Madaktari live mlimani tv

ngoooo daktari hakosi kazi, si nje ya nchi au humu humu.Waache wawafukuze kisha watawarudish kinyele.
 
Serikali ishindwe? waulize magwanda na wanafunzi wa mlimani.

Kukutana ni madaktari waliofanya dharau jana, Waziri Mkuu kawangoja hawakutokea, walitaka wabembelezwe? Mwanachi ataekuwa nyuma ya hawa na kuwaunga mkono huyo haitakii mema Tanzania.

Kweli serikali haijawi kushindwa, kumbe Misri,Tunisia na Libya hazikuwa serikali ingawa ziliangunshwa na mass revolutions!FF take time to think unachoandika.
 
Ktk hili sakata, Madaktari watashindwa.... Huwezi kucheza na Serikali ukabaki salama.
Nawahurumia wale wenzangu na mimi wanaofuata mkumbo na mwishowe kupoteza ajira.
RUDINI KAZINI.....otherwise ...Very soon mtagundua kuwa mlikuwa mnapoteza muda na imeshakula kwenu.

Umetumwa kuja kuwakatisha watu tamaa humu shindwa
 
Yetu macho hapo ni lazima utasikia tu Dr. Ulimboka na mwanachama wa CDM hivyo anatumiwa vibaya kufanya nchi isitawalike na kuingizwa CDM katika mgomo huo bila kuchuja hoja za Ma Dr. kama zina logic au la.
PM kasema madai yao ni ya msingi, asichukubali ni masharti ya kuambiwa yafanyike haraka. Hoja yao ni maslahi bora na mazingira bora ya kazi (vitendea kazi) haya yote ni kwa maslahi ya wanaohudumiwa. Wewe ni shahidi kuwa Kansa haikuletwa na CDM, ukitaka matibabu yake utawajibika kuja Dar, unawakuta na wenzako kutoka nchi nzima wamekusanyika, sasa daktari huyu asiye na motisha anafanyaje kazi kama sio kukulipua?
Fikiria mara mbili, PM anasema kwa kuwa haguswi moja kwa moja, kazi kwetu tunaohudhuria kliniki hizi tukiwa na magonjwa yetu na tunahatarisha afya zao kwa kuwaambukiza
 
Naunga mkono kwa asilimia 100 mgomo wa madaktari km wana ccm wanavyounga kila hoja ya wana ccm wenzao hata bajeti utumbo.............kweli ndiyo maana masabuli alisema wabunge wa ccm wanafikiria kwa kutumia makalio na hakukosea kwani hakuna aliyebisha
 
Wanarudi kazini!? Kumtibu nani, mie sikubali, nimesema sikubali kutibiwa nao mpaka watimiziwe walichokuwa wakidai na machungu walonayo yawatoke! Nitaandamana hata kama ni pekeyangu kuishinikiza serikali iwalipe madokta haki zao! Vinginenvyo kuna kuambukizwa magonjwa zugu!
 
Back
Top Bottom