Mabomu ya machozi yarindima tena Zanzibar leo

Unasapoti Uamsho kwa kigezo kipi embu dadavua maana wengine tusije tukawa tunawachukia tu kumbe Serikali ndio yenye makosa. Embu funguka kama great thinker bila upendeleo wa mawazo yako

si anategemea tende na halua,mwezi wa ramadhan si uko karibu
 
Jamani hao watu wapewe nchi yao kama wanaitaka maana tusilazimishe vitu kijinga alafu madhara yakaja yakawa makubwa, hebu wawachie nchi yao zanzibar na sisi tubakie na tanganyika yetu ambayo CDM tutashinda kwa kishindo.
 
Jamani hawa magaidi vip mbona wana poteza amani tena, kweli serikali hii ni legelege maghala ya risasi yapo kutokomeza hao magaidi.
 
Jamani hao watu wapewe nchi yao kama wanaitaka maana tusilazimishe vitu kijinga alafu madhara yakaja yakawa makubwa, hebu wawachie nchi yao zanzibar na sisi tubakie na tanganyika yetu ambayo CDM tutashinda kwa kishindo.

Mkuu kama ukiwasikiliza vizuri wanataka na maili kumi za ukanda wa pwani ya Tanganyika uko tayari? Wapigwe tu kama noma iwe noma.
 
Inabidi wasilkilizwe wanachotaka sio kutumia nguvu unaweza kuta wana jambo la msingi tuu.

Nina MAONI tofauti na msimamo wako, kwa mtazamo wangu hawa ni wahuni WAPENDA FUJO ambao lugha ya kusema nao ndo hiyo! Kama wangekuwa na hekima nchi hii inatoa uhuru wa kikatiba wa kukutana, kutoa maoni bila kipingamizi alimradi WATU HAWAVUNJI SHERIA! Kwa nini hawataki kutoa maoni yao katika njia zilizopendekezwa na serikali? Serikali imeahidi kuyapokea madai yao kupitia tume inayopita kuratibu mapendekezo ya kuundwa kwa katiba mpya. Ningeelewa kama baada ya tume kupita, na wao kutoa maoni yao, ikaonekana wamepuuzwa! HUREEEE SERIKALI! Kwa mkong'oto "huwaga" wanaelewa!
 
mtu yeyote anashawishika kukubali kuwa," huu ni mpnago wa ushirikiano kati ya serikali ya mapinduzi zanzibar na wanauamsho.Kwahili basi tukubali serikali haina usalama wa taifa wala intelijensia ya polisi.Na kama wapo basi nathibitisha kauli yangu, kuwa ni ushirikiano.masuala haya lazima serikali ingekuwa imechukua hatua na yasingerudiwa; hawa wanafanya hivyo sababu kuna mkono wa serikali ya mapinduzi zanzibar

Hilo liko wazi mkuu! Wazanzibar wote wameamua kujitoa ktk muungano, wanechoka kutawaliwa na Tanganyika.
 
Mkuu weka na picha tuone mambo halisi yalivyo huko zenji.!
224807_314670781956079_908906950_n.jpg
 
Jumuiya Ya Uamsho na Mihadhara Ya Kiislamu Zanzibar | Facebook

POLISI WANAENDELEA KUTUMIA NGUVU NYINGI KUTULIZA WATU HIVI MPAKA LINI?LEO BOKO HARAMU WAMECHOMA MAKANISA MATATU NIGERIA, KWA NINI SERIKALI ISIWASIKILIZE HAWA WATU JAMANI?AU KAMA INAJUA HAITAWASIKILIZA KWA NINI ISIKIVUNJE HIKI MKIKUNDE?YUTAENDELEA KUISHI HIVI MPAKA LINI?

Nguvu inayotumiwa na serikali haitoshi! Ndo maana wanarudirudi barabarani! Inatakiwa kama ile iliyozaa "wakimbizi"!
 
Dawa nikukamata wafuasi wake wote na kukifutia usajili
Hiyo sio dawa. Wanasema unaweza kumuua mjumbe lakini huwezi kuua ujumbe, au fikra ya mjumbe, you can never kill an idea.

Leo ni UAMSHO. Kesho ataibuka mwingine kubeba ujumbe, kubeba ile idea iliyoko vichwani mwa baadhi ya Watanzania, kwamba hawataki Muungano. Kwa hiyo, hata ungefuta usajili wao na kuwafunga, hata ungewapiga risasi UAMSHO wote, kesho hiyo idea itachipuka tena. Huo ndio ukweli. Martin Luther King, wa Marekani, alisema, "a truth buried to the ground will rise again"! Huwezi kuangamiza ukweli. Hata ungewapoteza, nini kufuta usajili, hata ungeficha milele viongozi wa UAMSHO wote, hiyo si dawa.

