Kwa maana hii ni kuwa Mwigulu ame-expose silaha waliyotegemea kuitumia na kumi na tano!! Kwa mashambulizi madogo kabisa ya mnyika!!!!
Anayehusika ni Miraji Kikwete. Hata kwenye uchaguzi wa 2010 alitumia mbinu hii kutuma sms za kmchafua Dr Slaa.
Mbona Marando hamtaji huyo mtu na baba yake? Hili nalo limekuja na litapita tu. Marando anasema anazo data za kutosha basi angetaja na kimwambia mtajwa kama anaona si kweli nasi akashitaki. Marando si upasue jipu?
Katika mazingira ya kawaida inakuwa vigumu kuamini Mnyika angewezaje kuandika maneno yote hayo magumu kwa kutumia simu yake mwenyewe kana kwamba hajui kwamba inarekodiwa. Siamini kuwa Mnyika amefikia hatua hiyo. Kwenye tekinolojia lolote lawezekana. Ikiwa watu wanachukua fedha kwenye ATM kwa kutumia tekinolojia watashindwa hilo? Watu wana hack email na kutuma ujumbe kwa watu bila wewe kujua itakuwa hilo? Uchunguzi wa kina ufanyike kubaini kilichotokea ili haki itendeke.Mwanasheria wa Chadema Mabere Marando ameieleza Clouds Tv muda huu kuwa katika uchunguzi uliofanywa wamegundua kuna teknolojia ambayo mtu anaweza kukutumia msg kwa namba yoyote na ikaonesha kuwa ametumiwa na mtu mwingine tofauti na mtumaji wa awali kwa kutumia mtambo maalumu.Inaaminika mtambo huo umenunuliwa tangu mwaka jana na kigogo mmoja wa serikali kutoka Israel.
Source ITV habari
Adai ushahidi anao ni mtambo ulio nunuliwa Israel una uwezo wa kuingiliana namba na mtu kwa umbali wa Kilometer 5 na unauwezo wa kuandika sms na kuituma na sms ikaingia kama inetoka kwa mbaya wako.
Kasema mtambo huo umenunuliwa na mtoto wa kigogo aliyeko Ikulu na baba yake ni mtu mkubwa sana nchini.
Na kinachofanyika ni kuwachafua CDM
Marando naona anatumia ile technic ya kina Lipumba mwaka 2000 waliposhindwa kwenye uchaguzi na jembe BWM, wakaja na uongo eti CCM wamechapisha karatasi za kura china zimewekwa kifaaa kinacho hamisha alama ya vema kutoka kwa Lipumba kwenda kwa Kikwete.
Nini tena? Mbona habari inaanzia juu juu. Tupeni habari kuna msg gani tena za Nchemba?
wakuu.
Naanza kuunganisha dot sasa! Mnakumbuka zile sms zilizo kuwa zinaingia kwenye simu zetu mwaka 2010 zenye uzushi kuhusu dr slaa halafu ikawa ukipiga inakataa? Mwenye mtambo ule ilisemekana kuwa ni mirage kikwetu. Tujiulize kama mtambo ule ulitupwa wapi baada ya ile kazi.
mwingulu nilikwambia utaumbuka sababu hufikiri kwa kina kabla ya kutenda!
Hiyo machine mlivyo ificha mlitegemea haitajulikana? Sasa mwingulu siri hakuna tena umeumbuka!
Nitaendelea kukwambia kuwa laana ya mauaji haitakuacha!
Marando naona anatumia ile technic ya kina Lipumba mwaka 2000 waliposhindwa kwenye uchaguzi na jembe BWM, wakaja na uongo eti CCM wamechapisha karatasi za kura china zimewekwa kifaaa kinacho hamisha alama ya vema kutoka kwa Lipumba kwenda kwa Kikwete.