waende tu, kwanza ni incompetent ile mbaya, bora tubaki na hospitali za watu binafsi. wataenda huko watachokwa watarudi tu na kazi wataanza kutafuta upya.....yaani huo mkwara kwamba madaktari watahama nchi ni wa kujinga sana kwasababu hakuna hata doctor mmoja anayefanya kazi ya hisani hapa, wote wanaganga njaa/wanatafuta pesa na hizo kazi walizipata kwa mbinde...wakiondoka basi tutaajiri wengine chuo si kina magraduate kila mwaka...kwani nini bwana hata tutishane?
Tunawatakia maisha mema huko ughaibuni!!!Zamani kidogo niliona advet moja toka USA wakihitaji madaktari specifically from TZ zaidi ya 400, naona vijana wa TZ wana market kubwa huko ulaya!!!!hapa tunapoongea sasa hivi wamepokelewa madaktari watano kutoka Mbeya tanzania na tayari residence permit zao zinatengenezwa ili kuanza kazi mara,
watakuwa wanafanya kazi hospitali za Gaborone city council na mishahara yao itakuwa allmost mara saba ya mshahara waliokuwa wanapata tanzania wa laki tisa
My take:
serikali ya tanzania isifikiri inawakomoa hawa madaktari ambao nchi za huku kusini zinaheshimika kuliko jambo lolote lile,kama walifikiri wanawakomoa kwa kutumia SADC ili wasipate kazi huku wajua serikali ya Botswana ni serikali imara na madhubuti na haiendeshwi kinafiki
Mkuu na hao madaktari wageni watawalipa njugu au kiasi gani???? Hizo fedha watazitoa wapi, wacheni roho za korosho kwa vile Watanzania ndio muwanyanyase kuwalipa kiduchu????Watanzania kwa maneno bana kulikuwa na tetesi kuwa serikali inaleta madaktari wageni kuja Tanzania watu waliishambulia serikali eti ni aibu kubwa kutibiwa na wageni leo tena mnawasifia Botswana...kama wamepata kazi huko na wanalipa vizuri safi sana...serikali aina uwezo wa kuwalipa mshahara mnaotaka.
i doubt kaa wapasua kichwa badala ya miguu can be marketable anywhere than the land which redefined incompetence..
hapa tunapoongea sasa hivi wamepokelewa madaktari watano kutoka Mbeya tanzania na tayari residence permit zao zinatengenezwa ili kuanza kazi mara,
watakuwa wanafanya kazi hospitali za Gaborone city council na mishahara yao itakuwa allmost mara saba ya mshahara waliokuwa wanapata tanzania wa laki tisa
My take:
serikali ya tanzania isifikiri inawakomoa hawa madaktari ambao nchi za huku kusini zinaheshimika kuliko jambo lolote lile,kama walifikiri wanawakomoa kwa kutumia SADC ili wasipate kazi huku wajua serikali ya Botswana ni serikali imara na madhubuti na haiendeshwi kinafiki
Mwalimu ni kutokuwa makini na kutofuata taratibu.Information kuwa ndani ya makaratasi si tatizo, hata hapo majuu ulipo siyo hospitali zote zina Health information management system na watu hawachangaji wagonjwa.I guess you got it wrong; mtu kupasuliwa kichwa badala ya kupasuliwa miguu siyo kosa la dakatari aliempasua, kwani daktari anafuata documents ziliombatana na mgonjwa huyo huko theater. Iwapo mgonjwa aliambatana na document zinaozonyesha kuwa anatakiwa kupasuliwa kichwa basi daktari atafanya hivyo. tatizo hilo linatokea kirahisi sana iwapo hospitali haina information management system ya kuaminika kama ambavyo muhimbili ilivyo. Document zote muhimu zinakuwa kwenye makaratasi na inawezekana kabisa makaratsi yakachanganyikana biana ya wagonjwa wakati wanahamaishwa kutoka chumba kimoja hadi kingine. Nadhani mojawapo ya mazingira mazuri ya kazi yanayoombwa na madaktari ni hiyo ya efficient information handling system.
Bravo.
Namkumbuka Dr. Kimaro (RIP) aliyekuwa Rais wa DARUSO miaka ya 1992, Rais Mwinyi aliapa kuwa hatafanya kazi yeyote Duniani, lakini Botswana alifanya kazi.
Mwalimu ni kutokuwa makini na kutofuata taratibu.Information kuwa ndani ya makaratasi si tatizo, hata hapo majuu ulipo siyo hospitali zote zina Health information management system na watu hawachangaji wagonjwa.
I guess you got it wrong; mtu kupasuliwa kichwa badala ya kupasuliwa miguu siyo kosa la dakatari aliempasua, kwani daktari anafuata documents ziliombatana na mgonjwa huyo huko theater. Iwapo mgonjwa aliambatana na document zinaozonyesha kuwa anatakiwa kupasuliwa kichwa basi daktari atafanya hivyo. tatizo hilo linatokea kirahisi sana iwapo hospitali haina information management system ya kuaminika kama ambavyo muhimbili ilivyo. Document zote muhimu zinakuwa kwenye makaratasi na inawezekana kabisa makaratsi yakachanganyikana biana ya wagonjwa wakati wanahamaishwa kutoka chumba kimoja hadi kingine. Nadhani mojawapo ya mazingira mazuri ya kazi yanayoombwa na madaktari ni hiyo ya efficient information handling system.
hapa tunapoongea sasa hivi wamepokelewa madaktari watano kutoka Mbeya tanzania na tayari residence permit zao zinatengenezwa ili kuanza kazi mara,
watakuwa wanafanya kazi hospitali za Gaborone city council na mishahara yao itakuwa allmost mara saba ya mshahara waliokuwa wanapata tanzania wa laki tisa
My take:
serikali ya tanzania isifikiri inawakomoa hawa madaktari ambao nchi za huku kusini zinaheshimika kuliko jambo lolote lile,kama walifikiri wanawakomoa kwa kutumia SADC ili wasipate kazi huku wajua serikali ya Botswana ni serikali imara na madhubuti na haiendeshwi kinafiki
Mimi nawashangaa watu wanaosema Madokta waende.Hivi huwa mnatembelea Shule zetu kuona jinsi Wanafunzi wengi wanavyoyaogopa masomo ya Sayansi?.Hata hao ambao wanaenda huko wanenda kusoma nadhari kwani shule hazina Maabra kwa ajili ya Masomo hayo.Watanzania tumechanganyikiwa hata hatujui dunia ya sasa inaendeshwaje.
i doubt kaa wapasua kichwa badala ya miguu can be marketable anywhere than the land which redefined incompetence..
nilikua nawashusha konfo tu kaka, hahaaaaaa..Pamoja na hayo Abdullahim, ha-justfy maneno ya mkuu wa nchi aliyoyatoa badala ya kumaliza mgomo kwa kutumia nguvu iwayo yeyote ile aliyonayo kama rais!!! Yaani akaona dawa ni kuwatishia nyau!!! Tumekosa muelekeo, na rais ni dhaifu tu!!!
One isolated case, should never be used against them for the whole of their lives bana!! Maana hata huku kwenye mabox yetu "wanakosea"
Wewe huwajui watanzania kumbe. Sifa wanazopewa watanzania katika kuchapa kazi ugenini usipime! Kwa kuwa wanapewa mazingira bora ya kufanyia kazi kulikoni hapa, wanajituma ile mbaya ugenini ambako hawapewi ahadi hewa bali REAL things, weacha tu. Unanikumbusha sungura mfupi na asiyejua kuchuma matembe anapokosa kuyafikia anadai "kwanza ni mabaya na hayatamaniki hata kuyaangalia, ni machungu hayo....lelelele, lelelele..." wakati wenzake wanajilamba hadi kisogoni kwa butamu.
Nyie Tanzania endeeni kusomesha wataalam halafu wakaendeleze nchi zingine, kwanza hata kusoma kwenyewe kwa tabu, ya nini kuteswa mpaka kufa kwakati hata waganga wa kienyeji wanapata mamilioni kwa mwezi (eg maji marefu) kwa kusinzia kwenye viti vinavyoswing na VX zinawangojea nje, PLUS uhakika wa maisha baada ya miaka mitano hata kama haingii mjengoni tena??? Nawatakia kheri waliochumpa na kupata tenda huko nje, wakumbukeni ndugu zenu mliowaacha kwenye tanuri wakiuwawa na kung'olewa makucha na meno kwa kuwa tu wanauliza kuongezewa shilingi kidogo wanunue fourth hand car angalau na waboreshewe mazingira ya kazi na kujenga chumba na sebure uswahilini.
Sio siri, siku hizi kuitwa daktari Tanzania ni kama tusi la nguoni, ati utalipwa mbinguni, kwani mbingu ni kwa madaktari tu? Nyie hamtaki mbingu? Kudadadeki. Tanzania inawafanya wanafunzi waone shida sana kuchagua kusomea udaktari hivi sasa, labda kama ana maono ya kwenda kufanyia kazi nje au aje aachane nayo akafanye kazi nyingine. Ndio maana wengi wanaenda kusoma MBA, sikujua sababu, sasa naiona wazi kabisa.