King Suleiman
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 496
- 327
Bado CDM hiyo tarehe 5 January wanayo sema wanaandama, wao ndio tutawamaliza kabisa , asiguse mtu barabarani, na kama mnabisha hata mliomo humu JF ambao mlikuwa na nia ya kufanya hivyo jaribuni muone dola itakavyo wafanya
sikutegemea kukutana na watu dhaifu wa mawazo na wakatisha tamaa kama wewe kwenye home of great thinkers. Nadhani unastahili kutoa michango yako kwenye blog ya ccm (kama ipo) huko akina Makamba na wenzake ndio wanashabikia wakatisha tamaa ili wajifurahishe. 'shame on u'