Mabomu ya machozi yarindima tena Zanzibar leo

Mkuu ni vema umaliona angalizo hilo maana si sahihi kabisa kuchukua ID ya mtu maarufu kama yule halafu umsemee, haitakiwi na mods wanatakiwa wawe makini kwa hili. Ngona niwashtue mods.
Ni kweli mkuu anaweza akamsemea vibaya halafu ikawa purukushani humu jamvini
 
Taso, suppose serikali ikiruhusu kura ya maoni juu ya Muungano na hao ambao hawataki Muungano wakawa ni minority Je kitafanyika nn ili hao wasiopenda Muungano waridhike.
Na wakiwa majority, hao minority utawafanyaje?
 
Kwa hiyo kwa mapendekezo yako ulitaka serikali ifanyeje kama watu tayari washaandamana wapo barabarani? Maana hayo mapendekezo yako yanawezekana kama watu wametulia wapo kwenye majadiliano. Sasa wakiwa barabarani tayari wanaandamana unafanyeje? Tupunguze lawama wakati mwingine.
 
Kwa taarifa yenu mabomu ya leo yanawa support wakazi/wananchi wa donge ambao walikuwa wanapinga vikali mihadhara ya uamsho kufanyika katika jimbo lao.

Inshort huu ni ushahidi kuwa uamsho hauna support ya majority of zanzibaris pia watu wa donge wanajulikana kwa misimamo isiyoyumba, waulizeni watu wa CUF!
 
Ndugu zangu tusaidieni tusioweza kuoneshwa yanayotokea Zenj. Matakwa yao hawa watu ni yapi? Tuyafahamu kwanza. Yawezekana kabisa wako sahihi nasi tunapewa propaganda tu ili tuwachukie.

Hilo la kuchoma makanisha lisiwe taabu sana maana ndo kawaida ya vurugu. Hata pale mtaa wa kongo, machinga wakifukuzwa huishia madukani kupora na kubomoa magari, kwani kuna uhusiano?

Serikali hii ya tz kwa upande mwingine pia ni mangapi imetuficha bila sababu?
Hiyo katiba yenyewe tumeshaona dalili za akina Warioba kutaka wasiguswe.

Taaabu kabisa.
 
Mpaka kiileweke....tuachiwe tupume

Hapo unapodai umebanwa pakirekebishw bila kuuvunja muungano utaridhika?,au nia yako ni kuvunja muungano tu pasi na sababu za msingi?Kwa nini Watanzania wenzangu tunaipenda dhambi ya kutengana?Hivi tukitengana ni faida kwa nani?Mwalimu Jullius Nyerere aliwahi kutuasa"sasa hivi tunaringa sisi ni Wazanzibari lakini tukitengana hakuna tena Wazanzibari Ila utakuta hapa kuna waunguja/wapemba na hatutobaki salama".Uvunjeni muungano lakini athari zake zaweza kuwa nyingi kuliko faida zake.
 
Kwa vile Tanzania tuna mchakato unaoendelea wa Katiba Mpya, Tume ya Warioba ipendekeze kura ya maoni, yaani referandum, ili Wazanzibari na Watanganyika waamue kama muungano uwepo au la.

Endapo ama Zanzibar au Tanganyika zaidi ya asilimia 50 hawataki muungano, basi hiyo Tume itoe ripoti moja juu ya Katiba ta Zanzibar na ripoti nyingine ihusu Katiba Mpya ya Tanganyika. Hakuna haja ya kulazimisha muungano.

Mzee Mtei, kwanza shikamoo leo umesafisha hali ya hewa tokea ile post yako ya tume ya katiba.

Mawazo mazuri mzee umeleta .
 
224807_314670781956079_908906950_n.jpg

Mbona sioni vibagalashia na kanzu chafu, wamejua lini kukitinga cha mzungu hawa
 
Hapo unapodai umebanwa pakirekebishw bila kuuvunja muungano utaridhika?,au nia yako ni kuvunja muungano tu pasi na sababu za msingi?Kwa nini Watanzania wenzangu tunaipenda dhambi ya kutengana?Hivi tukitengana ni faida kwa nani?Mwalimu Jullius Nyerere aliwahi kutuasa"sasa hivi tunaringa sisi ni Wazanzibari lakini tukitengana hakuna tena Wazanzibari Ila utakuta hapa kuna waunguja/wapemba na hatutobaki salama".Uvunjeni muungano lakini athari zake zaweza kuwa nyingi kuliko faida zake.
moja ya madai yao makuu ni serikali ya znz kuongozwa kiislam ,Je hilo utaweza kuwaachia?hawa jamaa hawaishi visa,ukiangalia wamepewa mamlaka makubwa sana na TZ lakini bado wanalalamika.unajua hawa jamaa sasa ni kama nchi hata mkurugenzi wao wa mambo ya nje Tz yupo,kuna miradi mingi tu ya misaada world bank na EU inaendelea huko znz.mi nakwambia hawa watu ni kuwaachia tu kama mpaka hapa walipobebwa hawathamini
 
