Mabasi za dar / mtwara

saq

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
268
12
msaada wenu naomba kujua..
Which buses are there for dar / mtwara ??
luxury bus.
 
Hivi kile kipande korofi cha Lindi-Kibiti walishamaliza kukitengeneza,kama bado usitegemee kupata Luxury bus pande hizo..
 
ASANTENI..
HIZI MABASI YA Amanju,Buti la zungu,Machinga express. ...
NI LUXURY ?
WITH A/C ?
SITAKI KUNUKA NA JASHO..!

HOW MUCH IS PLANE TICKETS ?
 
ASANTENI..
HIZI MABASI YA Amanju,Buti la zungu,Machinga express. ...
NI LUXURY ?
WITH A/C ?
SITAKI KUNUKA NA JASHO..!

HOW MUCH IS PLANE TICKETS ?

Hahaha mkuu panda tu ndege naona sasa unajifanya tajiri kichwa...Mtwara na Lindi hakuna Marcopolo wala Yutong...
 
Sasa hapo ndipo tunapokorofishana.
Mambo ya Uraiani utayaletaje humu?
Nikiachika kwa waume zangu,nakuja kwako,
jishaue tu.


Rangi ya Chungwa tu si unajua we msiri wangu bana,
tutarekebisha tu wenyewe watajiuliza mara tatutatu
kwa jinsi utakavyozidi kuwaka
 
ASANTENI..
HIZI MABASI YA Amanju,Buti la zungu,Machinga express. ...
NI LUXURY ?
WITH A/C ?
SITAKI KUNUKA NA JASHO..!

HOW MUCH IS PLANE TICKETS ?
Hayo mabasi hayana AC...........nauli ya ndege andaa 350,000/- 2 way.
 
Stand ipo tandika sudani ,hata kama mtu anaish ubungu yupo radh kwenda tandika akapand bus kuliko kuingia ubung terminal
 
Back
Top Bottom