Mabishano ya kidini ni ujinga na kipimo cha uelewa mdogo

Mimi nitakupa maana kwa miaka sasa nimekuwa nazitoa JF bila hiyana. Ila uanze wewe uliyesema umefanya research na ukathibitisha somehow kuwa Biblia... narudia Biblia tena narudia ili iingie vizuri akilini mwako Biblia haina Divine Origin na kuwa haithibitishi in any way kuwa Mungu yupo.

Ukionesha hii nitakwenda nawe dot to dot kuonyesha si tu kwamba Mungu yupo na Biblia ni Neno la Mungu bali pia uko na hali mbaya mbele zake ikitokea ukavuta leo hii.

But kwanza leta research husika!
Ok fine, Biblia ni neno la Mungu... Quran je? Ni neno la wanadamu wa kawaida au Maandiko yote mawili ni ya Mungu?...inawezekanaje andiko moja liwe la Mungu kwa maoni na mtazamo wako tu? ....Vipi upande wa pili unaweza kunipa uthibitisho wa Quran kama ni andiko la Mungu au sio la Mungu? Niamini kwamba Biblia ndio yenye usahihi zaidi....
 
Ok fine, Biblia ni neno la Mungu... Quran je?
Mungu kwa asili yake hajipingi so kwa sababu Quran inaipinga Biblia na kwa utafiti wangu Biblia inabeba mark zote za Neno la Mungu then Quran haiwezi kuwa Neno la Mungu.
Ni neno la wanadamu wa kawaida au Maandiko yote mawili ni ya Mungu?
Jibu hilo hapo juu.!
...inawezekanaje andiko moja liwe la Mungu kwa maoni na mtazamo wako tu?
Ukiandika barua kwa mchumba wako halafu zikawepo barua nyingine ambazo hukuandika wewe halafu mtu akauliza swali kama hili unamjibu nini?
....Vipi upande wa pili unaweza kunipa uthibitisho wa Quran kama ni andiko la Mungu au sio la Mungu? Niamini kwamba Biblia ndio yenye usahihi zaidi....
Biblia ni Neno la Mungu. Kila kinachopingana nayo hakiwezi kuwa Neno la Mungu kwa sababu Mungu hajipingi.

Kuhusu ushahidi nadhani umesahau acha nikukumbushe. Ninasubiri utafiti wako kwanza...!
 
Mungu kwa asili yake hajipingi so kwa sababu Quran inaipinga Biblia na kwa utafiti wangu Biblia inabeba mark zote za Neno la Mungu then Quran haiwezi kuwa Neno la Mungu.

Jibu hilo hapo juu.!

Ukiandika barua kwa mchumba wako halafu zikawepo barua nyingine ambazo hukuandika wewe halafu mtu akauliza swali kama hili unamjibu nini?

Biblia ni Neno la Mungu. Kila kinachopingana nayo hakiwezi kuwa Neno la Mungu kwa sababu Mungu hajipingi.

Kuhusu ushahidi nadhani umesahau acha nikukumbushe. Ninasubiri utafiti wako kwanza...!
Hapa na wewe unajibu swali kwa kuuliza swali? Nipe kwanza huo unaosema utafiti wako ukiwa kwenye written document ili ni amini kweli Biblia tu ndio neno la Mungu...huwezi tumia biblia kuitafiti Biblia! Tumia uthibitisho mwingine kuthibitisha Biblia...Yani ni ni sawa nikupe mfano polisi aue afu tena yaye ajichunguze...!!
 
Unajaribu kuwa mjanja sio? Uliyeanza kusema una utafiti uliokufikisha kwenye hitimisho kuwa hakuna Mungu na Biblia ni maandishi ya watu tu ni wewe. Nikakudai ushahidi wa huo utafiti ukaanza kurusha mpira kwangu. He that alleges have the burden to prove. Sasa kwa ujanja ujanja unataka kugeuza swali? Won't work here!

Nimekuwa najadili sana hili suala na kuna nyuzi kibao JF na kama nilivyosema sitaona shida kujadili tena. Ila kwanza onyesha utafiti. La sivyo ukiri kwamba ulikuwa ni utapeli wa maneno na kuwa hujafanya utafiti wowote. Ulitumia kama mbinu ya kutufunga midomo. Else onyesha utafiti kwanza ndio uwe na moral grounds za kunihoji.

Kumbuka siku zote "He that alleges has the burden of proof"
 
Opposite attract, same repel.

Upinzani unanogesha na kuendesha maisha.

Kwanini hamna kampuni moja ya magari?

Kwanini hamna kampuni moja ya nguo?

Kwanini hamna kampuni moja ya viatu?

Uislam haunogi bila kuwepo ukristo, wala ukristo haunogi bila kuwepo uislam.

Someone has to be wrong so that I can feel right.

God cannot exist without Satan, and Satan cannot exist without God.

If Satan becomes non existent then everything about christianity and Islam becomes worthless and meaningless.

As much as we dont want Satan to exist, there's someone that needs Satan's presence in the world the most, and its none other than God.

