"Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

Hangaikia maisha yako, kwa mfano ukiwekewa vikwazo unapata nini? Machafuko yakitokea usalama wako uko wapi? Hao mabeberu watapoteza nini? Shida zote ni kwako unayepumua shida, unayekohoa shida na ujinga kwakushindwa kujishughulisha na badala yake umekalia kuandika kuichafua Serikarikali
 
Kwani Tanzania bado inategemea misaada kama wengi wanavyofikiria. Leteni stats basi tuone kama kweli Tanzania haiwezi ku-tick. Hatuwezi kuwa taifa la omba omba.

According to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump Administration requested $329 million for such assistance in FY2021.

Kwa ufupi ripoti ya hali ya kisiasa nchini Tanzania toka Magufuli kuingia madarakani imewashitua wafadhili wa demokrasia na uwazi na hasa katika maswala ya ushiriki wa jamii na asasi zisizo za kiserikali.

Na utungwaji wa sheria mbalimbali kandamizi na kuhakikisha nchi inakuwa ya chama kimoja na upinzani unatoweka.

Katika kutubinya wataacha misaada inayogusa chakula tu na wanashawishi na jumuiya za kimataifa nao kutufanyia kama wao.
In summary

There are few signs that the governance trajectory in Tanzania discussed in this report is likely to change. One analyst of Tanzania sees President Magufuli and the CCM as pursuing “restorationist developmental nationalism”—a return to the sociopolitical development agenda and dominance of the CCM during the one-party state era, in which opposition parties play a limited role, if any.69 There are arguably a paucity of strong levers through which the United States and other aid donors might be able to press for a reversal of recent trends.

Targeted restrictions on aid could potentially spur constructive responses from Tanzanian authorities in some instances, but the bulk of U.S. and other foreign aid supports development goals or other U.S. policy interests that such changes might hinder. Targeted sanctions, which the United States has used in one instance, 70 also are another possible pressure tool and vehicle for signalling U.S. concerns in selected instances but are complex to administer and may have limited effect if sanctioned officials do not have personal or financial interests within U.S. jurisdictions.

The governance trends discussed in this report also could potentially warrant a change in Tanzania’s eligibility for U.S. trade

Kwa ripoti kamili https://t.co/uTUEIj29Vg?amp=1
Mkuu kuna siku umelala njaa au umeenda hospitali ukashindwa kutibiwa au umeenda chuo ukakosa kusoma sababu USA wamepunguza misaada?wao nao wana kitimu timu chao acha chuki fanya kazi, Lissu na timu yake hawatakuletea ugali mezani ,kama njaa ni yako na mkeo.
 
Hakuna vyama vya upinzani bungeni.
Sizungumzii bunge la sasa hivi lenye kijani.
Rejea kwenye post, niliandika hivi:

Asante kwa kunielewesha maana ya demokrasia. Bado nina swali mwaaalimu japo swali langu halihusiani na bunge la sasa hivi Tanzania .

Swali ni hili, kama maamuzi ya nchi za kidemokrasia yanafanywa na wananchi na sio mtu mmoja na vibaraka zake, sasa inakuaje kule bungeni kuna vyama vya upinzani na chama tawala, ilihali vyama vya upinzani ni wananchi na chama tawala ni wananchi??

Mbona chama tawala ndio kinafanya maamuzi ya mwisho huko bungeni hata kama wabunge wa vyama vya upinzani wamepinga hoja?? Sasa demokrasia iko wapi hapo??
 
Nilichotaka kukujibu inategemea majibu yako kwenye swali nililokuuliza ?
Sawa mkuu. Kwa uelewa wangu mm, siasa ya mfumo wa vyama vingi ni aina ya demokrasia ya ushindani wa kisiasa ili kuleta maendeleo katika nchi. Pia ni pale ambapo nchi inakuwa na vyama vingi vya kisiasa na kila chama kinakua na sera zake. Chama tawala huchaguliwa na wananchi kwa kutumia sanduku la kura.

Pia nimeelimishwa, demokrasia means “hatma na maamuzi ya nchi uamuliwa na wananchi na sio mtu mmoja na vibaraka zake”

Sasa naomba unijibu maswali niliyoyauliza hapo👇🏾.
Kama maamuzi ya nchi za kidemokrasia yanafanywa na wananchi na sio mtu mmoja na vibaraka zake, sasa inakuaje kule bungeni kuna vyama vya upinzani na chama tawala, ilihali vyama vya upinzani ni wananchi na chama tawala ni wananchi!!

