'Madaktari gomeni,weken vifaa chini'-kigwangala

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Mbunge wa nzega amewataka madaktari kugoma na kuwasisitza kuwa huu ndo wakati muafaka kwao kugoma,maama MAT ndo asasi ya juu kwao,amesema kuwa kama wakilegeza msimamo leo,basi itawachukua miaka kumi kuckilizwa
sosi:habariLEO
 
Kigwa acha hizo yaani badala ya kukishauri chama chako kiweke mambo sawa unashauri migomo, viongozi wengine hopeless kabisa au sababu yeye anatibiwa nje
 
Nimeamini sasa kuwa wabunge wetu hawana uchungu na wananchi wao ambao wamebanywa mbavu kila kona! Huyu bwana anasema hivyo kwasababu yeye na familia yake itaenda kutibiwa Apollo, India.
 
Kwani hakuna namna yoyote wanayoweza kusikilizwa zaidi ya kugoma!!

migomo ndiyo njia pekee iliyokuwa inategemea ingawa nayo now ime eksipaya kwan mabom,maji ya kuwasha,risasi za moto na virungu ndio vimekuwa haki yao wale wagomao.

Madaktari hawahitaji kugoma mpaka wafikie hatua ya kuandamana na kukimbizana na ffu wao wanagoma kimya kimya kwa kupunguza tu uwajibikaji.Wakifanya hivyo 1 week lazima kieleweke.
 
Nasikia Dr.Kigwangala hana leseni ya udaktari ni mwanaharakati tu.
Sasa anataka kuchochea wenzake ili nao wanyang'anywe leseni au?
Dr. kigwangwala,suluhisho la matatizo sio migomo bali ni mazungumzo kwani hata wakigoma at the end wataishia kufanya mazungumzo so its easy and wise to skip the mgomo stage.
 
haya,anaweza akaja jibu
 
Nimeamini sasa kuwa wabunge wetu hawana uchungu na wananchi wao ambao wamebanywa mbavu kila kona! Huyu bwana anasema hivyo kwasababu yeye na familia yake itaenda kutibiwa Apollo, India.

bora amesema yeye wangesema wale wa upinzani,cjui ingekuaje?
 
migomo ndiyo njia pekee iliyokuwa inategemea ingawa nayo now ime eksipaya kwan mabom,maji ya kuwasha,risasi za moto na virungu ndio vimekuwa haki yao wale wagomao.

Madaktari hawahitaji kugoma mpaka wafikie hatua ya kuandamana na kukimbizana na ffu wao wanagoma kimya kimya kwa kupunguza tu uwajibikaji.Wakifanya hivyo 1 week lazima kieleweke.

ni kwel usemayo,lakini sasa athari yake huion na hutaiona unles uwe unahtaj huduma ya MATIBABU kwa kipindi hiki,
 
naomba niwarekebishe kidogo, kweli upotoshaji wa habari una athari nyingi...jamaa tuondoe mawazo ya mgomo wala tusifike huko sasa nashangaa hiyo source yako inasema otherwise..hatupendi migomo wala hatutaki coz mwisho wa siku anayeumia ni mwananchi wa kawaida.tunachofanya ni kutafuta dialogue na wizara husika hili tuone tutafikia makubaliano gani
 
Naona wengi hawaungi mkono njia hii bila shaka wanakubaliana na hoja zao. Kina Nkya wanakula bata ndo maana wanatoa majibu mbofumbofu, ni bora wamesema kuliko wakifanya kimyakimya huo mgomo. Sasa tunapaswa kuwawajibisha watendaji walizembea kupeleka posho za kujikimu kwa madktari walio mazoezini, wao wanguachwa kwa miezi mitatu bila ya mshahara wangefanyaje? Tusimjadili Kigwangala, tujadili hoja
 
mdau umetoa wazo zuri sana!
 
Nimeamini sasa kuwa wabunge wetu hawana uchungu na wananchi wao ambao wamebanywa mbavu kila kona! Huyu bwana anasema hivyo kwasababu yeye na familia yake itaenda kutibiwa Apollo, India.

ulikua HUAMINI?au HUJUI?
 
Mie namuunga Mkono kama ni kufa wacha tufe maana watz tumezidi upole wa kizezeta wacha iwe mbaya najua itauathiri walau tutakuwa tumewaonyesha tunaweza ila huwa tuna acha tu
 
waziri wa afya na katibu mkuu wake inclduding mganga mkuu,taaluma yao c udaktari eenh?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom