Macho kuwasha na kutoa machozi nikiugua mafua

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,317
7,734
Habari zenu JF Doctors.,

Jamani mi nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la macho kuwasha na kutoa machozi kila niuguapo mafua. Nashindwa kuelewa hii connection, why kila nikiugua mafua lazima na macho nayo yaige and vice versa? mbaya zaidi macho huwasha sana kiasi kwamba muda mwingi nashinda nafikicha hadi limekuwa jekundu karibia na nyanya.
Msaada, nifanye nini wanajamii? dawa zipi can kill this connection?
 
that looks like red eyz! That z viral infection ambayo inaweza kusababisha bacteria kucolonize eneo hucka.jitahidi kusafisha macho yako kwa sabuni mara kwa mara. Pia unapofikicha jicho moja usihamishie mkono kwenye jicho jingine ili kuepusha kuhamisha wadudu.
 
Also check your diabetes status. Mara nyingine dalili hizi zinaweza kusababishwa na high sugar levels in your blood - early stages of onset of diabetes type 2.
 
Also check your diabetes status. Mara nyingine dalili hizi zinaweza kusababishwa na high sugar levels in your blood - early stages of onset of diabetes type 2.

Asante mkuu ingawa nilichelewa kukushukuru kwa ur useful post
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom