Madai ya Prof Lipumba kuwa alikuwa UN akishauri Uchumi ni changa la macho?

Tuwekeeni na ya padri slaa tuiyone

dogo nimekuota, mwana! unambio kitu mshikaji!, manake toka tandika nimekupiga mtama lango la kuingili shimoni kariakoo! Visingizio basi uache, ooh mi nkunyonyesha, ooh naleaaaa! kelele zako ndio umeambulia buku jero, sikutaka dhulma! lakini uko gado mwana!
 
wadau mimi nimejaribu ku-google madai kuwa prof alikuwa akishauri mambo ya uchumi kwa kutumwa na UN sioni kitu
nimepata haya
Prof.Ibrahim Lipumba/UN - Google Search

hivi siyo danganya toto na kutafuta umaarufu kwa kisiasa.

ebu wenye japo link,inayoonesha hivyo atuwekee ili tuamini,maana wengine ni THOMASO

nitashukuru
Mi naona prof ni maarufu ukitaka usitake,usishirikishe watu ktk wivu wako. imia pekeyako.
 
wadau mimi nimejaribu ku-google madai kuwa prof alikuwa akishauri mambo ya uchumi kwa kutumwa na UN sioni kitu
nimepata haya
Prof.Ibrahim Lipumba/UN - Google Search

hivi siyo danganya toto na kutafuta umaarufu kwa kisiasa.

ebu wenye japo link,inayoonesha hivyo atuwekee ili tuamini,maana wengine ni THOMASO

nitashukuru

Kwani wale wanaoshabikia na "kushangaa" Prof kwenda kutoa ushauri wao wameelewa nini?
Hizo assignments ni vitu vya kawaida kwa mtu mwenye "profession na experiences". Hebu tusijifanye "washamba" sana
kushangazwa na Prof kwenda kutoa ujuzi wake popote alipoenda.Hata wewe waweza kama unazo sifa na pia kama unajibidisha kuonyesha unachoweza kufanya.

BTW -Watanzania tutachekwa sana jinsi tulivyopokea kitendo cha Prof kurudi na mapokezi makubwa utadhani katoka vitani kumbe ni kitu cha kawaida na wako wengi wanaoenda na kufanya kilichowapeleka na kurudi kimya kimya.Hayo maandamano makubwa na shamrashamra yalikuwa na nini?
 
KIMSINGI HUTAKI KUULIZA,DUNIA YOTE INAJUA KUWA ALIKUWA MAREKANI AKIWA KAMA MWENYEKITI WA MAPROFESA DUNIANI AKIJADILI DEPRESSION YA DUNIA.HOWEVER SISI TUMEKUWA NA DHANA POTOFU YA USHABIKI WA KINAZI HATA KWA MAMBO YA MSINGI.MI NADHANI PENYE UKWELI TUWE WEPESI KUKUBALI.KWA USHAURI WA BURE JARIBU KUTAFUTA KWENYE GOOGLE ANDIKA PROFESSOR IBRAHIM HAROUN LIPUMBA.:bump2::bump2:
 
Prof Lipumba sio mwenyekiti wa kitu chochote katika ngazi ya Afrika wala dunia, na swala la kumkubali mtu sio mpaka ulazimishe, mambo anayoyafanya ndio yanapelekea watu kumkubali. Lipumba kafanya nini kwenye taifa lako kustahili sifa? ACHANA NA UTUMWA WA KIMAWAZO PANUA FIKRA YAKO NA JIFUNZE KUPAMBANUA NA KUTAFITI TAARIFA.
 
KIMSINGI HUTAKI KUULIZA,DUNIA YOTE INAJUA KUWA ALIKUWA MAREKANI AKIWA KAMA MWENYEKITI WA MAPROFESA DUNIANI AKIJADILI DEPRESSION YA DUNIA.HOWEVER SISI TUMEKUWA NA DHANA POTOFU YA USHABIKI WA KINAZI HATA KWA MAMBO YA MSINGI.MI NADHANI PENYE UKWELI TUWE WEPESI KUKUBALI.KWA USHAURI WA BURE JARIBU KUTAFUTA KWENYE GOOGLE ANDIKA PROFESSOR IBRAHIM HAROUN LIPUMBA.:bump2::bump2:

Naona wote mmeng'ang'ania watu wasiwe wavivu wa ku-google. Mie naomba utuwekee link japo moja tu hapa inayohusiana na huo uenyekiti wa jopo? la maprofesa ili iwe changamoto kwa kizazi kijacho. Nadhani majibu ya "acheni wivu" na mengine kama hayo hayasaidii sana.
 
BTW -Watanzania tutachekwa sana jinsi tulivyopokea kitendo cha Prof kurudi na mapokezi makubwa utadhani katoka vitani kumbe ni kitu cha kawaida na wako wengi wanaoenda na kufanya kilichowapeleka na kurudi kimya kimya.Hayo maandamano makubwa na shamrashamra yalikuwa na nini?

