Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,812
- 59,392
- Thread starter
- #41
Hahahaha...ndo mkome kuingia ingia kila sehemu.sitasahu kabisa..............kuna bucha moja nilienda nyama iko ovyo kweli haina utamu, mazingira machafu yaani nyasi zimeota hadi nyuma ya bucha... jengo la bucha ni zuri hasa kwa nje ...ndani kwa kweli pachafu...kile chombo chakuhifadhia nyama kilikuwa kichafu.... na kingine kilichoniacha hoi ni kwamba wakati nakula nyama hiyo kwa shida niligundua mlango wa nyuma ulikuwa wazi..z baada ya kulijua hilo hamu nikanawa mikono na mwiko niliopikia nikaenda kuuosha kabisa...........kwa kweli usipine haya mabucha kwa nje....mengine ndani hayafai....