Kwani hakuna namna yoyote wanayoweza kusikilizwa zaidi ya kugoma!!
Nasikia Dr.Kigwangala hana leseni ya udaktari ni mwanaharakati tu.
Sasa anataka kuchochea wenzake ili nao wanyang'anywe leseni au?
Dr. kigwangwala,suluhisho la matatizo sio migomo bali ni mazungumzo kwani hata wakigoma at the end wataishia kufanya mazungumzo so its easy and wise to skip the mgomo stage.
Nimeamini sasa kuwa wabunge wetu hawana uchungu na wananchi wao ambao wamebanywa mbavu kila kona! Huyu bwana anasema hivyo kwasababu yeye na familia yake itaenda kutibiwa Apollo, India.
migomo ndiyo njia pekee iliyokuwa inategemea ingawa nayo now ime eksipaya kwan mabom,maji ya kuwasha,risasi za moto na virungu ndio vimekuwa haki yao wale wagomao.
Madaktari hawahitaji kugoma mpaka wafikie hatua ya kuandamana na kukimbizana na ffu wao wanagoma kimya kimya kwa kupunguza tu uwajibikaji.Wakifanya hivyo 1 week lazima kieleweke.
Naona wengi hawaungi mkono njia hii bila shaka wanakubaliana na hoja zao. Kina Nkya wanakula bata ndo maana wanatoa majibu mbofumbofu, ni bora wamesema kuliko wakifanya kimyakimya huo mgomo. Sasa tunapaswa kuwawajibisha watendaji walizembea kupeleka posho za kujikimu kwa madktari walio mazoezini, wao wanguachwa kwa miezi mitatu bila ya mshahara wangefanyaje? Tusimjadili Kigwangala, tujadili hoja
Kigwa siku hizi ni CDM damu damu!!
Hana mpya anatafuta popularity huyo
Nimeamini sasa kuwa wabunge wetu hawana uchungu na wananchi wao ambao wamebanywa mbavu kila kona! Huyu bwana anasema hivyo kwasababu yeye na familia yake itaenda kutibiwa Apollo, India.
Mie namuunga Mkono kama ni kufa wacha tufe maana watz tumezidi upole wa kizezeta wacha iwe mbaya najua itauathiri walau tutakuwa tumewaonyesha tunaweza ila huwa tuna acha tu