Satan makes God's presence look meaningful and needed. Just like how CCM makes CHADEMA's presence look meaningful and needed.

We cannot achieve an absolute peace in the world because CHAOS and ORDER is what keeps the world running.

Everytime muslims seem to be at peace with christians, something comes up out of nowhere and destroys the peace, and we go back to hating each other.

Everytime white people seems to be at peace with black people, something comes up out of nowhere and destroys the peace, and we go back to hating each other.

They first destroy the peace, and then bring it back, and then they repeat the cycle again.. CHAOS & ORDER.
Nadhani hapa mada ingefungwa tu maana umemaliza kila kitu
 
Unajaribu kuwa mjanja sio? Uliyeanza kusema una utafiti uliokufikisha kwenye hitimisho kuwa hakuna Mungu na Biblia ni maandishi ya watu tu ni wewe. Nikakudai ushahidi wa huo utafiti ukaanza kurusha mpira kwangu. He that alleges have the burden to prove. Sasa kwa ujanja ujanja unataka kugeuza swali? Won't work here!

Nimekuwa najadili sana hili suala na kuna nyuzi kibao JF na kama nilivyosema sitaona shida kujadili tena. Ila kwanza onyesha utafiti. La sivyo ukiri kwamba ulikuwa ni utapeli wa maneno na kuwa hujafanya utafiti wowote. Ulitumia kama mbinu ya kutufunga midomo. Else onyesha utafiti kwanza ndio uwe na moral grounds za kunihoji.

Kumbuka siku zote "He that alleges has the burden of proof"
Let's agree to disagree... usifosi mawazo yako yakubalike na kila mtu na mimi siku aminishi ukubali mawazo yangu..ila nakwambia hivi God is beyond our concept of imagination and thinking...
 
Let's agree to disagree... usifosi mawazo yako yakubalike na kila mtu na mimi siku aminishi ukubali mawazo yangu..ila nakwambia hivi God is beyond our concept of imagination and thinking...
No! Let's agree kuwa hakuna utafiti ulioufanya na kuwa mawazo yako ni mawazo tu yasiyokuwa backed na any research au evidence. Maana ndicho ulichoonesha.

Usijifichie kwenye uhuni wa kukubaliana kutokubaliana. Huu ni uhuni wa kimantiki!
 
Na wewe usilazimishe mawazo yako niyaone ni utafiti na researchs.... bado vinabaki mawazo na mtazamo wako pia...haya unayo dai ni researchs na evidence ni za kwako tu...
 
Ni kweli kabisa mkuu..Dini na Imani zetu hazitaki zihojiwe na ukijaribu kufanya hivyo inaonekana unapingana na dini au imani hiyo.. Faith prevents reasonable thinking...hili ni tatizo sana
Nani kakuzuia kuhoji dini? Unajitengenezea tatizo wewe mwenyewe
 
Kwa waislamu ndio hatari kabisa mtu akiacha uislamu anatatengwa, atauwawa, mzazi wake kabisa yupo radhi hata kumuua sema wanaogopa tu sheria za nchi, lakini wanawatenga na undugu unakufa kabisa na kufutwa kwenye ukoo. Tofauti na Wakristo ukiamua kuwa Muislamu Hakuna shida kabisa kwenye familia hata Jamii yako.
Pana Shehe Mkubwa kabisa nchini kwa watoto 10 yeye pekee ndie akaamua kuwa Muislamu hawa tisa Wakristo hawana shida kabisa undugu upo pale pale japo imani wametofautiana.
Hata kwenye Biblia Mafundisho yako Hivo hivo
 
Huu mjadala unaoendelea unaonyesha kichwa cha habari cha huu uzi kiko sahihi kabisa.
 
Kuna kitu wewe unakosea kimoja!! Kama hukijui mpaka panazuka mijadala hii ya kidini ,panazuka mjadala kama huu jaribu kuangalia mashambulizi always yanaanzia wapi haswa kibongo ,tatizo lenu ni moja nawaambia ukiachana na nchi za nje ambao wanapigana kweny maslahi ya madaraka kwa vile kule walishaamua kuwa ivyo ...Mfano mada inatokea nje au mtu kalipua nje kwa hapa bongo hamna mtu alipuka na bomu basi mtu analeta nyuzi kumshambulia dini fulani ili kuonyesha chuki dhidi ya watu kuwapa majina mabaya..

Narudia kusema hatuvumilii ujinga sio wanyonge kama tunaweza kufuta mijdala tuwe tunadicus mambo ya maana Ntakupa mfano unasoma Uzi upate mbili tatu unakuta mtu kakoment labda dini yako wewe au kwenu Kuna magaidi au mashoga utakubali??

Huwaga watanzania na waafrica kwa kiasi kikubwa ni wapenda amani , hususani hapa Tz sema chokochoko ndo zinawacost ..

Nyuzi za humu dini, makabila, mikoa ujinga mtupu Mimi comment ila usitaje dini yangu ..
Mkuu ulienda vzr na hoja yk lkn mwishon umeharibu Kila kitu
 
Back
Top Bottom