Mabraza wa enzi hizo Dar kumbukumbu zangu

Yule jamaa mtu wa kuingia frontline kitambo. Yani jamaa si muoga kabisa, anajiamini kupita maelezo.
Hv bro na yule braza smati sana alikua anajiita Cool James......alikua akija dar kutoka Sweden ilikua balaa na kigari chake kile enzi hizo early 90,s...Unamkumbuka?????
Anavaa pamba kali afu kasuka na alikua makamo yenu ila baadae alifariki miaka ya 2000,s...kwa ajali ya gari..
Unamkumbuka???
 
Nakumbuka Mtoto wa Dandu alikuwa anakuja ana hangout na Mike Mhagama sana.

Walianzisha some award show, nafikiri ndiyo ilikuja kuleta Kilimanjaro Awards.

RIP.
 
Yule jamaa mtu wa kuingia frontline kitambo. Yani jamaa si muoga kabisa, anajiamini kupita maelezo.

Yani ile anajiamini mpaka kuna walimu walikuwa wanam mind.
Ni kweli kuna wakati aliwahi kuwa maeneo ya kibaha trafik akamsimamisha jamaa akashuka akaanza kuongea kikorea yaani watu wakamuogopa wakawa wanamuita usalama wa taifa, alaf alikuwa na buti moja kubwa sana tulikuwa tunapiga nae tizi na sensei mmoja yani Ana mambo mengi alikuwa na mkanda blackbelt bila pambano yani nikimuona nacheka tuu
 
NImecheka sana kama namuona hivi.

Jamaa ni mtu wa matukio mwanzo mwisho.

Never a dull moment.
 
Braza kaingia mamtoni enzi za Reagan !!!!Braza alikua wa kishua ila mpambanaji sana!!!!!
Afu alikua na roho nyeupe hakunji kabisa......kukupa ramani!!!
Screenshot_20230417-210309_1.jpg

Nakumbuka Mtoto wa Dandu alikuwa anakuja ana hangout na Mike Mhagama sana.

Walianzisha some award show, nafikiri ndiyo ilikuja kuleta Kilimanjaro Awards.

RIP.
Cool james alikua bishoo sana yule braza....na misuko yake.....Alinifanya nisuke afu bi mkubwa alipojua......nilichezea bakora balaaaa 🤣🤣🤣
 
Braza kaingia mamtoni enzi za Reagan !!!!Braza alikua wa kishua ila mpambanaji sana!!!!!
Afu alikua na roho nyeupe hakunji kabisa......kukupa ramani!!!
View attachment 2856425

Cool james alikua bishoo sana yule braza....na misuko yake.....Alinifanya nisuke afu bi mkubwa alipojua......nilichezea bakora balaaaa 🤣🤣🤣
Kusuka, tattoo, hereni, lazima uchezee bakora sana.

James Dandu alikuwa na mipango kibao yale mambo ya awards alikuwa anaanza tu, alikuwa anataka kujenga studio kubwa.

Lakini ndiyo hivyo sasa alifariki kwenye ajali ya gari.
 
Back
Top Bottom