Dawa ni nini?

Nimesema "baadhi" ya Wananchi hawataki Muungano. Baadhi. Kinachotusumbua mpaka sasa ni, "baadhi" hao ni wangapi wetu? Jibu la hilo swali, ukipata jibu la hilo swali ndio umeanza kutafuta dawa!
 
Hizi vurugu za kila siku Zanzibar sio taarifa nzuri,vurugu huwa zinaanza kidogo kidogo zikija kuwa kubwa kila mmoja atajuta.Viongozi wa Serikali acheni matamko hamkawii kutoa matamko tafadhali zitekelezeni kauli zenu kwa vitendo sio maneno matupu.Wanadamu wote ni wamoja Ila misimamno na imani ndio tofauti,pls Wazanzibari msiwabague wala kuwadhuru Watanzania(binaadamu Kama ninyi)wanaoishi huko,upendo ni jambo la msingi sana kwa wanadamu wote bila kubagua dini/kabila/rangi nk.
 
Nguvu inayotumiwa na serikali haitoshi! Ndo maana wanarudirudi barabarani! Inatakiwa kama ile iliyozaa "wakimbizi"!
madhumuni MAKUU YA VIKUNDI VYOTE AFRIKA VYA KIISLAM VINAVYOHATARISHA AMANI NI KUTAKA NCHI HUSIKA ZIWE NA DOLA LA KIISMAM yaani nchi ziendeshwe kiislam.
ona missio ya hawa boko haram:http://www.bbc.co.uk/news/world-africa-13809501
ona mission ya uamsho znz: Jumuiya Ya Uamsho na Mihadhara Ya Kiislamu Zanzibar - Résumé | Facebook
wote lao moja tu .
 
..Akina Rais Mstaafu,Mwinyi na wenzake wanaopigania Muungano kwa sababu bila ya Muungano, watabakije hapa Bara maana ndio wameshafika hawa, ata mpango wa kurudi Unguja hana?pia wanaangalia maslahi yao ya nafasi zao walizoshika kwenye Muungano yatakuwaje?je hawa watoto wao wanaotegemea kubebwa na Wabara ili waje kuchukua madaraka kwenye serikali ya Muungano au ya Zanzibar mustakabari wao kisiasa utakuwaje?hawa hofu yao ni maslahi yao tu binafsi, waacheni wapiganie mlo na uroho wao..

...Lakini nyie Wazanzibar wa kawaida, msio na maslahi binafsi kama hao wenzenu,msidanyike, ebu songeni mbele kulirudisha taifa lenu lililoingizwa kwenye Muungano kwa mslahi binafsi ya watu wachache sana,kura ya maoni kuhusu Muungano ni ya lazima, nitafurahi kuliona taifa jipya la Afrika baada ya Sudani Kusini very soon...

...Wazanzibar songeni mbele, Uamsho ongezeni kampeni hiyo, LAKINI please, kuchoma makanisa ni kudhohofisha hoja yenu ya msingi, naamini wanaochoma sio Uamsho wa kweli,bali ni mapandikizi tu wanaotaka Uamsho waonekane watu wa hovyohovyo, kama wachomaji hao wangekuwa wanachoma kwa sababu ya kudai Zanzibar kujitenga ni wazi kuwa wangechoma moto ofisi au alama zilizoko Zanzibar zinazoashiria uwepo wa Muungano, go Uamsho go...
 
Jumuiya Ya Uamsho na Mihadhara Ya Kiislamu Zanzibar | Facebook

POLISI WANAENDELEA KUTUMIA NGUVU NYINGI KUTULIZA WATU HIVI MPAKA LINI?LEO BOKO HARAMU WAMECHOMA MAKANISA MATATU NIGERIA, KWA NINI SERIKALI ISIWASIKILIZE HAWA WATU JAMANI?AU KAMA INAJUA HAITAWASIKILIZA KWA NINI ISIKIVUNJE HIKI MKIKUNDE?YUTAENDELEA KUISHI HIVI MPAKA LINI?

Muungano ufe. Zenj ibaki kivyake!!!!!! Waislam watatuangamiza, imani zao zinawajengea chuki kwa makafiri na kuwa utapata thawabu kwa kuharibu mali za khafiri au kuwamaliza kuutetea uislam!!! Vunja hii kitu Muungano!!
 
Serikali nashauri pia ipeleke na vinyozi ili hawa jamaa wanyolewe na hiyo midevu nafikiri inawasha halafu inawatia wendawazimu
 
naona imefika wakati serikali iwachukulie hatua hao watu

Kama una ndugu yako mkristu Zenj mwambie atafute kazi bara arudi. Hata waislam wa bure kule hawana mashiko maana wanaonekana si washika dini sana!!! Ni kama nusu-kafiri!!
 
Back
Top Bottom