Mabere Marando asema Meseji zilizodaiwa kutumwa kwa Mwigulu ni za kuchonga!

Mwaigulu Nchemba alidaiwa kutumiwa meseji za vitisho na viongozi wa Chadema wakimtishia.Baadhi ya meseji hizo ziliwekwa hapa jamvini.Kwa uchunguzi wa CDM meseji hizo no za kuchongwa na si za kweli.Kimbunga nadhani mpaka hapo tuko pamoja.
Kimbunga anajua kila kitu si unamjua ni wa mrengo gani!
 
Back
Top Bottom