madaktari na hakuna anaepinga madai yenu ni genuine lakini lazima mfike mahali muwe na kiasi with moderations na kuwa more considarate kwa loss of lives zinazotokana na mgomo wenu!.

Msijitengenezee super class baada ya wabunge, walimu nao ni watu, polisi pia ni watu, watumishi wa serikali pia ni watu!. Msitarajie kupata preferential treatment kwa kushika roho za Watanzania as bargaining powers za madai yenu!. Public iko nyuma yenu mkikosekana kikao cha Pinda leo, public haitawaelewa!.
I think si kwamba Drs wanachodai ni kuwa superclass. infact watumishi wa kada zote wanatakiwa kuungana na madoctors ili mfumo mzima wa mapato kwa wafanyakazi uwe fair. Unajua kwa nini serikali inagoma wito wa CDM kuondoa posho zisizo za lazima? huko ndiko wanakoponea na kuchakachulia mabilioni ya pesa yanayowafanya waishi kama superclass.
Mishahara yao ni kama yetu tu. And I am sure ukiwauliza mishahara yao ghafla hawawezi kukumbuka kwa kuwa wanaishi kwa posho tu. Si umesikia juzi ikulu ikikanusha kutumia mil 300 msafara wa rais lakini ikapotezea kusema ni Sh ngapi?
Hebu niambie sitting allowance ya 200,000 kwa KUKAA "mchana" kwenye mjengo na 10,000 kwa kukesha unazalisha akina mama?
 
@all the doctors..Angalizo muhimu....
Please...please.....hakikisheni kuwa hata kama mtatakiwa kufikia makubaliano ya aina yoyote(baada ya matakwa yenu kutekelezwa).....hakikisheni woote mtalindwa na kuachwa muendelee na kazi bila hata mmoja wenu kufukuzwa...yaaani kwa kifupi.....moja ya sharti mtakalowapa hawa serikali liwe kuhakikishiwa kuwa hafukuzwi hata daktari mmoja baada ya mgomo.....mkiliacha hili sharti mtapata shida(baadhi)baada ya mgomo.....kwenye sharti hili hakikisheni kuwa wao serikali wana sign kabisa kuwa hatofukuzwa hata daktari mmoja baada ya mgomo na kama akifukuzwa daktari yoyote baada ya matakwa yenu kusikilzwa basi mgomo utarejea......just include this clause into any agreement with this pathetic government....
 
Back
Top Bottom