Kituo kinachofuata ni Mtwara mjini. Wadau wa Mtwara mjini nipeni ruti

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,118
27,115
Wakuu kwema? Ziara ya Nachingwea imetamatika sasa naja Mtwara mjìni.

Wenyeji wa Mtwara mjini naomba mnipe maelekezo.

Sehemu zipi za kuburudika? Na kuhusu wale watu wetu wa jinsia pendwa ni sehemu ( kiwanja gani ? Bar au club) nikienda nitakutana na watoto wenyeji yani wazawa wa hapo hapo mtwara au mabinri wa hapo hapo kusini? Sitaki kiwanja ambacho nitakutana na wanawake kutoka Dar ambao wamekuja kudanga kusini...

I prefer kiwanja ambacho kuna vibinti vya miaka kumi na nane plus sio mishangazi.

With much thanks in advance.
 
Maswali yako mengine magumu kwenye miji mikuu kote ni changanyikeni hakuna formula mambo yanaenda na kuranda hivyo ni ngumu kutabiri Fulani kaja kudanga ama la kikubwa we take care mtwara wahuni wengi sana kwa kusini inaongoza
 
Nguli Himself Katika Idara Yako.

Back
Top Bottom