Inakuaje chama tawala ndio kinafanya maamuzi ya mwisho huko bungeni hata kama wabunge wa vyama vya upinzani wamepinga hoja?? Kwani, hawa waliopinga hoja si ni wananchi pia?? Sasa demokrasia iko wapi hapo??
Majibu tafadhali.
 
Kwahiyo mkuu bora Saudia Arabia kuna demokrasia kuliko bongo?
Inategemea wewe unaelewaje demokrasia ni kitu gani
Kwa ujumla Saudi Arabia na nchi zote zenye utajiri wa mafuta watu wake hawana shida ya maisha kabisa na wala hawajihusishi na siasa kabisa
 
Duh! Mpaka nimecheka kama huu ndio uchambuzi wa msomi. Watanzania tuna matatizo makubwa ya akili. Endeleeni kumdanganya jiwe
Kwa sababu wewe siyo msomi ndiyo maana unaamua mambo kwa hisia; unafikir kwa kutumia tui la nazio badala ya ya ubongo.
 
Unaweza kujenga hivyo vyote bila kuua raia wenye mitazamo tofauti na wewe.

Ni unyama kuamini kuwa ni wewe pekee unayestahili kufikiri na kutenda kwajili ya wengine
Taariza kuua raia wenye mitazamo tofauti linakuzwa sana kwa vile halipo kabisa. Sijaona operation yoyote inayoendeshwa na serikal kuua watu wanaopingana na mtazamo wake; inapotokea kiongozi mmoja wa upinzani akashambuliwa, haina maana kuwa anashambuliwa na serikali kwa vile kumekuwa na taarifa pia za viongozi wa CCM kushambuliwa na kuuwawa.
 
According to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump Administration requested $329 million for such assistance in FY2021.

Kwa ufupi ripoti ya hali ya kisiasa nchini Tanzania toka Magufuli kuingia madarakani imewashitua wafadhili wa demokrasia na uwazi na hasa katika maswala ya ushiriki wa jamii na asasi zisizo za kiserikali.

Na utungwaji wa sheria mbalimbali kandamizi na kuhakikisha nchi inakuwa ya chama kimoja na upinzani unatoweka.

Katika kutubinya wataacha misaada inayogusa chakula tu na wanashawishi na jumuiya za kimataifa nao kutufanyia kama wao.
In summary

There are few signs that the governance trajectory in Tanzania discussed in this report is likely to change. One analyst of Tanzania sees President Magufuli and the CCM as pursuing “restorationist developmental nationalism”—a return to the sociopolitical development agenda and dominance of the CCM during the one-party state era, in which opposition parties play a limited role, if any.69 There are arguably a paucity of strong levers through which the United States and other aid donors might be able to press for a reversal of recent trends.

Targeted restrictions on aid could potentially spur constructive responses from Tanzanian authorities in some instances, but the bulk of U.S. and other foreign aid supports development goals or other U.S. policy interests that such changes might hinder. Targeted sanctions, which the United States has used in one instance, 70 also are another possible pressure tool and vehicle for signalling U.S. concerns in selected instances but are complex to administer and may have limited effect if sanctioned officials do not have personal or financial interests within U.S. jurisdictions.

The governance trends discussed in this report also could potentially warrant a change in Tanzania’s eligibility for U.S. trade

Kwa ripoti kamili https://t.co/uTUEIj29Vg?amp=1
Si wenyewe kwa hali ya uchumi wetu tumshakuwa level ya donors...alisikika mataga 1
 
Nchi maskini ikianza kujikomboa kiuchumi Mabeberu hutafuta mbinu za kuiwekea vikwazo. Wameshindwa kumuwekea vikwazo Museveni na Kagame ambao ni kama maraisi wa maisha leo waje waitolee macho TZ yetu kisa ni rasilimali zetu. Hatudanganyiki. Mbona uchaguzi wa Marekani hadi sasa bado kizungumkuti na hatusikii kelele za demkrasia ? Waoinzani wa Tanzania ni chanzo cha upuuzi huu. Wameshindwa kihalali wanabaki kutapatapa.
 
