Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,492
- 92,995
Mambo ya wana ndoa hayo tusiyaingilie. Lipumba hakuwepo wala Maalim Seif hakuwepo!!!! Waliweka chambo chao ;;; Kafiri Julius ndio aongoze maandamano!!!
Watu tunaoona mbali tumeshalisema hili mara nyingi, sioni hata haja ya kuchangia chochote kwenye thread hii, sasa wewe uliona wapi chama tawala kikaandamana kuipinga serikali yao wao wenyewe? maalim seif ndio katibu mkuu wa CUF je alikuja kuongoza hayo maandamano?
Huyu kijana anayeitwa Mtatiro nadhani ana kaswende ya ubongo, anadhani anaweza kupata public sympathy kirahisi kwa movement za kitoto namna hii. sisi Watanganyika asije akazani anaweza kutufananisha na wapemba, wenye chama chao cha Cuf wanajulikana wazi ni Lipumba na Maalim Seif, na wao wamekaa pembeni hivi mtu unaejuwa namna nzuri ya kufikiri unaweza kumsikiliza mwehu kama mtatiro?
wapemba wengi wamepoteza maisha yao kule pemba kwa sababu ya mwehu mmoja tu ambaye shida yake ilikuwa ni tumbo lake tu, wanafikiri hapa Tanganyika kuna majuha wa kuwaingiza mkenge huo?
Angalizo: Asiyekijuwa vizuri chama cha CUF aende kwa Profesa Abdalah Safari atapata kuijuwa CUF.