Ndugu yangu Lyimo umesema kweli tupu. Kama unasoma makala zangu kwenye JF nilikwisha sema kuwa Uamsho wanachochewa na viongozi wa Serikali ya Zanzibar. Hizi vurugu na chokochoko ni kuwasha moto Polisi waue mtu angalau mmoja then utaona vurugu itakayotokea na kwa mtindo wa kisanii wa JK huo utakuwa ndio mwisho wa MUUngano.

Serikali yenu hii haina lolote na huyu JK kama baadhi ya wanaJF wanavyosema Mikono Mirefu ya Ocampo inamsubiri kwani hata 2015 hafiki. Natoa onyo kwa ndugu zetu wa bara mlioko Zanzibar ondokeni as quick as possible yale Mapinduzi ya 1964 yaliyowachinja Waarabu na Wapemba mnatafutwa nyie rudini nyumbani tunawapenda.

Angekuwa Mkapa wasingethubutu kwani wanajua angewabonyeza mapema lakini huyu JK Muislam mwenzao anacheka nao na hana maamuzi itamtokea puani muda si mrefu.
 
Serikali ilisema ni wahuni sasa wanaosema wasikilizwe inakuwaje muhuni si anakamatwa? Waache utani hata serikari inalea tatizo kama wana police, jeshi, mahakama, mahabusu, sero, magereza, usalama wa taifa, intelligency department ipo likizo? Tumechoka huku ni kushindwa uongozi.
 
Hao ni Wazanzibari waliokusanyika viwanja vya malindi baada ya muhadhara wao kuzuiliwa na Police huko Donge leo hii.
mahonda.png
 
Hapo unapodai umebanwa pakirekebishw bila kuuvunja muungano utaridhika?,au nia yako ni kuvunja muungano tu pasi na sababu za msingi?Kwa nini Watanzania wenzangu tunaipenda dhambi ya kutengana?Hivi tukitengana ni faida kwa nani?Mwalimu Jullius Nyerere aliwahi kutuasa"sasa hivi tunaringa sisi ni Wazanzibari lakini tukitengana hakuna tena Wazanzibari Ila utakuta hapa kuna waunguja/wapemba na hatutobaki salama".Uvunjeni muungano lakini athari zake zaweza kuwa nyingi kuliko faida zake.

mi huwa wananiacha hoi wanaposema TUACHEN TUPUMUE
 
Ndugu yangu Lyimo umesema kweli tupu. Kama unasoma makala zangu kwenye JF nilikwisha sema kuwa Uamsho wanachochewa na viongozi wa Serikali ya Zanzibar. Hizi vurugu na chokochoko ni kuwasha moto Polisi waue mtu angalau mmoja then utaona vurugu itakayotokea na kwa mtindo wa kisanii wa JK huo utakuwa ndio mwisho wa MUUngano.

Serikali yenu hii haina lolote na huyu JK kama baadhi ya wanaJF wanavyosema Mikono Mirefu ya Ocampo inamsubiri kwani hata 2015 hafiki. Natoa onyo kwa ndugu zetu wa bara mlioko Zanzibar ondokeni as quick as possible yale Mapinduzi ya 1964 yaliyowachinja Waarabu na Wapemba mnatafutwa nyie rudini nyumbani tunawapenda.

Angekuwa Mkapa wasingethubutu kwani wanajua angewabonyeza mapema lakini huyu JK Muislam mwenzao anacheka nao na hana maamuzi itamtokea puani muda si mrefu.

dah,,,,,,haya
 
Wako sahii kabisa,nini maana yamuungano?na utawalazimishaje watu kuungana?makanisa yalichomwa na selkali yenyewe ili muungano usijadiliwe kama mkulu alivyo zuia.zanziba ikijitenga itakua dubai ndogo na sisi tutadai tanganyika yetu na uongozi wake ccm hawana matumain ya kushinda uchaguz ukiitishwa.muungano utavunjika kama bara tukielimika maana sie ni wavimba macho,zenj wametuacha mbali sana.waliituma cuf ikaolewa wameamua kudai wenyewe sasa na watashinda.emungu watangulie wajikomboe na uislam utasimama
 
Uamsho wasikilizwe tunaogopa nini kuiacha Zanzibar ijitawale jamani. Contribution ya rasilimali za ZANZIBAR kwenye pato la taifa ni asilimia ngapi kiasi cha Tanganyika kupata uchungu wa kuiachia iende zake?
 
Back
Top Bottom