Madaktari bingwa Muhimbili kuanza mgomo kimapinduzi Jumatatu

Kipimo halisi cha uzalendo wa watanzania, kuacha wenzetu waendelee kufa hospitalini na wanasiasa wanapotosha umma ama tuseme hapana tukomeshe ushenzi huu wa serikali ya kibabaishaji ya msanii Jk
 
Jaman Stephen Ulimboka ni daktari..kamaliza chuo 2004 na intern kafanyia muhimbili..alikuwa moja wa viongozi wa mgomo wa 2005 wa kupandisha mshahara wa madaktari from 138,000tsh to 400,000..alisimama mpaka dakika ya mwisho na akafutiwa leseni ya kazi as a result..becoz of vitishio vya the same gvt..yeye na dr hamisi kigwangalla na wengine walikuwa kwenye hiyo group..anachokifanyia sio kutafuta popularity ya kugombea anything..after all hakujitolea kukaa pale aongoze madaktari..jumuiya imemchagua wenyewe..huitaji kuwa na leseni au kufanya intern kuitwa dr..ukimaliza chuo wewe ni dr becoz ushaapishwa nd degree unayo...na kamwe mpaka ufe utakuwa dr na hadi kaburi litaandikwa dr........
 
Mbunge mmoja wakati alipoulizwa na waandishi wa habari ana maoni gani kuhusiana na mgomo wa Madaktari, alisema sheria ya mikataba ya kazi haiwaruhusu Madaktari kugoma.
 
hueleweki pumba kama hzi uwe unajadili na vilaza wenzako mnatujazia server yetu
 
Du!Hvi wale walotoa siku 100 vp?Plan hyo ya kumfukuza yule nyau wa magogoni ipo au haipo?Wa2 2noe mapanga mapemaaaa!
 
Madakatri Bingwa katika hospitali ya taifa Muhimbili wamefanya kikao cha dharura kujadilli hutuba ya Bwana Mponda na kukubaliana kuanza mgomo kupinga taarifa iliyotolewa na serikali Bungeni; Mgomo huo umetangwazwa kutokuwa na Mgomo hadi pale Rais Kikwete atakapoa tamko rasimi la Serikali yake ikiwa ni pamoja na Bwana Mponda kuwaomba rodhi Madaktari na Watanzania wote juu ya upotoshaji alioutoa bungeni kuwa Mgomo umememalizika na hakuna athari kubwa zilizojitokeza katika mahospitali n sasa huduma zinaendelea kama kawaida. Aidha katika taarifa yao ambayo itatolewa baadae na Dr Ulimboka inaomba kada nyingine za Afya na zisizo za Afya kama Walimu kuunga Mkono Mgomo huo mkubwa na wakimapinduzi

Source MHN



Time is not your best friend JK and ur Team plz take care, Watanzania tumechoka

The matter is not to take care but is to resign
 
Hivi huyu Jk anasubiri nini au amechoka nasafari ya Davos yaani anakaa kimya wakati nyumba inaungua?

Hivi jk ajawahi kuliongelea hili suala Tangia lianze? Ukistaajabu ya pinda utayaona ya jk
 
...Pinda Kilaza sana; hivi ilikuwa ni lazima kukurupuka kutangazia umma kuwa Ulimboka sio Daktari? Hivi alikosa subira na kuwa task watu wa UWT wamtafutie taarifa kuhusu huyu Daktari. kwasababu wakienda Mlimani watakuta huyu jamaa aligraduate na kupewa degree yake (Mpaka mwaka 2004, wanafunzi wa Muhimbili ilikuwa ni university college chini ya UDSM). Hivi kwanini hakumuuliza CMO, dr. Mtasiwa mtu anapitia hatua zipi hadi kuwa daktari (maana huyu Mpondwa hajui kitu, aliropoka ITV dk 45 kuwa madaktari wanasoma 4 years). taratibu za tanzania ni kuwa Baada ya kusoma 5 years na kufaulu mitihani yako mtu hu graduate na kupewa medical degree, hatua inayofuata ni kupewa temporary registration ambayo itakuwezesha kufanya internship. Hivyo ni mbumbumbu tu anayeweza kukurupuka na kusema kuwa mtu ambae alifanya hata intern kuwa sio daktari. Tanganyika medical council haigawi udaktari kwa mtu, hivyo sio lazima mtu kuwa registered wala kufanya internship kama huna mpango wa kufanya clinical practice; na hii iko kwa taaluma nyingi; sidhani kama mtu aliyesoma LLB degree yake inafutwa kwa kutoenda law school.

...Pinda kweli ka-Pinda!
 
I support Al-Shabaab

Pole na likizo ya lazima bila malipo, ile 'mjingamjinga' wameiona ila nadhani wako bize na mgomo, si unajua dr Uli kaomba kuungwa mkono so na ma mod wanaweza kuitika wito kwa kukubali
 
Kwa hiyo serikali imeamua kujivuta kwa sababu madaktari hawaruhusiwi kugoma? Na tangu lini nchi hii ikafuata sheria? EPA? Radar? Na ni sheria ipi inayoruhusu serikali kutoheshimu makubalino ya mkataba kati ya madaktari? Yaani uninyime haki yangu halafu uniambie sina ruhusa kugoma?

Mara nyingi nahisi wabunge wa ccm wakikutana Dodoma wanajisahau kabisa kama wananchi wanawaona! Au pengine wamejiaminisha kuwa watanzania ni watu wa kuburuzwa?
 
wanakula kiapo kukitekeleza kama na wao wanatekelezewa haki zao.vinginevyo kiapo ni void
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Anyway what the minister is doing is propaganda But does it make sense to you someone who is not a doctor to be trusted by doctors to speak for them anyway we are not going to argue whether the guy is a Dr or not because they want to diverge our attention this a hoax completely and we wont fall i their trap this easily Dr Ulimboka is Doctor with extraordinary intelligence
He the imbecile a.ka mponda is not dr an he will never be and if u watched the parliament session when he was making such low lame allegations to the public by now u know of what calibre this guy mponda is......


Dr Klinton, weka basi na full stop, coma, etc ili mtiririko uwe mzuri!
 
Bwana Mponda najua hyo report ujaandika wewe umeandikiwa sasa kama umeandikiwa hakikisha uwe unaisoma kabla ya kuja kuonekana vbaya mbele ya kadamnasi wa2 wana danja ww upo unasafisha jina lako stupid hotuba! Jipange mbaba!
 
Mbunge mmoja wakati alipoulizwa na waandishi wa habari ana maoni gani kuhusiana na mgomo wa Madaktari, alisema sheria ya mikataba ya kazi haiwaruhusu Madaktari kugoma.

anaitwa nani ili tupime kauli yake na uelewa wake.!
 
Back
Top Bottom