Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,012
i doubt kaa wapasua kichwa badala ya miguu can be marketable anywhere than the land which redefined incompetence..
hivi vasco yupo?? au kaenda us kuchukua negativ ya picha aliyopiga na 50 cent?? nijuzeni jamani! pathetic!
hivi vasco yupo?? au kaenda us kuchukua negativ ya picha aliyopiga na 50 cent?? nijuzeni jamani! pathetic!
hapa tunapoongea sasa hivi wamepokelewa madaktari watano kutoka Mbeya tanzania na tayari residence permit zao zinatengenezwa ili kuanza kazi mara,
watakuwa wanafanya kazi hospitali za Gaborone city council na mishahara yao itakuwa allmost mara saba ya mshahara waliokuwa wanapata tanzania wa laki tisa
My take:
serikali ya tanzania isifikiri inawakomoa hawa madaktari ambao nchi za huku kusini zinaheshimika kuliko jambo lolote lile,kama walifikiri wanawakomoa kwa kutumia SADC ili wasipate kazi huku wajua serikali ya Botswana ni serikali imara na madhubuti na haiendeshwi kinafiki
mwanangu ndio anasema eti anataka kuwa dokta, nilikuwa namkazania sana sasa anajua sayansi na hesabu sana, ila na mimi nataka kubadili mawazo nisishabikie huo udaktari anaouota, nadhani asome siasa,
hivi huwa wanasoma wapi vile?
Wache wajitafutie riziki ,,,,,gentleman haz no weza
hivi vasco yupo?? au kaenda us kuchukua negativ ya picha aliyopiga na 50 cent?? nijuzeni jamani! pathetic!
i doubt kaa wapasua kichwa badala ya miguu can be marketable anywhere than the land which redefined incompetence..
would care less about such an act of immense incompetence..sasa huezi niambia habari ya busara wakati tukio zima linaonesha hakuna at least common sense..btw yule mgonjwa mlishamlipa kwa uzembe wenu?u do know what u re talking man hujui uzembe ulikuwa wanani katka hiyo issue "keeping silence it doesnt meant ure fool bt speaking mud concludes that ure poor in thnkng''
Huu uzi umenivunja mbavu!, kila kilichoandikwa ni kina mantiki lakini kama mzaha vile!,
kali zaidi ni hiyo mtu anaulizia kama jamaa ameenda kuchukua negative za picha huko US. Kweli mmemchoka!