Asiesikia la mkuu huvunjika guu, wasiojielewa watakuja hapa waanze kusema hawajali sisi ni matajiri, sasa kama tungekuwa matajiri hiyo misaada tusingekuwa tunapewa, wacheni kujidanganya.

Hapa mwananchi wa kawaida ndie atakaeumia, hivyo vikwazo vya kuinyima nchi misaada vitasababisha kodi za bidhaa zipande ili wajaribu kufidia hilo gap la kupoteza misaada, na mpaka hapa "serikali ya wanyonge" itakuwa imeshafeli.

Kuna uwezekano mkubwa na marafiki zake wa jumuia ya ulaya nao watafuata, wacha kina Ndugai waendelee kushangilia wasilolijua kule bungeni, lakini kwa haya yajayo watapata akili tu.

Huko tunapoelekea watatuzuia hata kufanya nao biashara, sijui hizo dola za kuwekea akiba yetu ya fedha za kigeni zitatoka wapi.

Naona kila dalili tunaenda kuwa kama marafiki zetu wapendwa wa Zimbabwe.
Dua la kuku halimpati mwewe. Wewe huwezi ukajua kuliko serikali inavyojua, unajisumbua tu na viposti vyako vya kitoto.
 
Naomba kuuliza, hivi serikali ikabanwa na umoja wa mataifa watakaothirika zaidi ni viongozi walioko madarakani au sie wanainchi wa kawaida?, Ukipata jibu then hakuna haja ya kuchekelea njaa na shida zinakuja wakumba wanainchi wa kawaida ukiwemo mleta uzi
Siku hizi zinatumwa drones kwa utaratibu mzuri tu
 
Hataki vita ila wataacha kutusaidia kumbuka
40% ya bajeti inatoka kwa nchi wahisani
Bado misaada mingine mingi...
Watanzania inatakiwa tuweke maslahi ya nchi mbele sio maslahi ya chama au mtu
Magufuli l Ana uzuri na udhaifu wake sasa kama watu hawataki kumshauri wajue tunaelekea pabaya

I am just saying.............
Unapenda sana kusaidiwa kila kitu na Mabeberu utachelewa sana, Sasa hivi tumepata Raisi asiyependa kutegemea Mabeberu,ni mwendo wa kuchapa kazi tu sisi wenyewe na tutasimama! Je umeshajiuliza Kama kesho ukiamka na Ukakuta USA yote imesombwa na kimbunga utasemaje!? Au na wwe mtegemea USA ndiyo saa hiyohiyo na wwe utazima Mazima!?
 
Hakuna mtu anapenda kua tegemezi lakini huo Ndio uhalisia
Tuache kujidanganya eti tumepata rais asiehitaji misaada..... Mbona anaichukua?
Anyway muda ukifika Ndio tutajua kua Hao ni mabeberu au ni nchi wahisani
 
Inategemea wewe unaelewaje demokrasia ni kitu gani
Kwa ujumla Saudi Arabia na nchi zote zenye utajiri wa mafuta watu wake hawana shida ya maisha kabisa na wala hawajihusishi na siasa kabisa
Yani hata kuwa na uhuru wa kukosoa,mfano kama alivyokuwa yule mwaandishi Jamal kashoggi ambaye alikuwa akikosoa utawala wa Saudia.
 
Taariza kuua raia wenye mitazamo tofauti linakuzwa sana kwa vile halipo kabisa. Sijaona operation yoyote inayoendeshwa na serikal kuua watu wanaopingana na mtazamo wake; inapotokea kiongozi mmoja wa upinzani akashambuliwa, haina maana kuwa anashambuliwa na serikali kwa vile kumekuwa na taarifa pia za viongozi wa CCM kushambuliwa na kuuwawa.
Ben Sanane yuko wapi ?
Mazrui yuko wapi ?
Azory Gwanda yuko wapi
Kanguye yuko wapi ?
Alphonce mawazo yuko wapi ?
Uliona kwenye uchaguzi yaliyotokea huko Zanzibar na Tanzania ?

Na yote haya serikali iko kimya tukisema serikali imeyaridhia yafanyike tutakuwa tunakosea ?

Tukisema kuwa serikali ni incompetent imeshindwa kupambana na wahalifu wanaoteka raia tutakuwa tunakosea?
 
Back
Top Bottom