Sasa amekuwa akitoa ushauri wa kiuchumi duniani ikawaje? Miye nilidhani ilikuwa ni fellowship tu - ambayo maprofesa wengi wanapewa na kunakuwa na arrangements kama hizo. Hivi kama angekuwa ametokea tu Mlimani, au Sokoine na akafanya hiyo fellowship kweli angepokewa hivi? Mbona wapo maprofesa wengi tu wa TZ wanaopata nafasi kama hizo.. why is this one special?
 
It is special because Prof. Lipumba ni "kichwa".:redface:
 
Sasa amekuwa akitoa ushauri wa kiuchumi duniani ikawaje? Miye nilidhani ilikuwa ni fellowship tu - ambayo maprofesa wengi wanapewa na kunakuwa na arrangements kama hizo. Hivi kama angekuwa ametokea tu Mlimani, au Sokoine na akafanya hiyo fellowship kweli angepokewa hivi? Mbona wapo maprofesa wengi tu wa TZ wanaopata nafasi kama hizo.. why is this one special?

Ha ha ha...

Mpaka leo hujui kwanini Lipumba ni special?? aisee..nimesahau special kwako ni padre aliyeandika kitabu kimoja kuhusu mtoto wa kike...pole aisee..
 
Unafahamu viongozi wa Cuf wamefuja mamilioni ya shilling ngapi kutekeleza mkakati huu wa kuwaingiza watu mkenge kwamba ni mapokezi ya Lipumba kumbe ni ufisadi ndani ya CUF?

Feasiblity mil.19 vijibweni au siyo?
 
Feasiblity mil.19 vijibweni au siyo?

Safari yake nchini Marekani

Akizungumzia safari yake ya Washington nchini Marekani, ambayo alikaa huko kwa takriban miezi mitano, alikokwenda kwa ajili ya kufanya utafiti kuhusu demokrasia na maendeleo, utafiti ambao ulilenga kuleta demokrasia itakayoleta maendeleo na ajira katika nchi za Afrika, alisema katika utafiti alipata nafasi ya kutoa mjadala kuhusu miaka 50 ya Uhuru Tanzania na hatua ya maendeleo ambayo nchi imeifikia.
Kwa mujibu wa profesa huyo, miaka 200 ndiyo miaka ya maendeleo ya kisiasa, lakini cha kushangaza sasa hivi nchi iko katika robo ya miaka hiyo 200 ya maendeleo lakini asilimia 70 ya wananchi wake wanatumia chini ya dola moja huku mkazi wa Dar es Salaam ambaye anahesabiwa ndiye tajiri ana uwezo wa kupata sh 650 kwa siku.
Alisema suala la kuendelea uchumi na demokrasia linaenda pamoja hii ikiwa ni pamoja na wananchi kupata fursa ya kuikosoa serikali, kuchagua viongozi wanaowataka na kuwawajibisha.
Mapendekezo yaliyofikiwa katika utafiti huo wa uchumi duniani, Profesa Lipumba alisema aliona kuna haja ya kuwa na asasi muhimu zitakazowezesha uhuru wa wananchi kujieleza na kuikosoa serikali.
Pia mapendekezo mengine ni kuwepo kwa Tume Huru ya Uchaguzi na asasi huru ya kupambana na rushwa kwa kuwa Takukuru haina uwezo ikizingatiwa kwamba haiwezi kumpeleka mtuhumiwa wa rushwa mahakamani mpaka Mkurugenzi wa Mashtaka ya Jinai atie saini jambo linalorudisha nyuma juhudi za kupambana na rushwa.
Vilevile utafiti huo ulitaka kuwepo kwa asasi huru ya kukusanya fedha itakayofanya kazi kwa uwezo na uwazi zaidi na kuwa na matumizi mazuri ya fedha zitakazopatikana katika makusanyo hayo.
"Katika hili wananchi wa Tanzania wanaweza kufunguliwa kila mmoja akaunti yake bila kujali ni mtoto au mkubwa ambapo rasilimali zote kama gesi, mafuta na madini kiasi cha mapato yake kinagawiwa kwa kuweka katika kila akaunti ya mwananchi na makato ya kodi yanatolewa humohumo hali itakayofanya kila Mtanzania kufaidika na rasilimali zilizopo badala ya sasa hivi rasilimali hizo kufaidiwa na wachache.
 
Naona wote mmeng'ang'ania watu wasiwe wavivu wa ku-google. Mie naomba utuwekee link japo moja tu hapa inayohusiana na huo uenyekiti wa jopo? la maprofesa ili iwe changamoto kwa kizazi kijacho. Nadhani majibu ya "acheni wivu" na mengine kama hayo hayasaidii sana.

Mkuu, naamini changamoto ni wingi wa mtaji wa kura, sasa naomba wanacuf watuwekee hapa DATA za ongezeko la mtaji wa kura since uchaguzi mkuu uliyopita mpaka chaguzi ndogondogo zinazojiri mpaka sasa.
 
Back
Top Bottom