Mabucha tofauti......

kule Tanga kunakitu kinaitwa "zafanana"; wajomba zangu Wangoni wanasema "zikongwine" yaani.. hata ukila, ukipika tofauti n.k mwisho vyote viko sawa tu..vinachanganyika mutumbo na kutolewa muchoo.. zafanana! Hivyo.. kitu pekee watu wanapendea chakula ni ladha tu.. lakini at the bottom line vyakula vyote vinafanana.. hili ni ukweli.

Tofauti pekee ni jinsi unavyokula, kumega, kutafuna, kulamba, kufyonza n.k na viungo vilivyotengeneza. So vyakula vinavutia kwa harufu, muonekano wake, ladha, mapishi n.k na hii ndio sababu pekee tunachagua vyakula tofauti tofauti. Lakini tukishakula - hisia ya kushiba ni ile ile, vyakula vyote huwezi kulazaidi bila kuvimbiwi, na hata vyakula viwe vitamu vipi at the end of digestion kuna excretion.. and the process goes on and on...

sorry to gross some people out.

...and who said mapishi na ulaji wa nyama hizi is a neat act??!
 
Back
Top Bottom