Mabere Marando asema Meseji zilizodaiwa kutumwa kwa Mwigulu ni za kuchonga!

Kweli chadema ni chama makini sana.Tumegundua hilaza mafisadi(mabwepande+dhaifu).
 
en.png
de.png
fr.png
ru.png
es.png
[h=1][/h]

6:15pm 20/07/12

logo3.jpg

slogan.jpg

home.jpg

homecontent2.jpg
Welcome!
Send text messages from any sender ID to any mobile in the world. You can customize
homecontent3.jpg
the sender ID as alphanumeric text or any phone number. You can set a scheduler to send a message at any time you want.
homecontent_b.jpg

Duh,WE MKARI!
 
Mbona Marando hamtaji huyo mtu na baba yake? Hili nalo limekuja na litapita tu. Marando anasema anazo data za kutosha basi angetaja na kimwambia mtajwa kama anaona si kweli nasi akashitaki. Marando si upasue jipu?

tatizo hujamsikia alipokuwa anatoa taarifa ndiyo maana. Ikimbidi kufanya hvyo atafanya kwakuwa ana amini alichokisema.
 
Amesema kifaa hicho kimenunuliwa naa mtoto wa kiongozi mkuu wa nchi hii na akiamua atamtaja itakapohitajika na ushaidi anao full nondo,kinainteract 5km toka kifaa hicho kilipo.ama kweli ssm wameumbuka kabisa na bado.huyo ni rz2 hamna mwingine mwenye akili za mashiko oneni hili usalama wa taifa umegawanyika kweli kweli kwann hii ivuje jamani?
 
Mwanasheria wa Chadema Mabere Marando ameieleza Clouds Tv muda huu kuwa katika uchunguzi uliofanywa wamegundua kuna teknolojia ambayo mtu anaweza kukutumia msg kwa namba yoyote na ikaonesha kuwa ametumiwa na mtu mwingine tofauti na mtumaji wa awali kwa kutumia mtambo maalumu.Inaaminika mtambo huo umenunuliwa tangu mwaka jana na kigogo mmoja wa serikali kutoka Israel.
Katika mazingira ya kawaida inakuwa vigumu kuamini Mnyika angewezaje kuandika maneno yote hayo magumu kwa kutumia simu yake mwenyewe kana kwamba hajui kwamba inarekodiwa. Siamini kuwa Mnyika amefikia hatua hiyo. Kwenye tekinolojia lolote lawezekana. Ikiwa watu wanachukua fedha kwenye ATM kwa kutumia tekinolojia watashindwa hilo? Watu wana hack email na kutuma ujumbe kwa watu bila wewe kujua itakuwa hilo? Uchunguzi wa kina ufanyike kubaini kilichotokea ili haki itendeke.
 
Kutoka Uturuki kuna Mashine yenye uwezo wa kugundua mionzi ya RF08#M ambazo zinatumika kwenye HDM (Hack Device Machines)
Na sisi Chadema tukilete hiki kifaa Tanzania ambacho kinaweza ku detect hadi 200meter ili kujilinda... Tutaingiza hata kwa siri ila ole wao tukiwakamata hao 'Watoto wa vigogo'... Tutauza supu ya makongoro yao...
 
Source ITV habari

Adai ushahidi anao ni mtambo ulio nunuliwa Israel una uwezo wa kuingiliana namba na mtu kwa umbali wa Kilometer 5 na unauwezo wa kuandika sms na kuituma na sms ikaingia kama inetoka kwa mbaya wako.

Kasema mtambo huo umenunuliwa na mtoto wa kigogo aliyeko Ikulu na baba yake ni mtu mkubwa sana nchini.

Na kinachofanyika ni kuwachafua CDM

wakuu.
Naanza kuunganisha dot sasa! Mnakumbuka zile sms zilizo kuwa zinaingia kwenye simu zetu mwaka 2010 zenye uzushi kuhusu dr slaa halafu ikawa ukipiga inakataa? Mwenye mtambo ule ilisemekana kuwa ni mirage kikwetu. Tujiulize kama mtambo ule ulitupwa wapi baada ya ile kazi.
 
Marando naona anatumia ile technic ya kina Lipumba mwaka 2000 waliposhindwa kwenye uchaguzi na jembe BWM, wakaja na uongo eti CCM wamechapisha karatasi za kura china zimewekwa kifaaa kinacho hamisha alama ya vema kutoka kwa Lipumba kwenda kwa Kikwete.

mwingulu nilikwambia utaumbuka sababu hufikiri kwa kina kabla ya kutenda!
Hiyo machine mlivyo ificha mlitegemea haitajulikana? Sasa mwingulu siri hakuna tena umeumbuka!

Nitaendelea kukwambia kuwa laana ya mauaji haitakuacha!
 
Kama juzi tu mtambo umefanya kazi kule ndago kutuma sms kwa Chemba kutoka kwa wadau wa chadema unategemea mtambo uko kwa nani? lazima atakuwa nao Chemba mwenyewe!
 
CDM ni zaidi ya serikali, ccm wameumbuka tena, hili ni pigo jingine la ccm, nianguko kubwa kwamba CDM si wakuchezewa wamedhamiria kuchukua Dola, Mipango mingi ya ccm kuihujumu CDM imeshindwa, angalia walivoongeza wapigakura feki Arumeru! Tishio la kuwa ua viongozi wa CDM, Ushauri wa bure ccm wakubali matokeo
 
mwingulu nilikwambia utaumbuka sababu hufikiri kwa kina kabla ya kutenda!
Hiyo machine mlivyo ificha mlitegemea haitajulikana? Sasa mwingulu siri hakuna tena umeumbuka!

Nitaendelea kukwambia kuwa laana ya mauaji haitakuacha!

ha haaa haaaaaa

nimecheka mpaka basi
 
Marando naona anatumia ile technic ya kina Lipumba mwaka 2000 waliposhindwa kwenye uchaguzi na jembe BWM, wakaja na uongo eti CCM wamechapisha karatasi za kura china zimewekwa kifaaa kinacho hamisha alama ya vema kutoka kwa Lipumba kwenda kwa Kikwete.

Mkuu mbona umesema BWM halafu tena Kikwete,yupi kati hao?
 
Back
Top Bottom