Madai ya Prof Lipumba kuwa alikuwa UN akishauri Uchumi ni changa la macho?

wadau mimi nimejaribu ku-google madai kuwa prof alikuwa akishauri mambo ya uchumi kwa kutumwa na UN sioni kitu
nimepata haya
Prof.Ibrahim Lipumba/UN - Google Search

hivi siyo danganya toto na kutafuta umaarufu kwa kisiasa.

ebu wenye japo link,inayoonesha hivyo atuwekee ili tuamini,maana wengine ni THOMASO

nitashukuru

Hakuna madai hapo sio kila kitu mpaka uminyane, uwezi kuzuia mvua huyo jamaa ni kichwa mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Mimi nimesikia kwenye vyombo vya habari kuwa alienda kwenye semina ya kujifunza namna ya kusimamia uchumi wa dunia usianguke..na kwa hiyo kwenye hiyo semina kulikuwa kama kuna majadiliano namna ya kuendesha uchumi wa dunia kwa mafanikio baada ya misukosuko inayotokea sasa ya uchumi wa dunia hasa bara ulaya na Amerika...kwa maana hii si kwamba Prof Lipumba alikuwa anashauri bali alikuwa anajifunza na kujadiliana na wanasemina wenzake.
 
waTZ hatupendani, ndio maana ni watu wa kulalamika tuuuuuuuuuu,
na inakua rahisi kutawaliwa na wageni. mpe credit yupo juuu
 
Bado sijaona kitu kipya hapo! Hivi CUF inaendeshwa na mchumi aliyebobea. Mbona chama kina hali mbaya sana ya uchumi?

mTZ wa kizamaniiiiiiiiiii. ndio maana zinakuja dhana sisi ni wavivu, hatuwajibiki na mengine mengi ya kuturudisha nyuma. BADILIKAAAAAAAAAAA
 
Mimi nimesikia kwenye vyombo vya habari kuwa alienda kwenye semina ya kujifunza namna ya kusimamia uchumi wa dunia usianguke..na kwa hiyo kwenye hiyo semina kulikuwa kama kuna majadiliano namna ya kuendesha uchumi wa dunia kwa mafanikio baada ya misukosuko inayotokea sasa ya uchumi wa dunia hasa bara ulaya na Amerika...kwa maana hii si kwamba Prof Lipumba alikuwa anashauri bali alikuwa anajifunza na kujadiliana na wanasemina wenzake.

Hahaahaaa!! Kweli nabii hakubaliki kwao...semina miezi nane..
 
wadau mimi nimejaribu ku-google madai kuwa prof alikuwa akishauri mambo ya uchumi kwa kutumwa na UN sioni kitu
nimepata haya
Prof.Ibrahim Lipumba/UN - Google Search

hivi siyo danganya toto na kutafuta umaarufu kwa kisiasa.

ebu wenye japo link,inayoonesha hivyo atuwekee ili tuamini,maana wengine ni THOMASO

nitashukuru
Acha chuki binafsi sasa kama wewe thomaso na umeshindwa kutomasa kwenye google utasaidiwaje wakati una kiburi cha kutotaka kuamini? Muulinze Katibu wenu mkuu(SLAA) alikwenda kumpokea. Manake yeye(SLAA ) akienda Karatu akarudi mnasema alikuwa Ujerumani na mnakwenda kumpokea. CHADEMA bwana wasanii kweli, mara mtembeze bakuli kuomba pesa za kampeni.
 
Hahaahaaa!! Kweli nabii hakubaliki kwao...semina miezi nane..

Huna lolote!!! Umeiona mingi kwa kupiga hesabu za ulinganifu kiposho. ona semina elekezi ya gurudoto, haikueleweka! mpaka kesho serikali ni mkorogo mtupu.
 
Hakuna madai hapo sio kila kitu mpaka uminyane, uwezi kuzuia mvua huyo jamaa ni kichwa mkuu.

Una maana kichwa cha panzi mkuu?!!!!! manake chama chake kutumia m150 kumpokea kuna kichwa hapo?
 
I
Acha chuki binafsi sasa kama wewe thomaso na umeshindwa kutomasa kwenye google utasaidiwaje wakati una kiburi cha kutotaka kuamini? Muulinze Katibu wenu mkuu(SLAA) alikwenda kumpokea. Manake yeye(SLAA ) akienda Karatu akarudi mnasema alikuwa Ujerumani na mnakwenda kumpokea. CHADEMA bwana wasanii kweli, mara mtembeze bakuli kuomba pesa za kampeni.

Kama JF ingekuwa na refa yaani wewe ungelimwa red card 3 bila maelezo,sasa SLAA anaingiaje hapa?wewe inaonekana ni mzigo hata kwa familia yako.
 
Back
Top Bottom