Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
jamaa alikuwa anatafuta link itayomuonyesha Prof alikuwa anafanya nini huko, sasa hiyo web ndiyo ya organisation iliyompeleka prof huko, infact amepewa promo sana ila hakuna lolote kubwa kihivyo kama watu wanavyozaniDuh.. hii link mkuu inatoa wasifu wa Prof. lakini hauzungumzii suala lolote la kuhusiana na topic iliowekwa hapa jamvini..